Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Wako wapi makatibu wakuu wa wizara ambao naamini wanaweza kuwa wazuri kuliko hata hawa mawaziri wanasiasa. . . . . ..
Kwa mujibu wa sheria mpya ya Utumishi wa Umma ya mwaka 2002, viongozi wote wa utumishi wa umma, hawaruhusiwi kushiriki kwenye shughuli za kisiasa, makatibu wakuu ni viongozi wa utumishi wa umma, ili watangaze nia, inawapasa kwanza wajiuzulu nyadhifa zao za utumishi wa umma ndipo watangaze nia!. Ukiisha jiuzulu ukikosa huwezi kurudi!. Kabla ya hapo ulikuwa unachukua tuu likizo, ukikosa unarudi!.

NB. Hii haimaanishi hawaruhusiwi kuwa wanachama, no wanaruhusiwa kuwa wanachama ili hawaruhusiwi kugombea nyadhifa za kisiasa!. Wakiisha staafu ruksa kugombea!.

Pasco
 
Mahiga
Mkewe ni Mbunge Janeth Mbene,

janeth.jpg

mkewe (Janeth Mbene)
hivi janeth mbene ni mkewe au mzazi mwenzake .....maana juzi katokea na mwanamke mwingine kama mkewe ....nadhani mleta hoja weka hoja vizuri
Janet Mbene si mke wa Mahiga.
Balozi Mahiga ana mke mmoja tu. Anaitwa Elizabeth Mahiga.
Mkuu GRAND MUFTI, baada ya kupata facts hizi, badilisha basi hizo false facts kwenye bandiko lako lishibishe with hard facts!.

Tungekuwa UK, Eliza angeifungulia jf kesi ya 'Defamation by Innuendo!", na angeshinda na jf ingefilisiwa!. Tushukuru hapa ni bongo watu hawajali, ila amini usiami hii thread inaweza kutukoseshwa rais bora hivi hivi huki tunajiangalia!.

Pasco
 
Kwa mujibu wa sheria mpya ya Utumishi wa Umma ya mwaka 2002, viongozi wote wa utumishi wa umma, hawaruhusiwi kushiriki kwenye shughuli za kisiasa, makatibu wakuu ni viongozi wa utumishi wa umma, ili watangaze nia, inawapasa kwanza wajiuzulu nyadhifa zao za utumishi wa umma ndipo watangaze nia!. Ukiisha jiuzulu ukikosa huwezi kurudi!. Kabla ya hapo ulikuwa unachukua tuu likizo, ukikosa unarudi!.

NB. Hii haimaanishi hawaruhusiwi kuwa wanachama, no wanaruhusiwa kuwa wanachama ili hawaruhusiwi kugombea nyadhifa za kisiasa!. Wakiisha staafu ruksa kugombea!.

Pasco

Mkuu Pasco,

Mwele Malecela sio mtumishi wa umma??
 
Hapo red hapo.....

JF inasomwa na watu wangapi.... au tuseme jukwaa la siasa wanasoma watu wangapi "wapiga kura" kiasi kwamba hii thread iweze kutukosesha rais bora??

Rais tayari tunamjua, acha tuwafahamu kwa kina hawa wanaotaka kumchalenji rais wetu ajaye.
 
Kwa mujibu wa sheria mpya ya Utumishi wa Umma ya mwaka 2002, viongozi wote wa utumishi wa umma, hawaruhusiwi kushiriki kwenye shughuli za kisiasa, makatibu wakuu ni viongozi wa utumishi wa umma, ili watangaze nia, inawapasa kwanza wajiuzulu nyadhifa zao za utumishi wa umma ndipo watangaze nia!. Ukiisha jiuzulu ukikosa huwezi kurudi!. Kabla ya hapo ulikuwa unachukua tuu likizo, ukikosa unarudi!.

NB. Hii haimaanishi hawaruhusiwi kuwa wanachama, no wanaruhusiwa kuwa wanachama ili hawaruhusiwi kugombea nyadhifa za kisiasa!. Wakiisha staafu ruksa kugombea!.

Pasco

Ndio mana nasema ni mfumo na katiba yenye upofu ndani yake. . . . .Unaposema ni haki ya kila raia kufanya hivyo halafu unaacha wigo mpana kwa wanasiasa tena wengine hawana hata uzoefu serikalini na unabana top cream ya utendaji serikalini haina logic wala maana. . . . .

Kwani Rais ni wadhifa wa kisiasa kwa tafsiri hiyo uliyoweka??!!!
If so then.. . . . .tusipoendelea hatuna sababu ya kumlaumu acha ajenge chama kilichomuweka madarakani
 
Mkuu Pasco,

Mwele Malecela sio mtumishi wa umma??
Kuna tofauti katika ya Wizara, Idara na Wakala zinazojitegemea, yaani MDA's hizi ndio umma!. Mashirika yana policies zake ndio maana hata pale UDSM mimi nimepita wakati Dr. Mvungi akikaumu u dean, huki ni kiongozi wa NCCR, Prof. Berugu akiwa kiongozi wa Chadema, Prof. Safari akiwa CUF na sasa Prof. Kitila Mkumbo yuko ACT!. Mvungi alipogombea urais alichukua likizo akiwa Dean, alipokosa na kurejea, kwanza alikataliwa!, baada ya kuchimbuliwa vifungu na vifungu alikubaliwa kurudi but not as dean anymore!. Hata Dr. Migiro alitokea pale UD na aliporejea kutoka UN, alijisubmit UDSM akarejreshwa!.

Hivyo naamini Dr. Mwele atakuwa amechukua likizo!. This is possible nje ya MDA's!, ndani ya MDA'a hakuna ni uamue moja au siasa au utumishi wa umma, hukuna mguu ndani na mguu nje!.

Pasco.

Kumbe Janeth Mbene ndo shemeji yetu!!! Duh!!! Mwamba eti hujui shida go?
 
Piga nikupige. Sioni muhimu wa kuwa na Rais anayetokana na Uwaziri, angalau tupate "controversial trusted person"
Kwa wasiolewa kwa haiba ya Mahiga na nafasi ya juu aliyoshika akiwa TISS angalau ninaweza kumpa B+
 
Kama walivyo 95% ya mabalozi na maofisa wa ngazi za juu wa serikali ya Tanzania huyu hajui shida ni nini na watu wenye shida wanaishi vipi

Huyu ndio wale wanaitwa THE HAVE LOTS na familia yake na mkewe wote ndio katika hiyo hiyo CIRCUS ya wanaoishi kwenye Ivory towers. Marafiki zake kisirisiri wanamwita POSH BOY MAHIGA....

Huyu alikuwa anapigiwa kampeni na mmoja wa wagombea Urais ili awe bosi wa Usalama lakini hawakufanikiwa na Mheshimiwa Rais akamteua mtu mwingine (ambaye akina Mahiga waliendelea kumpiga vijembe na articles zao kwa kutumia Pseudo names kwenye media Tanzania).

Mkewe ni Mbunge Janeth Mbene, Watoto wake wamesoma shule za International schools na hawajui Kiswahili vizuri), mtoto wake mwingine wa kufikia ndio PR director wa NSSF.

Huyu anajua zaidi mitaa ya Upper East side of Newyork kuliko Kariakoo, Ruvu, Kigoma, Tabora, Mwambani na Visiga

Huyu anajua zaidi tena kwa kichwa North Delegates Lounge bar kuliko Kwa Macheni auBreak Point (sidhani hataka anazijua)

Cliques zake tanzania ndio hao hao ma diplomats wenzake waliozaliwa na silver spoon kuliko hao wenyeviti wa serikali za mitaa.

Ukimuuliza bei ya nyanya tanzania hajui lakini anaspend close to $700 kununua tai moja kwenye department store la kifahari la Bergdorfgoodman (hili liko mtaa wa 5 avenue ambao umejaa maduka yenye kuuza vitu ghali zaidi duniani). Huyu Mahiga suti zake ni bespoke za Ermenegilo Zegna, Kiton K-50 anashindana na yule bepari mwingine (AMI MPUNGWE). As a matter of fact huyo JK na kupiga pamba zake zote lakini bado hamfikii huyu jamaa ambaye juzi tumeshangaa kavaa shati la kijani ( naamini haya hilo shati la kijani la CCM alilovaa ni litakuwa limekuwa designed na hao hao jamaa zake wa 5th Avenue)

Mahiga anaweza kuwa ana uwezo wa kuongea na hao madiplomats na hao watu wa matawi ya juu wenzake lakini sidhani kama yeye na familia yake na marafiki zake na mnaompigia debe humu Jamii Forums mnaweza kutushawishi kuwa ni mtu ambaye yuko IN TOUCH na watazanaia waliopo on the ground

Nina wasi wasi kama aliwahi kufika ofisi za CCM kariakoo na ukimuuliza klabu gani ilishinda Upingwa wa ligi kuu mwaka jana sidhani kama anajua.

Ila ingekuwa yule binti yake mlokole ( MODESTA) anagombea tungemfikiria lakini kwanza aanze na level ya udiwani kumpima lakini si baba mtu ambaye najua fika kuwa mjumbe wa nyumba 10 hawezi kupita.

Kma ni mchezaji basi sioni tofauti yake na PASCAL CYGAN na ERIC DJEMBA DJEMBA. Tanzania na hasa CCM tunataka wachezaji wenye calibre ya THIERY HENRY, RAY PARLOUR, PATRIC VIEIRA na ROY KEANE na sio huyu mchezaji ambaye hata first 30 ya UJENZI RUKWA hapewi namba.

Tazama Video za Watoto wake.

janeth.jpg

mkewe (Janeth Mbene)

Nasema hivi

Hawa watu bora wake tuu na pesa zao na connections zao lakini kwenye chama hatuwataki kwa sababu hawafanani na sisi kwa lolote lile.

safi sana mkuu......haya mchambue na ngoyai sasa tunasubiri....
 
Last edited by a moderator:
Mahiga in MTU hodari namfahamu wakati alipokaimu ukurugenzi was TISS, baada ya kuondoka MZEE Kitine na marehemu Alex Khalid, Mahuga alikaimu u-DG huku mkurugenzi wa ndani alikuwa marehemu Mahmood Issa walifanikiwa kuzima maasi ya 1982 ya kumpindua Mwalimu Nyerere,wakati wa kuendesha zile kesi za uhaini kulikuwa na mashahidi watatu na shahidi maarufu Mr X ndie Mahiga, mashahidi wengine ni marehemu Mahmood Issa na MZEE Apson
 
Shukurani sana kwa kuweka mambo wazi katika historia.

Sina hakika kama serikali yetu ina mchakato rasmi wa ku declassify documents ili wanahistoria wapate wasaa wa kijifunza, kuandika, kuchochea ushirikishwaji umma na hata kutungwa kwa sheria kutokana na documents hizi.

Lakini kabla hatujajua zaidi kuhusu hilo, tunashukuru wenzetu mliokuwa na nafasi kutujuza haya.

Balozi Mahiga nafahamu uwezo wake. Ninafurahi sana nikisikia wengine wanaukubalibuwezo wake huo.
 
What do you mean mtu from nowhere?

Mahiga alikuwa Mkurugenzi serikalini tangu enzi za Nyerere, kafundisha Chuo Kikuu,

Kaka last semester katufundisha huyu jamaa international affairs,....na bado anafundisha.
He is down to Earth,...very brilliant and kind.
The class to remember is when he taught us about Sino-Tanzanian relations.
If he is to be the president then with no doubt this country will move a step ahead.

Sasa bora umesema wewe aliyekufumdisha.

Kama umepata kukutana na balozi Mahiga na kuongea naye, huwezi kusahau bashasha lake.

Balozi Mahiga anaweza kuwa anaongea na mtoto mdogo, au mchuuzi wa mtaani ambaye wengine hata wasingempa muda, lakini yeye anampa heshima zote na kuongea naye vizuri. Huwa ananikumbusha nidhamu na heshima fulani za watumishi wa umma wa enzi za Nyerere ambazo kwa sasa zimepotea. Bila shaka hii ni moja ya sababu alilizungumzia hili.

Mimi nilikuwa napata wasaa kizungimza naye alivyokuwa New York. Tuliiuwa tunaongea kama vile naomgea na mimi balozi vile.

Lama amekufundisha na umeona uwezo wake, naelewa kwa nini unamu endorse msomi huyu.

Tatizo wengibwetu washazoea siasa za makelele majukwaani na majungu, kama hawajakusikia humonl wanakuona huwezi kazi.
 
Wanataka "Rais mrembo"
 
PAMOJA NA kuwa boss wa usalama miaka hiyo lakini jamaa amekaa mno njee hatufai kwa sasa, ni lini alijiunga na chama chetu?TUNATAKA RAIS WA KITANZANIA, MWENYE FAMILIA YA KITANZANIA na si imported.
kama watoto ndio hawa na tutake tusitake familia ina infuence kwa namna flan altitude za wanafamilia basi mahiga hatufai

itazame familia ya Nyerere, sumaye na warioba utaweza kupata picha ya ninachokisema.

Wewe unawafahamu watoto wa Sumaye au ndiyo finger diarrhea kwenye keyboard?
 
Back
Top Bottom