Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga




Mkuu GRAND MUFTI, baada ya kupata facts hizi, badilisha basi hizo false facts kwenye bandiko lako lishibishe with hard facts!.

Tungekuwa UK, Eliza angeifungulia jf kesi ya 'Defamation by Innuendo!", na angeshinda na jf ingefilisiwa!. Tushukuru hapa ni bongo watu hawajali, ila amini usiami hii thread inaweza kutukoseshwa rais bora hivi hivi huki tunajiangalia!.

Pasco
Pasco, unaweza kuwaripoti kwa Invisible, wapewe onyo au post zao ziondolewe. Nilifanya hivyo mada ya Makongoro baada ya kuona wanamchafua mtu kwa picha za kufoji, ili kusukuma ajenda zao.

Nilikaa kimya 2005,nilikaa kimya 2010, mwaka huu nitatumia kila pumzi yangu kuhakikisha tunapata raisis bora. Kama kuna TIMU inajiandaa kwa siasa za majitaka wajue kuwa hawatakatiza.

Kama CCM na watanzania tukiwaeleza mbichi na mbivu zipi, halafu wakaendelea na kuchagua hovyo, wasilete ulalamishi hovyo come 2016.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Janeth Mbene ndo shemeji yetu!!! Duh!!! Mwamba eti hujui shida go?
Pasco, muone mlkurupukaji mwengine huyu. taarifa sahihi zimeshatolewa lakini bado anang'ang'ana na taarifa potofu.

Na hawa ndio dizaini ya wapiga kura tulionao, sasa huyu ana ufahamu wa kutumia JF lakini ndio yale mambo ya shake well before use. Safari ndefu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mmoja 2005 tuliambiwa ni handsome tena hata baadhi ya waandishi usiowategemea walilipigia mstari hili. Na bado utasikia sifa nyingine wanazopewa " wateule"

It's no coincidence waandishi hao wakaneemeka baada ya 2005 elections. Njaa ni kitu kibaya sana. Demokrasia afrika itaendelea kuwa mtihani hadi pale Njaa itakapoacha kuwa Deciding factor ya kura za watu.
 
Kuna watu wanataka kumshughulikia kipuuzi Mahiga kama walivyomzima Salim Ahmed Salim..... nashangaa zile team hasimu zote matusi kwa Mahiga na familia yake.....kwa taarifa yenu hakuna mwanaccm safi kuliko Mahiga kwasasa.....

Yote haya ni Panic ya jamaa moja nyuma ya Lowassa anajiita Apson Mwang'onda.
Mwang'onda anamjua vizuri sana Mahiga na anajua kwamba a person like Lowassa doesnt stand a chance against Balozi Mahiga.
Pili huyu bwana Mwang'onda ndiye anachafua sana wanasiasa wanaompinga Lowassa kwasababu anawajua vizuri, na viongozi wengi wanamlalamikia Apson kwa kuwa bingwa wa kufanya hujuma.
Tatu Apson anajua what will befall him endapo mtu kama Balozi Mahiga akiwa raisi.
Sasa sisi watanzania hatutaki kuchezewa akili na watu wapumbavu kama huyu mjinga aliyeleta maada hii hapa anayejiita the THE GRAND MUFTI.....


Mkuu unaweza kumsingizia Mwang'onda, pamoja na dosari zake hawezi kucheza kiasi cha chini mno hiyo dirty game.

Anayeweza kucheza hiyo faulo lazima awe anatoka kwenye cycle ya mid old chap ya nyoka wa mdimu.

Unajua kuna zile "security clearance" zikiwa zaidi ya tatu tena kwa Watu wanaotoka sehemu zao za kazi za zamani ni kitisho, hasa ukizingatia mmojawao awe na sifa tangible tena akitokea bila kutarajia!
 
It's no coincidence waandishi hao wakaneemeka baada ya 2005 elections. Njaa ni kitu kibaya sana. Demokrasia afrika itaendelea kuwa mtihani hadi pale Njaa itakapoacha kuwa Deciding factor ya kura za watu.

Si njaa tu, ni pamoja na ujinga. Nina uhakika waliokuwa wanavizia vyeo kabla ya uteuzi ni wachache. Kuna mmoja aliwaambia "baada ya muda mfupi mtarudi kuandika kwa ukali zaidi kuliko Mimi"
 
Kimweri,

..kuna ka-triangle kabaya kidogo hapa.

..a very serious lapse of morals judgement kwa wahusika waliotajwa.

..ni bora kunyamaza kimya kuliko kum-provoke mleta hoja ku-dig dipper into this stuff.

cc Pasco, Kiranga, Jasusi

Amepata negative response kuliko matarajio. Hivi unajua kutunga fitna ni kipaji, na inahitaji muda.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unaweza kumsingizia Mwang'onda, pamoja na dosari zake hawezi kucheza kiasi cha chini mno hiyo dirty game.

Anayeweza kucheza hiyo faulo lazima awe anatoka kwenye cycle ya mid old chap ya nyoka wa mdimu.

Unajua kuna zile "security clearance" zikiwa zaidi ya tatu tena kwa Watu wanaotoka sehemu zao za kazi za zamani ni kitisho, hasa ukizingatia mmojawao awe na sifa tangible tena akitokea bila kutarajia!

Haahaaaa,
Remember what General Imran Kombe did?

I could be wrong: But one thing i'm sure is WHERE THERE IS SMOKE, THERE IS FIRE.
Apson yuko nyuma ya Lowassa and he is playing the ICARUS GAME which we all know it will not end very well.
Bwana Membe inafahamika vizuri sana kwamba anaishi na fitina kama ndiyo kivuli chake,....really sad.
TRUST ME THIS IS THE CLASH OF THE TITANS.

..Dr.Hassy Kitine.

..Dr.Augustine Mahiga.

..Bernard Membe.

..ina maana kuna vita ya chini-kwa-chini ya hawa wana usalama??

..Je, wana watu nyuma yao?

..Je, ukawa nao wana mtu/watu wao wa aina hiyo?

..But how effective are these ppl?

cc platozoom, Kimweri, Pasco, Nguruvi3, MTAZAMO, Mag3
 
Last edited by a moderator:
Fitna hizi za siasa ni mambo ya kawaida mbona Mitt Romney walimkomalia na 1% hadi akakosa Urais. Hii ndio siasa na kwa Bahati mbaya ni chafu kwa hiyo ukitangaza nia uwe tayari kutupiwa matope. Acheni kulia, kazeni buti Mchezo uendelee.
 
Na mie nasema jamaa hawezi kuelewa matatizo yetu kwa sahivi kwasababu ajenda zake na zetu havitengamani, havifanani katu. Hatumhitaji imported leader toka kwa watawala wa nje, tunamhitaji mwenzetu kama sisi

Kwani we unapiga kura CCM, kuvaa ni hulka ya MTU wengine sio hobby kwao Na haiusiani kuwa presidaa. Hatutaki MTU Kama sisi tunataka aliyejuu yetu. Mahiga ni mmatumbi Kama wengine Na anayo haki pia, kwa mlivyompamba anatakiwa kugombea
 
Fitna hizi za siasa ni mambo ya kawaida mbona Mitt Romney walimkomalia na 1% hadi akakosa Urais. Hii ndio siasa na kwa Bahati mbaya ni chafu kwa hiyo ukitangaza nia uwe tayari kutupiwa matope. Acheni kulia, kazeni buti Mchezo uendelee.


Kweli fitna.

Nacheka wanawananga watoto wake kuwa high class kwa kuishi na mzazi wao kituo cha kazi aliyopangiwa na nchi yake, wakati wao watoto zao wananunua nyumba UK (Lowassa) na wengine ndio wale wanaishi kwa kodi zetu toka 70's.
 
Hivi Janeth Mbene ,hajawahi kuchota vijisent kipindi fulani. Ngoja nipekuwe mafaili yangu!
 
I am just sick of CCM.

The whole party stinks to high heaven.

We just need a clean break from them but problem is, when I look around I don't see anyone else who can step in.

But I will never ever support CCM and their candidate because I refuse to be hoodwinked.

'' I don't see any ONE ELSE who can step in . . . '' ?!
Hili ndio tatizo letu watanzania wengi... Tunaacha mambo yaharibike mpaka haiwezekani kurekebisha tena, halafu tunanajilaumu..
'' that.. ONE ELSE might be YOU..! ''
Wake up and do your part.., stop complaining please..!
 
Nimemsikiliza jamaa kwenye hiyo lecture;Ana upeo mkubwa sana na anailewa vizuri sana Tanzania, historia yetu tulikotoka, challenges zetu, tulipo na tunakotakiwa kwenda. Kwa kifupi kati ya wote waliojitokeza upande wa CCM he is way on his own level. But sad wapiga kura ni watanzania wale wale waliowachagua kina JK

Spit..,
Ni kweli Dr Mahiga ana sifa.., tatizo ni chama anachokitumikia..!
Hawezi kamwe kuwageuka wenzake..
Tunajua, nae anajua haya madudu ya EPA, ESCROW, VODAFONE, na habari ya UBINAFSISHAJI fake wa CCM kujimegea mali ya UMMA..
Can he really bite the hand which feeds him...??!
NO WAY...!
Any clean Presidential contestant from CCM is ROTTEN...!
 
..ni kweli Dr.Mahiga amefanya kazi nje na ana exposure tofauti na ile aliyokuwa nayo JK.

..lakini kuna wana-CCM kama Prof.Tibaijuka, Prof.Muhongo, Mh.Kagasheki, Mh.Omari Nundu, Dr.Salim Salim, Dr.Daudi Balali, Prof.Benno Ndulu, ambao nao tunaweza kusema wana exposure kama ya Dr.Mahiga, au hata zaidi.

..zaidi nadhani tunaposema mtu ana-exposure ya kufanya kazi na kuishi nje ya nchi, tunategemea mtu huyo atakuwa hapendezwi na hawezi kuvumilia jinsi CCM inavyoendesha nchi hii.

..sasa mimi kitendo cha mtu kuishi na kufanya kazi nje ya nchi halafu bado akaendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM, kiasi cha kutafuta uongozi ndani ya CCM, hakinipi matumaini hata kidogo. Kwangu mimi that is a big, huge NEGATIVE.

..Binafsi ningemuamini Dr.Mahiga kama angetafuta uongozi kupitia vyama vya upinzani vilivyoko sasa hivi. Kama anaona Dr.Mahiga anaona vyama vya upinzani vilivyopo havifai, basi angeweza kabisa kuanzisha chama chake mwenyewe.

NB:

..Binafsi namheshimu sana Prof.Lipumba kwa kujitoa mhanga kuongoza chama cha upinzani. Huyu angebaki CCM leo angekuwa anakula kuku kwa mrija. Mwingine ni Zitto Kabwe. Kijana mdogo, raised by a single mother, ana ujasiri wa kuanzisha chama na kusimamia kile anachokiamini.

..Lakini tuna watu kama kina Warioba, Salim, Mahiga, whom the country has given so much, lakini wamejikunyata na wameshindwa kusimama kidete kupinga ufisadi na udhulumati unaoendelea nchi nzima.


cc Mkandara, Nyani Ngabu, Jasusi, Kimweri, Nguruvi3, ZeMarcopolo, Mzee Mwanakijiji, Kapwela, Zero, Mchambuzi

Kweli Nyoka ni waerevu...!
Asante sana...!
 
Wengine wote mijusi....Mamba na Mwamba ni mmoja tu, na ndie Rais, wote mnamjua, it is crystal clear, i don't need even to mention his name...!!!! Safari ya matumaini to Canan..!!!

Hatutaki kuendelea kuishi kwa matumaini..., tunataka kuishi ki ukweli.., kwa UHAKIKA . .
Tanzania tuna rasilimali za kututosha kuishi kwa heshima kabisa, na sio ''kuanza safari ya matumaini ''..., kama tulivyoishi '' maisha boronga kwa kila mdanganyika kwa miaka 10 .. ya Baba Ritz.. !
 
kumbe Mahiga huyu ni baba wa Modesta....we know the daughter lakini not the father...

simply put...HAFAI.
 
Mkuu,

Mimi kama wewe, mpaka sasa, hofu yangu haiko katika uwezo wala uadilifu wa Balozi Mahiga.

Hofu yangu ni kama mfumo wa Tanzania unaweza kuruhusu mtu kama Mahiga kuwa rais.

Tuna mtihani mgumu sana mwaka huu. Maana miaka yote tatizo letu moja jubwa limekuwa watu wenye uwezo na ambao hawana maswali kuhusubuadikifu wao wanekuwa hawajitokezi.

Mwaka huu kajitokeza huyu.

Labda kwa CCM, lakini kwa vyama pinzani mbona wamekuwa wakijitokeza watu safi tu. As long as Mahiga and the likes are within CCM, expect no Change, lots of excuses, business as usual. We need real CHANGE, No CCM.
 
Back
Top Bottom