Hii ndio Iringa halisi na watu wake

Hii ndio Iringa halisi na watu wake

Dah.... Hivi Iringa mbwa huwa hawagongwi na magari kama miji mingine? Maana mizoga hatuioni barabarani

Sent from my Osborne II using JamiiForums mobile app
 
Iringaaaa! dah umenikumbusha mbali kidogo
Nilisoma Shule flan Iringa miaka michache iliyopita kiukweli nilipapenda, Nikiona hiyo barabara yenye mwinuko ya kuingia stand ukitokea Ipogoro inanifanya nitamani nyakati zijirudie, One of the best regionsView attachment 539292
Hii ni moja ya sehemu inayofanya mji wa iringa kuwa wa kipekee sana.ukiwa ipogolo chini kabisa kwa juu unaona gari zikipanda mlima kwa hiyo barabara.
 
Ruaha Catholic University 2017 ( HD Video)
Hii ni Video inayokuonesha baadhi ya kazi na shughuri, zinazofanywa na Chuo cha Kikatoliki Ruaha(RUCU), Hiki ni moja ya Vyuo Bora Tanzania

Source: Tanganyikaproduction
 
Iringa Online - Iringa Municipal Tanzania

Source: Rodgers Deus Sande
 
Iringaaaa! dah umenikumbusha mbali kidogo
Nilisoma Shule flan Iringa miaka michache iliyopita kiukweli nilipapenda, Nikiona hiyo barabara yenye mwinuko ya kuingia stand ukitokea Ipogoro inanifanya nitamani nyakati zijirudie, One of the best regionsView attachment 539292

Nikiicheki hio Road nakumbuka Bams za hapo dah haziesabiki
 
Ruaha Catholic University 2017 ( HD Video)
Hii ni Video inayokuonesha baadhi ya kazi na shughuri, zinazofanywa na Chuo cha Kikatoliki Ruaha(RUCU), Hiki ni moja ya Vyuo Bora Tanzania

Source: Tanganyikaproduction

Awali kilikuwa n chuo cha bank, hata sijui Wakatoliki walikipataje?!
 
Inamaa mji Wa Iringa msafi hivi? Wenzetu wanafanyeje? Wana Sera gani za usafi? Imekuwa ya ngapi kiusafi kitaifa?
 
Inamaa mji Wa Iringa msafi hivi? Wenzetu wanafanyeje? Wana Sera gani za usafi? Imekuwa ya ngapi kiusafi kitaifa?
Imekuwa manispaa ya Kwanza kitaifa mkuu.
 
wengi wakipita Ipogolo hudhani ndio IRINGA MJINI hahaaa TOWN IPO JUU KULE...usafi ni desturi yetu mpitapo msitupe maganda ya ndizi hovyo

Sent from my Redmi 4X using JamiiForums mobile app
Wanyakyusa ndio wanapenda kutupa maganda ya ndizi wakitoka nayo mbeya
 
Mbona picha nyingine za Iringa ni kama picha zangu? Ni kama tuna mtazamo sawa! Lakini sijaona zile picha za nyumba nzuri kutoka yalipokuwa Makao Makuu ya Railway upande wa kushoto kuelekea Kihesa! Hata hivyo umeuonesha mji wa Iringa vizuri sana. Hongera sana! Haya mazuri ndiyo tunataka tuuoneshe Ulimwengu siyo uchafu. Tukumbuke hata sehemu nyingine kuna uchafu lakini hawauoneshi kwa maksudi kabisa!
 
Nashukuru mkuu barbosa, yapo mengi ya kujivunia kuhusu iringa, binafsi nikizeeka nitarudi iringa,
To me This is the best town in Tz.
Picha zangu haziko vizuri ila kama unazo tuletee, ni faraja sana kuona picha za mji wa iringa.
ulikuwa unatumia simu iliyokwisha charge yaani ulii overwork 4% !
...lakini umejitahidi IRINGA ni PAZURI SANA!
owd-dog.jpg
 
Back
Top Bottom