Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,596
- 155,446
Labda kwa CCM, lakini kwa vyama pinzani mbona wamekuwa wakijitokeza watu safi tu. As long as Mahiga and the likes are within CCM, expect no Change, lots of excuses, business as usual. We need real CHANGE, No CCM.
Kupanda ngazi za uongozi upinzani ni lazima ucheze rafu. Saga la Zitto lime expose mengi. Mgombea gani wa upinzani msafi?
Watu wanaofikiri matatizo ya Tanzania ni chama kinachotawala wanajidanganya.
Tuna matatizo ya utamaduni ambayo yana kina kirefu kuliko vyama.