Hii ndio Iringa halisi na watu wake

Hii ndio Iringa halisi na watu wake

iringa unakua siku hizi naona frelimo imepgwa lami barabara mpaka ilala
1477782772866.jpg

Karibuni iringa jamani, mlioko diaspora rudini tujenge nchi sasa, ni dhahiri unachokipata diaspora utakipata hapa Tz katika miji kama Iringa na miji mingine japo utahitajika kijibidisha kiasi.
God bless Tanzania.
 
Mkuu naomba sifau au mapungufu ya wanawake wa kihehe maana naona 98% nahisi nitakuja kuoa mhehe
Wanajua malezi ya watoto na familia kwa ujumla mfano hai wafanyakaz wa ndan unaowaona mikoan waliotokea iringa, wana heshima, wavumilivu, wanaishi aina zote za maisha, But Dada zangu wana hasira za kuzidi.. Ukicheat then akajua usikubali kulala nae atakuchinja nae ajimalize, wana wivu wa kukera na la mwisho kuna baadhi yao wakipatia maisha wanachange totally... Wanakuwa kama malimbukeni flan so wako poa ila na ww jitahidi kumcontrol with time asije kuwa kero mtitoboa maisha
 
Nakupeleka nje ya wilaya hii ya Iringa, mwendo wa Saa moja kusini,
IMG_20170101_142017_204.JPG

A drive on the world class highway, at least the government did something on this road.
Few miles south utapita wilaya Ya Mufindi,
Katika mji wa Mafinga,
Mji unaokua kwa kasi kutokana na biashara ya Mazao ya Misitu pamoja na kilimo cha mazao ya Biashara hususani Chai.
IMG_20170101_122001_816.JPG
IMG_20170101_122603_311.JPG
IMG_20170101_122435_290.JPG
IMG_20170101_141951_682.JPG


Wilaya ya Mufindi ni mionhoni mwa wilaya Tanzania zenye Mchango mkubwa kwenye Pato la serikali,
Kilimo cha miti ni uwekezaji wa Muda mrefu na hutoa faida kubwa .
Ni rahisi kupata ardhi na kujihusisha katika kilimo cha miti kwani faida yake ya awali ni kutunza mazingira (sababu yetu wana iringa kufurahia hali safi ya hewa,) na pia return take ni kubwa sana after 8-10 years,
Vijana amkeni changamkieni hii fursa, naongea kwa experience.

mafinga..
IMG_20170101_121819_741.JPG
IMG_20170101_123143_912.JPG
IMG_20170101_122634_629.JPG
IMG_20170101_121925_993.JPG

IMG_20170101_121849_200.JPG
IMG_20170101_123127_071.JPG

Mufindi vijijini
Enjoy..
IMG_20170101_142004_246.JPG
IMG_20170101_122720_531.JPG
IMG_20170101_122734_778.JPG
IMG_20170101_121908_672.JPG
IMG_20170101_122952_619.JPG
 
Habari za jioni mabibi kwa mabwana,

Bila kupoteza wakati, hebu Leo tutembelee mkoa wa Iringa.

Kwa ufupi,

Jina iringa linatokana na neno lilinga, (which means fort) au boma kwa kiswahili. Mkoa wa Iringa una wilaya nne, ambazo ni Iringa Manispaa, Iringa Vijijini, Kilolo na Mufindi.

Katika elimu, mkoa wa Iringa una shule nyingi za sekondari (ni nyingi kuzitaja) na vyuo vikuu vitatu ambavyo ni;
Chuo kikuu cha Mkwawa
Chuo kikuu cha Iringa
Chuo kikuu cha Ruaha
Pamoja na taasisi nyingine za elimu ya juu zikiwemo chuo cha ustawi wa jamii na chuo cha mafunzo ya Ualimu cha Kleruu.

Shughuli za maendeleo, shughuli za maendeleo katika mkoa wa iringa ni kilimo, ufugaji, usindikaji na biashara.

Kilimo ndio inayochukua nafasi kubwa, hasa katika mazao ya nafaka, mbao, mazao ya biashara kama chai, mazao ya mbogamboga n.k. Bado kuna fursa nyingi hasa katika kilimo cha misitu ya mbao katika wilaya za Kilolo na Mufindi, ambazo hali ya hewa inafaa sana kwa makuzi ya misitu ya mbao. (Fursa hii vijana watanzania changamkieni)

Mpaka sasa mkoa wa Iringa una TV station moja (IMTV) na fm Radio Stations 7
Ambazo ni;
Trap Gang Radio
Ebony FM
Country FM
Nuru FM
Kibla ten FM
Furaha FM
Overcomers FM

Hivi karibuni Iringa imekuwa ni manispaa ya kuvutia sana kuanzia huduma za jamii (umeme, maji, afya na elimu), miundombinu, mazingira na ujenzi wa mji unaokuwa kwa kasi, hali hii pia imechochewa na kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya lami inayounganisha Dodoma na iringa, ambapo kwa sasa Kanda ya Ziwa na kaskazini zimeunganishwa na nyanda za huu kusini na kupelekea kufunguka fursa zaidi za kibiashara.
Kwa sasa Iringa ni HUB.

Pamoja na mengine mengi.

Nihitimishe kwa kupongeza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia hongera sana ndugu zangu wana Iringa, ongezeni juhudi.

Asanteni sana.

Iringa town,
View attachment 399626View attachment 399627

View attachment 399628View attachment 399629View attachment 399630

View attachment 399632

View attachment 399634

View attachment 399635

View attachment 399636

View attachment 399637View attachment 399638View attachment 399639View attachment 399640
Majiji yote mazuri Tanzanian yapo chini ya ukawa, mfano dar, mbeya, arusha, moshi na iringa.
 
Karibuni Iringa.
Mufindi hapa .. Who says we are poor, yes indeed we are poor, but atleast we have something to show.
IMG_20170101_122835_994.JPG
IMG_20170101_121833_691.JPG
IMG_20170101_122546_347.JPG
IMG_20170101_122424_393.JPG
IMG_20170101_122359_359.JPG
IMG_20170101_122504_260.JPG
IMG_20170101_122546_347.JPG
IMG_20170101_123605_117.JPG
IMG_20170101_122343_108.JPG
 
huu ni ukweli mtupu, rate ya watu wa kwetu huku kujinyonga ni kubwa kuliko na maeneo mengi, iringa inaongoza kuwa na idadi kubwa ya mbwa kuliko mkoa mwingne, kwanini wasiseme tunakula mbwa. after all vitu hivi havitakiwi kukufanya uwe mnyonge, ni vitu vya kujivunia coz ndo historia yetu huku. feel confident.
Acha ku exagarate mkuu, Iringa gani wanakula mbwa?? Mi nimezaliwa Iringa tena kijijino huko na nimeish Iringa hadi form six, nimepata kusikia watu wawili tu wamejinyonga, na sijawahi kuona wala kusikia mtu kala mbwa. Kiukweli iringa wafuga mbwa ni wengi ila ni kwaajili ya ulinzi na uwindaji na sio kula kama unavotaka kuwaaminisha watu hapa.
 
Back
Top Bottom