Ta-kibombo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 648
- 514
Aisee iringa hata Mimi naipenda kweli.Pia nimependa thread naningependa kuona thread maalum zinanzishwa za kuhusu Miji yetu ya Tanzania
Mkuu huyu TAKO si alikua muhindi au?? Kma namkumbuka hv Maana at that time naenda hapo nilikua na miaka kma mitano hv
mwez wa nane nilikua iringa na ndugu zangu, jion tukafanya mtoko tukakata sana mitaa kumbe wao walikua wanatafuta sehem wapate bia zao. Baada ya kuzunguka bila mafanikio ndo wakauliza iringa hakuna bar? akili zao walitegemea ziwe kama,dar yaan viti viwe nje. wakamuuliza mama mmoja akawaambia mbona mmezipita nyingi tu na nyingine hii hapa. lol
Iringa mjini raha sana na siku hizi baridi sio kali sana kama zamani.....................Habari za jioni mabibi kwa mabwana,
Bila kupoteza wakati, hebu Leo tutembelee mkoa wa Iringa.
Kwa ufupi,
Jina iringa linatokana na neno lilinga, (which means fort) au boma kwa kiswahili. Mkoa wa Iringa una wilaya nne, ambazo ni Iringa Manispaa, Iringa Vijijini, Kilolo na Mufindi.
Katika elimu, mkoa wa Iringa una shule nyingi za sekondari (ni nyingi kuzitaja) na vyuo vikuu vitatu ambavyo ni;
Chuo kikuu cha Mkwawa
Chuo kikuu cha Iringa
Chuo kikuu cha Ruaha
Pamoja na taasisi nyingine za elimu ya juu zikiwemo chuo cha ustawi wa jamii na chuo cha mafunzo ya Ualimu cha Kleruu.
Shughuli za maendeleo, shughuli za maendeleo katika mkoa wa iringa ni kilimo, ufugaji, usindikaji na biashara.
Kilimo ndio inayochukua nafasi kubwa, hasa katika mazao ya nafaka, mbao, mazao ya biashara kama chai, mazao ya mbogamboga n.k. Bado kuna fursa nyingi hasa katika kilimo cha misitu ya mbao katika wilaya za Kilolo na Mufindi, ambazo hali ya hewa inafaa sana kwa makuzi ya misitu ya mbao. (Fursa hii vijana watanzania changamkieni)
Mpaka sasa mkoa wa Iringa una TV station moja (IMTV) na fm Radio Stations 7
Ambazo ni;
Trap Gang Radio
Ebony FM
Country FM
Nuru FM
Kibla ten FM
Furaha FM
Overcomers FM
Hivi karibuni Iringa imekuwa ni manispaa ya kuvutia sana kuanzia huduma za jamii (umeme, maji, afya na elimu), miundombinu, mazingira na ujenzi wa mji unaokuwa kwa kasi, hali hii pia imechochewa na kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya lami inayounganisha Dodoma na iringa, ambapo kwa sasa Kanda ya Ziwa na kaskazini zimeunganishwa na nyanda za huu kusini na kupelekea kufunguka fursa zaidi za kibiashara.
Kwa sasa Iringa ni HUB.
Pamoja na mengine mengi.
Nihitimishe kwa kupongeza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia hongera sana ndugu zangu wana Iringa, ongezeni juhudi.
Asanteni sana.
Iringa town,
View attachment 399626View attachment 399627
View attachment 399628View attachment 399629View attachment 399630
View attachment 399632
View attachment 399634
View attachment 399635
View attachment 399636
View attachment 399637View attachment 399638View attachment 399639View attachment 399640
Mkuu mm ni mnyalu na sijui hii dhana inatokana na nini... Kama ingekuwa na uhalisia kila siku tungekuwa tunasikia watu hadi 10 wanajinyonga kwa siku! Lkn hakuna!
Mkuu mm sijisikii mnyonge kwa hili... Hebu leta takwimu kwa siku wanajinyonga watu wangapi?huu ni ukweli mtupu, rate ya watu wa kwetu huku kujinyonga ni kubwa kuliko na maeneo mengi, iringa inaongoza kuwa na idadi kubwa ya mbwa kuliko mkoa mwingne, kwanini wasiseme tunakula mbwa. after all vitu hivi havitakiwi kukufanya uwe mnyonge, ni vitu vya kujivunia coz ndo historia yetu huku. feel confident.
Nikifika iringa break ya kwanza ni kwenye vibanda vilivyopo karibu na jengo la ccm mkoa kwa ajili ya kitimoto pale dah sitoacha kuja iringa jamani
Mkuu mm sijisikii mnyonge kwa hili... Hebu leta takwimu kwa siku wanajinyonga watu wangapi?
Mkoa kuwa na mbwa wengi kuzidi mikoa mingine! Mbona mm nmekulia huko na sijawahi kuona mtu akila mbwa?
Nyongise mvina uyapite wutwa ukuleta ululegesi ulu mujf umu,Neke napo tuvanya ukwetu pe tuluwene tukiyangasula wuhuloHabari za jioni mabibi kwa mabwana,
Bila kupoteza wakati, hebu Leo tutembelee mkoa wa Iringa.
Kwa ufupi,
Jina iringa linatokana na neno lilinga, (which means fort) au boma kwa kiswahili. Mkoa wa Iringa una wilaya nne, ambazo ni Iringa Manispaa, Iringa Vijijini, Kilolo na Mufindi.
Katika elimu, mkoa wa Iringa una shule nyingi za sekondari (ni nyingi kuzitaja) na vyuo vikuu vitatu ambavyo ni;
Chuo kikuu cha Mkwawa
Chuo kikuu cha Iringa
Chuo kikuu cha Ruaha
Pamoja na taasisi nyingine za elimu ya juu zikiwemo chuo cha ustawi wa jamii na chuo cha mafunzo ya Ualimu cha Kleruu.
Shughuli za maendeleo, shughuli za maendeleo katika mkoa wa iringa ni kilimo, ufugaji, usindikaji na biashara.
Kilimo ndio inayochukua nafasi kubwa, hasa katika mazao ya nafaka, mbao, mazao ya biashara kama chai, mazao ya mbogamboga n.k. Bado kuna fursa nyingi hasa katika kilimo cha misitu ya mbao katika wilaya za Kilolo na Mufindi, ambazo hali ya hewa inafaa sana kwa makuzi ya misitu ya mbao. (Fursa hii vijana watanzania changamkieni)
Mpaka sasa mkoa wa Iringa una TV station moja (IMTV) na fm Radio Stations 7
Ambazo ni;
Trap Gang Radio
Ebony FM
Country FM
Nuru FM
Kibla ten FM
Furaha FM
Overcomers FM
Hivi karibuni Iringa imekuwa ni manispaa ya kuvutia sana kuanzia huduma za jamii (umeme, maji, afya na elimu), miundombinu, mazingira na ujenzi wa mji unaokuwa kwa kasi, hali hii pia imechochewa na kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya lami inayounganisha Dodoma na iringa, ambapo kwa sasa Kanda ya Ziwa na kaskazini zimeunganishwa na nyanda za huu kusini na kupelekea kufunguka fursa zaidi za kibiashara.
Kwa sasa Iringa ni HUB.
Pamoja na mengine mengi.
Nihitimishe kwa kupongeza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na pia hongera sana ndugu zangu wana Iringa, ongezeni juhudi.
Asanteni sana.
Iringa town,
View attachment 399626View attachment 399627
View attachment 399628View attachment 399629View attachment 399630
View attachment 399632
View attachment 399634
View attachment 399635
View attachment 399636
View attachment 399637View attachment 399638View attachment 399639View attachment 399640
hahahaaa umusinise kiwuyaBhee Mwagito...Wiwonga nyoni...imatawa ga vanu na imikoa gaitamilwa na ierufi ngomiiii
iringa Iringa
kleruu Kleruu
mkwawa Mkwawa
kilolo. Kilolo
Nyongise mvina uyapite wutwa ukuleta ululegesi ulu mujf umu,Neke napo tuvanya ukwetu pe tuluwene tukiyangasula wuhulo
mapigoKamwene unoge!!
Luleketa na lwene veve......... kitwambula kikide???Twivagaya sida wewe
unoge yuve mvinamu nyarukoro kamwene!
kisima cha bibi hiyo hatariii