Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,078
- 10,426
acha majungu,yamezidi kuliko yaliyopo tabora?Mkuu nina takriban miaka 5 sijafika iringa..
Vipi yale matangazo ya kukata mkono wa sweta… yapo bado??![]()
Now days sio kihivyo km zamani mi navyoona!Mh..IRINGA kuzuri aisee...ila naski baridi ndo KIBOKO yao
kwenu gangilonga sehemu gani/kwa nani?maana ndio kwetu na lazima niwe nakufahamu...dah umenitia huzuni sana...nateseka dar wakat kukae kuzuri tuu...bora niludi gangilonga kwetu
Hata Tumaini University siioni hapoMkuu ile redio nyenza na ebony fm (hot fm) ilisizi nini.. Siioni hapo kwenye list
Iringa ni kuzuri kupita Mbeya
DuhKwa kweli iringa sitapasahau. My favourite town.mara ya kwanza ilikua 79 nilipita na mdingi pale ni kakatwa kuingia kwenye bus la railway.sijui dingi hakulipa tkt sielewi. Nikapitishwa dirishani,82 nilifika kwa mjomba pale mkwawa chuoni nikiwa mdogo kabisa.then nikapita tena 88 nikielekea Singida,92 nikapita tena nikienda Mbeya. Hapo bado mdogo ndo teenager age. nikapita ya mwisho 93-94.halafu basi king kross la Boda mtera halikutokea , sijui lilikwama wapi.tumekaa siku 2 pale stand.ndio shala wambe akatukodisha bus tufike mtera. Siku 2 hizo ilikua ni kubwia ulanzi kwa kwenda mberee.nilikua na 1700 enzi hizo iliisha.hadi nauli nililipa ya kuunga unga.
siku hizi panaitwa SHOOTER`S mkuu!Anhaaa....nikipita mitaa ya huko nitazitembelea..
Enzi hizo tulikuwa tunapiga bottoms up mitaa ya miyomboni au uhindini..sikumbuki sawa sawa jina.
mkuu Iringa hadi Arusha tumeanza kuitumia kitambo sana tangu lami ya Iringa-Dodoma ilivyokamilika,unapita Singida unatokea Hanang,Babati to Arusha,masaa 11 tu mkuu!Ile njia ya mtera karibu inakamilika yote halafu hivi punde ile Dodoma- Arusha kupitia Kondoa itakuwa tayari.
Utaweza kupiga safari ya Iringa Arusha kwa gari private ndani ya masaa 8 au 9 tu.
sijawahi kujuta kuwa mnyalu hata kama siishi pale but mara nyingi napatembelea,ni stress free zone!Kumbe tupo wengi humu
Nikifika home ,nitawachek kupitia uzi huu
Safi sana.mkuu Iringa hadi Arusha tumeanza kuitumia kitambo sana tangu lami ya Iringa-Dodoma ilivyokamilika,unapita Singida unatokea Hanang,Babati to Arusha,masaa 11 tu mkuu!
Kwa kweli iringa sitapasahau. My favourite town.mara ya kwanza ilikua 79 nilipita na mdingi pale ni kakatwa kuingia kwenye bus la railway.sijui dingi hakulipa tkt sielewi. Nikapitishwa dirishani,82 nilifika kwa mjomba pale mkwawa chuoni nikiwa mdogo kabisa.then nikapita tena 88 nikielekea Singida,92 nikapita tena nikienda Mbeya. Hapo bado mdogo ndo teenager age. nikapita ya mwisho 93-94.halafu basi king kross la Boda mtera halikutokea , sijui lilikwama wapi.tumekaa siku 2 pale stand.ndio shala wambe akatukodisha bus tufike mtera. Siku 2 hizo ilikua ni kubwia ulanzi kwa kwenda mberee.nilikua na 1700 enzi hizo iliisha.hadi nauli nililipa ya kuunga unga.
,daaa historia nzuri hii.