
Vp kuhusu watu wake na tabia zao, Geography ya mkoa na vingine vingiKumbe hujafika?Mh..IRINGA kuzuri aisee...ila naski baridi ndo KIBOKO yao
Muungwana huongezea nyama kwenye mapungufu sio kuanza kuponda,kwa kweli namsifu mtoa uzi hata kwa picha alizoziweka tofauti na wewe uliyekaa kimya.Kwangi mimi ambaye sijafika imenisaidia kuona taswira fulani kama eneo ambalo liko livable.Hivyo vilivyosahaulika tujuze mkuu badala ya kumkashifuUmegusa tu juu juu huna elimu ya kutosha kuhusiana na mkoa huo andaa utafiti wa kutosha wazo lako ni zuri Ila umekurupuka umeacha vitu vingi sana hv km unataka kumuelezea muekezaji anaetaka kuwekeza huko utamuelezea namna hii!!Vp kuhusu watu wake na tabia zao, Geography ya mkoa na vingine vingi
Shukrani mkuu, umemjibu kwa weledi kuliko ambavyo ningeweza.Muungwana huongezea nyama kwenye mapungufu sio kuanza kuponda,kwa kweli namsifu mtoa uzi hata kwa picha alizoziweka tofauti na wewe uliyekaa kimya.Kwangi mimi ambaye sijafika imenisaidia kuona taswira fulani kama eneo ambalo liko livable.Hivyo vilivyosahaulika tujuze mkuu badala ya kumkashifu
Mkuu hakuna namna nyingine ya kunirekebisha? Really?Umegusa tu juu juu huna elimu ya kutosha kuhusiana na mkoa huo andaa utafiti wa kutosha wazo lako ni zuri Ila umekurupuka umeacha vitu vingi sana hv km unataka kumuelezea muekezaji anaetaka kuwekeza huko utamuelezea namna hii!!Vp kuhusu watu wake na tabia zao, Geography ya mkoa na vingine vingi
ngoja nitulie ntaleta picha za iringa hasa za makumbusho ya mkwawa..isimila na ruaha. karibun iringaaaaaaaaaNashukuru mkuu barbosa, yapo mengi ya kujivunia kuhusu iringa, binafsi nikizeeka nitarudi iringa,
To me This is the best town in Tz.
Picha zangu haziko vizuri ila kama unazo tuletee, ni faraja sana kuona picha za mji wa iringa.
Siku napigiwa simu kwamba nimehamishwa Iringa kwenda Mbeya nilitamani kulia..nilikaa 4 yrs Iringa na ckupachoka...Mbeya miez 9 tu pakanikifu bahati nzuri nikahamishwa kwenda mkoa mwingine...ila Iringa ntarudi tu aisee maana ni miongoni mwa mikoa niliyoishi nikaipenda..1. Arusha, 2. Morogoro 3.Mwanza na 4.Iringa yenyeweIringa ni kuzuri kupita Mbeya
Tumaini ndio iringa university imebadilishwa jinaHata Tumaini University siioni hapo