pricaso
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 249
- 298
Wabena vipi Mkuu,Wivu kontena
Wako loyal, wanafanya kazi kwa bidii, heshima, ukarimu, hata faragha wapo sawa
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Wabena vipi Mkuu,Wivu kontena
Wako loyal, wanafanya kazi kwa bidii, heshima, ukarimu, hata faragha wapo sawa
Wala mbwa cjui kuna ukwel ktk hili
Wala mbwa cjui kuna ukwel ktk hili
Aisee nimecheka sanaMbona kwenye picha zote sijaona mbwa akitembea vipi.

Mkuu ulienda kutembea wapi!? Mbeya kubwa.Mbeya vumbi sana mpaka kuna kera. Mbeya imejengwa vibaya sana hakuna mpangilio wa mji.
Wewe utakuwa muhengaKwa kweli iringa sitapasahau. My favourite town.mara ya kwanza ilikua 79 nilipita na mdingi pale ni kakatwa kuingia kwenye bus la railway.sijui dingi hakulipa tkt sielewi. Nikapitishwa dirishani,82 nilifika kwa mjomba pale mkwawa chuoni nikiwa mdogo kabisa.then nikapita tena 88 nikielekea Singida,92 nikapita tena nikienda Mbeya. Hapo bado mdogo ndo teenager age. nikapita ya mwisho 93-94.halafu basi king kross la Boda mtera halikutokea , sijui lilikwama wapi.tumekaa siku 2 pale stand.ndio shala wambe akatukodisha bus tufike mtera. Siku 2 hizo ilikua ni kubwia ulanzi kwa kwenda mberee.nilikua na 1700 enzi hizo iliisha.hadi nauli nililipa ya kuunga unga.
Vichoxhoroni kwa mkuu wa wilayamsikiti huu upo maeneo gani?
Wanahusiana kwa karibu mno sifa na tabiaWabena vipi Mkuu,
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Indicator yangu ya kuelekea NMBMjini Iringa
View attachment 538682
LAPF Iyooooo.
Uindini hiyooooo.
Hapo kwa Baba nusa hatariiiiiUmesahau sifa nyingine kwenye majina, Iringa ndio mkoa au mji ambao majina ya kigeni kwenye mitaa ni karibu hakuna, ukiondoa Frelimo na Donbosco. Jina lingine geni ni Pomern, kwingine kote ni I kwa kwenda mbele, igeleke, ilambilole, ikingilanyi,ipalamwa,ifupira,irambo,itimbo, ihimbo, nk
Sifa nyingine ni ukarimu kwa wageni, kama wewe unataka kuwekeza Iringa, basi wewe tafuta mtaji wako njoo. Kitu kingine kizuri kwa Iringa ni usalama nyakati za usiku, hata kama utatoka Miami Club usiku sana, mambo ya nondo hakuna. Halafu wana Mgahawa wao wa 24/7 pale kati unaitwa Baba Nusa, hata saa tisa usiku, msosi upo.
Iringa, hadi raha. Wale waleta raha mjini toka Ipogolo wamejengewa fly over safi kabisa.
Hapo mbele ya tower town kuna road kuelekea Hospital ya mkoa...Mjini Iringa
View attachment 538682
Hapo mbeke ya tower town kuna road kuelekea Hospital ya mkoa...Mjini Iringa
View attachment 538682