Tunakushukuru sana kwa kuutangaza mkoa na kuainisha fursa zilizopo lkn pamoja na fursa hizo kuna changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara haswa ktk Wilaya ya kilolo pamoja na Wilaya hiyo kuwa na fursa lukuki lkn bado hakuna barabara ya lami inayo iunganisha na mkoa.
Ili kuzifikia fursa hizo kiurahisi serikali haina budi kuimarisha miundombinu
Ili kuzifikia fursa hizo kiurahisi serikali haina budi kuimarisha miundombinu