mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,336
- 6,427
Kama ulivyo wewe kamwene beeeMabinti wa kihehe.wanaheshima,wakarimu,na niwavumilivu.
Kama ulivyo wewe kamwene beeeMabinti wa kihehe.wanaheshima,wakarimu,na niwavumilivu.
Sawa mkuu ila hiyo si itakuwa ipo mkoa wa Njombe ama labda ungesema Hope fmMm pia ninapapenda Iringa,kwa upande wa radio ipo nyingine Njombe inakuja kwa kasi mno Kings FM lazima Ebony watakalishwa.
duuuuuu mara ya mwisho umeenda linNapakubali sana Iringa maana tunaweza kukubaliana tukutane town bila hata kupeana location lakini naweza kukutafuta nikakupata, maana maeneo ya kutembelea ni machache sana.
mwez wa nane nilikua iringa na ndugu zangu, jion tukafanya mtoko tukakata sana mitaa kumbe wao walikua wanatafuta sehem wapate bia zao. Baada ya kuzunguka bila mafanikio ndo wakauliza iringa hakuna bar? akili zao walitegemea ziwe kama,dar yaan viti viwe nje. wakamuuliza mama mmoja akawaambia mbona mmezipita nyingi tu na nyingine hii hapa. lol



SanaNachoipendea iringa n mji uliopangika vizuri sana karibu kila mtaa una barabara ya kupitika magari na nyumb hazijajengwa kwa kubabana hata kuendeleza miundo mbinu mbalimbali inakua rahisi...Wale wenzangu wa mshindo mpo
hapo kwenye mdudu hatari sana, yaani upatikanaji wake sio mgumu na ni karibu kila mtaapazuri sana nimepatembelea mara mbili,,kila siku natamani kurudi sema napaswa kufika kwingine,,,safi iringa hasa yule mdudu anapatikana kwa wingi sana na ni mtamu sana..marafiki wa iringa pia wastaarabu sana
Hivi pale miami bar ndio penye ile biashara kongwe kabisa duniani!Halafu mahindi yake hayahitaji pilipili...ni sweet corn matamuuu.
Nyama choma ya Miami balaa..sasahiv kuna club VIP na Laparte huko tena ndugu zetu wa chuo Ijumaa na Jmosi aaaaah....teleeeee
Hahahaaaa biashara gani hiyo jamani?Hivi pale miami bar ndio penye ile biashara kongwe kabisa duniani!
Da mpk sasa upo iringa?Sana
Nimekulia mshindo kanisani kwa chini , mpk secondary ndo tukahama mtaa!