Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,017
- 51,157
lete nondo mkuuGrace Mahiga yuko wapi? kama anasoma humu basi anipm nimkumbushe danger coy ya babu Ruvu na late Mwambingu!! hehheh
lete nondo mkuuGrace Mahiga yuko wapi? kama anasoma humu basi anipm nimkumbushe danger coy ya babu Ruvu na late Mwambingu!! hehheh
Kuna kambi zimechanganyakiwa baad aya kuone mediocre time is over.
Hivi leo hii mtu kama Dr.Salim A Salim akichukua fomu si kuna watu watakosa hata pozi za kuelezea international experience yao?similar issue has arisen with Mahiga, amewaondolea pozi waliotaka kujikweza kwa diplomatic experience kama kina membe n.k
sawa mkuu, inaonekana unaufahamu kidogo wa huyu ndugu yetu, ila kwa utaratibu wa kawaida kazi haifanywi na mtu mmoja, inafanywa na timu nzima, na bila timu hakuna mtu, ubora wa mtu unaonekana kwa sehemu tu ya mchango wake na si kwamba yeye ndio kafanya kila kitu, naelewa kabisa katika utendaji wa kazi, wale wadogo ndio hufanya kazi lakini sifa huenda kwa bosi, hivyo sitaki kuamini kwamba yeye ndio alikua kila kitu, that does not apply, na haina maana kwamba katika muda wote huo tokea alipofanya yeye hilo, hakujawahi tokea majaribio ya kupindua nchi, hapana hayo yapo na watu wanafanya kazi kulinda taifa, kwahiyo kazi inafanyika kila siku sio mara moja tu mkuu, hilo si jambo pekee la kumfanya yeye kua rais, ingawa lilifanyika na yeye alikuwepo
ni nani ambaye hakuwa muadilifu kipindi cha nyerere?Wapiga kura hata Mkapa hawakumfahamu. Kuna watu walikuwa wanamchanganya Benjamin Mkapa waziri na Kenneth Mkapa mchezaji wa Yanga.
Ilionekana Kenneth Mkapa anajulikana zaidi kwao, kwani walikuwawanafuatikia mpira zaidi kuliko siasa.
Lakini Mkapa alipoteuliwa kuwa mgombea, alipitishwa nchi nzima na kutambulishwa.
Vivyo hivyo kwa Ali Hassan Mwinyi. Hakujulikana sana kabla ya kuwa rais wa Zanzibar.
Kwangu mimi, kitu muhimu ni uwezo na uadilifu. Ukiwa na hivi, kujulikana si issue kwa sababu kampeni zitafanyika.
swala la utumishi wa mkapa na mahiga kuna utofauti mkuu, hakuna uhusiano
Jambo la exposure lime tu cost sana kwa Kikwete.
Kikwete kaulizwa na Bob Geldof, kwa nini Tanzania maskini?
Kasema hajui sababu. Rais mzima.
Mtu kama Mahiga ukimuuliza swali kama hilo ana flow dissertation material kutoka local reasons mpaka geopolitical structures at play.
Tanzania inahitaji rais kama huyo.
Mahiga alivyokuwa UN alikuwa ndiye mtu Kikwete anamkimbilia kufanya cleanup Membe akiharibu. He is a policy wonk, University professor, you wont be worried abouthis exposure and being able to articulate the problems.
Sawa, lakini hata Mahiga naye ikija kwenye mambo ya ndani ya nchi resume yake si pana kivile.
Sasa swali ibuka ni je, Tanzania tunahitaji mtu mwenye foreign policy experience iliyotukuka au tunahitaji mtu mwenye kuyaelewa matatizo yanayowakabili Watanzania?
wewe kweli huna hoja.
Yani mover and shaker UN ya post 2010, unamuita nyakati imepita?nadhani una-refer tu Edward Lowassa, ambaye cheo cha maana ndani na nje ya Tanzania ni kuwa PM miaka 8 iliyopita.
Mahiga is what we call an all around figure. Well versed in Economics, development, policy, Intelligence,security, diplomacy and leadership.
On top of that ni msafi kushinda almost wote hapo CCM. Sababu pekee hafai kuwa Mgombea wa CCM ni kuwa he is overqualified in comparison to people he is running with. Sasa ukiweke kimtu kama kijanuari na Mahiga sijui kitakimbilia wapi. Wakati Januari experience yake ya UN kaipatia kambi ya wamkimbizi kama mfanyakazi, Mahiga has his kama UNHCR director Geneva, wakati Makamba experience yake ya international Diplomacy kaipata kwa kuongozana na Misafara ya JK kama speechwriter au mbeba mikoba, Huyu bwana playground yake ni UN securty council, ambako wanapimana nguvu na mijitu korofi kama Russia, China, US , EU ,wasomali n.k.., wakati January security clearance yake imegomea kwa naibu waziri,mwenzie was security clearance yake was presidential level enzi za Mwalimu wakati we had proper security,too high that his name was not even mentioned back in the Mwalimu days. Enzi hizo unahisi flani nae mwanausalama, sio sasa hivi hadi kina Slaa wanajitamba nusu ya TISS wana-report kwake.
Wakati vijitu kama vikina january vina uzoefu wa miaka isiyozidi mitano kwenye leadership position huyu bwana ana uzoefu as long as January's age.
The only reason he does not fit is he is bigger fit than his opponents.
ni nani ambaye hakuwa muadilifu kipindi cha nyerere?
KINGUNGE ambaye leo anaufisadi UBUNGO STEND, HUKU MWANAE KINJEKITILE akijulikana na wabeba....kama bosi wao alikuwa muadilifu kupindukia kipindi cha nyerere
JK PINDA hawakuwepo wakati wa nyerere na hawakuwa waadilifu?mbona wameitenda nchi namna hii?
NB:KIPINDI CHA NYERER MOST MTENDAJI ALIKUWA MUADILIFU HATA KINAFIKI
ni nani ambaye hakuwa muadilifu kipindi cha nyerere?
KINGUNGE ambaye leo anaufisadi UBUNGO STEND, HUKU MWANAE KINJEKITILE akijulikana na wabeba....kama bosi wao alikuwa muadilifu kupindukia kipindi cha nyerere
JK PINDA hawakuwepo wakati wa nyerere na hawakuwa waadilifu?mbona wameitenda nchi namna hii?
NB:KIPINDI CHA NYERER MOST MTENDAJI ALIKUWA MUADILIFU HATA KINAFIKI
We need a good balance.
Personally naamini we just need a break from this circus of corrupt-in corrupt-out. we need a reset button. And i only see that in Makongoro and Mahiga, the rest is more of the same.
I pick Mahiga over Makongoro, since am sure, when it comes to decisions that matters that are backed up with experience, one will not make a phone-call for help, he has probably been there already.
Hawa waliobaki kina Lowassa, Pinda, Membe, Makamba, Mwigulu, Wasirra etc etc, are way too flawed for my personal taste.
ni jambo baya sana na la hatari kujiaminisha kwamba unauwezo mkubwa kuliko wengine, huwezi pima uwezo wako bila kuwepo hao wengine, Messi hachezi mwenyewe barcelona, na hawezi funga mwenyewe timu nzima ya watu 11, anahitaji watu bora kama iniesta na xavi kumpa pasi ili afunge kwahiyo kama hakuna mtu bora wa kumpa pasi ili afunge basi messi hatafunga..hivyo hakuna mtu bila watu, huyo ndugu hawezi fanya kila jambo pekee bila kutegemea wengine, lazima wengine pia wawepo, ndipo yeye utumishi wake uonekane, hilo ni kama tusi mkuu kwamba Tanzania nzima hawafiki watu 5? wa kumsogelea huyu ndugu..is he from Mars?? Then he does not belong here..he should go back where he came fromkweli umechanganyikiwa, sasa kama kazi inafanywa na watu wengi, lawama kwa JK humu mnazitolea wapi?au ndio double standards?
Hujui ulisemalo, hakuna jambo linalofanyika kwa ufanisi bila sound leadership, mmeshafanya hiyo experiment na JK mmeona matokeo yake.inaonekana hamjakoma.
Sifa za weledi wake haziondoi sifa za weledi wa viongozi wengine, it's not a zero sum game wewe. Ngoja nitoe mfano utakaouelewa labda.
Maradona alikuwa mchezaji bora wakati wake, akaja Ronaldo de lima, akaja Ronaldinho, sasa kuna Mesi. Sasa ubora wa hawa waliokuja karibuni hakuondoi ubora wa aliyekuwepo zamani.it's not like ubora wa Mesi, unapunguza kutoka Ubora aliokuwa nao Maradona, That is sealed. Maradona was good, and that's the end of it.
Nikirudi kwa huyu bwana, sio kwa kuwa he is good at what he does, haimaanishi hakuna wengine wajuvi kama yeye, bahati mbaya wajuvi wenye ujuvi kama wake hawajai Kiganja Tanzania ya sasa iliyojaa wanasiasa matapeli, na vihiyo wasio na uwezo wa kufanya lolote. Watanzania walio hai wenye calibre ya huyu bwana hawajai kiganja na am pretty sure asilimia 80 wako zaidi ya 65 na mmoja ameshakuwa raisi wetu tayari.
Tutatoana macho bure! Nadhani wote sisi bado hatujajua jinsi ya kutafuta kiongozi bora. Huyu Januari hana uzoefu na anaweza kuwa ni bureee! Lakini pia anaweza kuwa safi kabisa! Obama Kabla ya kuwa Rais hakuhitaji historia ndefu sawa na umri wa Januari.
François Hollande hakuwahi hata kuwa Waziri na leo ni mkuu wa nchi bora kabisa ulaya. Hapa TZ tumekuwa tukichota hao wazoefu wetu, wako wapi? Tangu Mkapa, Mwinyi, Kikwete, woote ZERO! ZERO! ZERO! walinganishe na Nyerere aliyekuwa mwalimu wa Pugu.
Ili tufiche madhaifu yao kwakua hawajulikani, kwa maana ni rahisi kutudanganya kwa mazuri yao, sidhaniSijalinganisha utumishi wa Mkapa na Mahiga.
Nimekuonesha jinsi gani suala lako la kujulikana lisivyo na umuhimu.
Kwa sasa, kujukikana kunaweza kuwa disqualification kwa sababu wanaojulikana hawajafanya kubwa.
Labda tujaribu wasiojulikana sana.
hatuna tatizo la idd iman kwa sasa, na tayari alishapoteza utanzania kwa miaka aliyokaa nje??
1.kumwondoa amini ni sifa tena sana kijeshi na kiusalama ILA SI SIFA KUSIASA ya kukupa uongozi wa nchii
2.IKIWA TUNATAFUTA mkuu mpya wa idara flan ya kiusalama MAHIGA YES ila si urais
tukiongelea urais una uhusiano gani na usalama wa taifa aliohudumu??????KITINE HAKUDANGANYA MKEWE ANAUMWA KUMBE ANAKULA BATA UINGEREZA???kitine na yeye hakuwa mkuu wa usalama????
TUNATAKA RAIS na si mkuu wa chuo cha mafunzo ya kiusalama
Exposure ya Kikwete siyo sawa na ya Mahiga hata Kidogo. Kikwete hajawahi kusoma wala kukaa nje ya nchi kwa muda mrefu. Hii exposure ya kwenda kikazi au kozi ya miezi 2-3 siyo exposure kubwa kama watu wanavyopenda kufikiria. Exposure ya Kikwete unayoizungumzia ni wakati akiwa Waziri wa Foreign Affairs!!? Kwangu exposure ni kupata fulsa wa kuishi na kufanya kazi na watu wengine kwa muda murefu, probably 2 to 3 three years!!
sasa wewe huoni kuwa Hao uliowataja wameonesha true colors zao wakati Mahiga amebakia more of the same?
ni jambo baya sana na la hatari kujiaminisha kwamba unauwezo mkubwa kuliko wengine, huwezi pima uwezo wako bila kuwepo hao wengine, Messi hachezi mwenyewe barcelona, na hawezi funga mwenyewe timu nzima ya watu 11, anahitaji watu bora kama iniesta na xavi kumpa pasi ili afunge kwahiyo kama hakuna mtu bora wa kumpa pasi ili afunge basi messi hatafunga..hivyo hakuna mtu bila watu, huyo ndugu hawezi fanya kila jambo pekee bila kutegemea wengine, lazima wengine pia wawepo, ndipo yeye utumishi wake uonekane, hilo ni kama tusi mkuu kwamba Tanzania nzima hawafiki watu 5? wa kumsogelea huyu ndugu..is he from Mars?? Then he does not belong here..he should go back where he came from
PINDA, KINGUNGE JK hawakuwa watiifu na waaminifu kwa serikali ya Nyerere?leo wameitendaje hii nchi???HATA MAHIGA ni kundi lilelile la watu waliokuwa watiifu wakinafki baada ya mwalimu leo mabilioneaMungu alitupa wasaidizi wakuu watatu, nabii kuhani na mfalme (kiongozi wa nchi) kazi ya nabii nikutuletea maono kutoka kwa Mungu, kazi kuu wa kuhani nikuimarisha mahusiano yetu na Mungu, kazi kuu ya mfalme ni kupigania taifa dhidi ya maadui.
Tukiweka kiongozi mkuu wa nchi asiyeyajua masuala ya usalama tumekwisha, tukiweka kiongozi mkuu wa nchi asiyeweza kutupigania dhidi ya umasikini maradhi na ujinga tumekwisha. Tukiweka mkuu wa nchi asiyejua akahemee wapi na lini tutalala njaa.
Katu hatuwezi kuchagua kiongozi wa nji sifa yake kuu ni kutanua mabinti, hatuwezi kuchagua mkuu wa chi sifa yake kuu ni kuwa naibu waziri kwa miaka miwili, huu umaarufu wakutengeneza vipindi itv wapeleke kwenye all white party sio ikulu.