Hii ndio Iringa halisi na watu wake

Hii ndio Iringa halisi na watu wake

Iringa uchafu , jalala la olofea
Olofea=Welfare.

Hilo eneo wakati wa mkoloni lilitumika kwa ajili ya mikusanyiko ya kijamii, hata miaka ya 80 hapo kulikuwa kila jumamosi inafanyika mnada wa mitumba enzi hizo mzee Mwamoto ndio alikuwa muuza nyumba maarufu mjini kwenye minada.
 
Awali kilikuwa n chuo cha bank, hata sijui Wakatoliki walikipataje?!
NBC ilipouzwa mwekezaji alichukua bank tu Ila vyuo hakupewa so viliuzwa kwa taasisi nyingine, Lutheran wakaona fursa.

Si unakumbuka kashfa ya uuzwaji wa NBC hizo mali watu walijinunulia bei ya kutupwa tu.

Hizo buildings zimejengwa na WADE ADAMS hao engineers ndio walikuwa wanajenga Mali za serikali si unaona zege hiyo?

Marehemu mzee wangu alikuwa mtawala hapo enzi za Dr. Amon Nsekela NBC college. Alikufungua 1986
 
Jana 2.9.22 majira ya saa saba mchana police walikuwa wanakamata wapiga debe pale daraja la mto Ruaha, walimkimbiza mmoja akakimbilia uelekeo unakotokea mto, wakaenda naye walipofika mbele kukawa na watu wanaoga mtoni, walipoona mtu anapita anakimbia na nyuma yake wanakuja polisi, na wao wakatoka kwenye maji wakaungana naye mbio kuelekea upande wajuu huku wameacha nguo kando ya mto bila kujua aliyeko mbele anakimbizwa kwa kosa gani huku polisi wakizidi kuongezeka, sijui huko walikokimbilia waliishia wapi ila ilikuwa kama cenema
 
Olofea=Welfare.

Hilo eneo wakati wa mkoloni lilitumika kwa ajili ya mikusanyiko ya kijamii, hata miaka ya 80 hapo kulikuwa kila jumamosi inafanyika mnada wa mitumba enzi hizo mzee Mwamoto ndio alikuwa muuza nyumba maarufu mjini kwenye minada.
Bila shaka ndio hawa wenye jengo pale Moto house na wametembea na ndoto ya kufungua ofisi ya udalali (Majembe Auction Mart) pamoja na Uwakili
 
Back
Top Bottom