Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Upinzani wa Tanzania ni pasua kichwa. Just imagine ungekuwa mwanachama wa chadema umeinvest kwenye kuitangaza chadema Tanga ukiwa na lengo jimbo la Tanga mjini lije chadema. All of a sudden unaambiwa chadema iko ukawa na Tanga mgombea ni CUF tu.
Bora CCM ambao wako predictable. Hawa wengine wanajiendea tu, you never know kesho wataamka na lipi...

Hiyo kweli kabisa. Au ile habari ya mnajenga chama kwa muda mrefu tu, ukifika uchaguzi wanahamia watu 'maarufu' toka vyama vingine halafu 'kamati kuu' inawateua kwenye nafasi za juu (ubunge, uenyekiti etc) as if nyinyi mlikuwa mnacheza tu hapo!
 
Kwenye hiyo ya watu maarufu vyama vyote vina hiyo kasumba angalia majimbo yaliyopoteza wabunge. . . . . utapata picha halisi ya "umaarufu"
 
Kwenye hiyo ya watu maarufu vyama vyote vina hiyo kasumba angalia majimbo yaliyopoteza wabunge. . . . . utapata picha halisi ya "umaarufu"

Ni kweli tatizo kubwa kuliko wote ni jamii yetu ambao ni wapiga kura.
 
Tanzania ya sasa tunahitaji mtu wa kupambana na rushwa enzi za mwalimu mpaka Mkapa tulikuwa tunasema adui yetu ni Elimu Maradhi na Umaskini lakini leo hatuna maradhi kila kata kuna zahanati kila kata kuna shule ya secondary hatuna wajinga tena tumebaki na umaskini tu na kuondoa umaskini ni kupambana na wala rushwa tutakuwa tumejikomboa ivyo kiongozi ajae apambane na rushwa,
 
Bora angeendelea kuandika articles zake magazetini lakini sio kutaka kutuongopea eti yeye yuko kama sisi

Kivipi? Mtu anavaa suti ya dola elfu 7 atajua kweli shida zetu huyu?[/QUO

Ni mgombea yupi ambaye yuko kama NYINYI, watoto wake wanasoma kama NYINYI, Wanaishi kama NYINYI na waendelee kuishi maisha hayo hata baada ya yeye kuingia Magogoni? Ni nani? Ni mgombea yupi akishaingia Ikulu atakuletea nyumbani kwako kilo ya sukari, unga, au hata akulipie bill ya matibabu ya hosp?

Tunaweza mmpata Rais ambaye watoto wake wanaongea kiswahili lakini kama mfumo wetu wa utawala ni huu huu, asiwe mwadilifu, hawezi kusimamia sheria na mali za Umma TUTABAKI PALE PALE
 
Kama walivyo 95% ya mabalozi na maofisa wa ngazi za juu wa serikali ya Tanzania huyu hajui shida ni nini na watu wenye shida wanaishi vipi

Huyu ndio wale wanaitwa THE HAVE LOTS na familia yake na mkewe wote ndio katika hiyo hiyo CIRCUS ya wanaoishi kwenye Ivory towers. Marafiki zake kisirisiri wanamwita POSH BOY MAHIGA....

Huyu alikuwa anapigiwa kampeni na mmoja wa wagombea Urais ili awe bosi wa Usalama lakini hawakufanikiwa na Mheshimiwa Rais akamteua mtu mwingine (ambaye akina Mahiga waliendelea kumpiga vijembe na articles zao kwa kutumia Pseudo names kwenye media Tanzania).

Mkewe ni Mbunge Janeth Mbene, Watoto wake wamesoma shule za International schools na hawajui Kiswahili vizuri), mtoto wake mwingine wa kufikia ndio PR director wa NSSF.

Huyu anajua zaidi mitaa ya Upper East side of Newyork kuliko Kariakoo, Ruvu, Kigoma, Tabora, Mwambani na Visiga

Huyu anajua zaidi tena kwa kichwa North Delegates Lounge bar kuliko Kwa Macheni auBreak Point (sidhani hataka anazijua)

Cliques zake tanzania ndio hao hao ma diplomats wenzake waliozaliwa na silver spoon kuliko hao wenyeviti wa serikali za mitaa.

Ukimuuliza bei ya nyanya tanzania hajui lakini anaspend close to $700 kununua tai moja kwenye department store la kifahari la Bergdorfgoodman (hili liko mtaa wa 5 avenue ambao umejaa maduka yenye kuuza vitu ghali zaidi duniani). Huyu Mahiga suti zake ni bespoke za Ermenegilo Zegna, Kiton K-50 anashindana na yule bepari mwingine (AMI MPUNGWE). As a matter of fact huyo JK na kupiga pamba zake zote lakini bado hamfikii huyu jamaa ambaye juzi tumeshangaa kavaa shati la kijani ( naamini haya hilo shati la kijani la CCM alilovaa ni litakuwa limekuwa designed na hao hao jamaa zake wa 5th Avenue)

Mahiga anaweza kuwa ana uwezo wa kuongea na hao madiplomats na hao watu wa matawi ya juu wenzake lakini sidhani kama yeye na familia yake na marafiki zake na mnaompigia debe humu Jamii Forums mnaweza kutushawishi kuwa ni mtu ambaye yuko IN TOUCH na watazanaia waliopo on the ground

Nina wasi wasi kama aliwahi kufika ofisi za CCM kariakoo na ukimuuliza klabu gani ilishinda Upingwa wa ligi kuu mwaka jana sidhani kama anajua.

Ila ingekuwa yule binti yake mlokole ( MODESTA) anagombea tungemfikiria lakini kwanza aanze na level ya udiwani kumpima lakini si baba mtu ambaye najua fika kuwa mjumbe wa nyumba 10 hawezi kupita.

Kma ni mchezaji basi sioni tofauti yake na PASCAL CYGAN na ERIC DJEMBA DJEMBA. Tanzania na hasa CCM tunataka wachezaji wenye calibre ya THIERY HENRY, RAY PARLOUR, PATRIC VIEIRA na ROY KEANE na sio huyu mchezaji ambaye hata first 30 ya UJENZI RUKWA hapewi namba.

Tazama Video za Watoto wake.

janeth.jpg

mkewe (Janeth Mbene)

Nasema hivi

Hawa watu bora wake tuu na pesa zao na connections zao lakini kwenye chama hatuwataki kwa sababu hawafanani na sisi kwa lolote lile.

Mkuu mi nimekuelewa sana
 
Last edited by a moderator:
Tanzania ya sasa tunahitaji mtu wa kupambana na rushwa enzi za mwalimu mpaka Mkapa tulikuwa tunasema adui yetu ni Elimu Maradhi na Umaskini lakini leo hatuna maradhi kila kata kuna zahanati kila kata kuna shule ya secondary hatuna wajinga tena tumebaki na umaskini tu na kuondoa umaskini ni kupambana na wala rushwa tutakuwa tumejikomboa ivyo kiongozi ajae apambane na rushwa,
Unachosema si kweli hata kidogo! Eti hatuna maradhi Kwasababu kuna zahanati kila kata na ujinga hakuna Kwasababu kuna shule ya sekondari kila kata? Daah!

Heri useme rushwa ni kipaumbele lakini usiseme hayo matatizo mengine yamekwisha! Unasahau kuwa zahanati hazina madawa wala madaktari hakuna?

Umesahau hizo sekondari hazina waalimu wala vitendea kazi zikiwemo maabara?

Usiwe unasahau kuzungumzia quality ukabaki kuelezea quantity peke yake kuwa ndo kigezo!
 
ndo maana nakuuliza. Hizo standard za huko ndo unataka ziwe applied hapa. You must be a joker :becky:
Halafu kuna wanaodai eti ujinga umeisha bongo na kwamba si tatizo? Wewe mwenyewe umo humu toka 2008, lakini wapi! Sina imani na hizo shule za kata hata chembe!
 
Na mie nasema jamaa hawezi kuelewa matatizo yetu kwa sahivi kwasababu ajenda zake na zetu havitengamani, havifanani katu. Hatumhitaji imported leader toka kwa watawala wa nje, tunamhitaji mwenzetu kama sisi

Hutokaa umpate mgombea au rais mwenzako, aishi kama wewe. Vinginevyo utaishia kuletewa kibaba cha chumvi, sh 500 karibia na uchaguzi baada ya hapo unaendelea na shida zako.

Tunahitaji Rais atakayeheshimu wananchi kwa kusimamia na kuilinda katiba, Kusimamia sheria bila woga wa mtu yeyote na kulinda mali za umma. Kuinua uchumi na kipato cha wananchi kwa kusimamia njia kuu za uchumi na kusimamia nidhamu ya matumizi ya serikali.

Maiga ni mwadilifu, mchapakazi na mfuatiliaji, anachotamka ndicho anachomaanisha, na ndicho atakachosimamia. Mleta mada amemlenga yeye kwa kuwa amebaini MAIGA ni mmoja kati ya wanaoonekana kuwa tishio kwa wapendwa wa GRAND MUFTI. Vinginevyo hajui Maiga ni nani.
 
Hell no, huwezi linganisha USA au nchi ya Ulaya yenye strong beaurocratic machinery, well established constitution na well spined double webbed system na nchi kama Tanzania. . . . . . ambapo sasa mtandao na timu ndio engines

We need a tough going and well experienced candidate. . . . . . . .majaribio hapana.. . . mtu mwenye sauti ambaye kabla hajasema watu wajue nini kitafuata.. . . . mtu ambaye sifa zake zinatangulia uwanjani na zinaweza kueleweka kabla yeye hajafika

Kinyume cha hapo nitaungana na Kimweri baada ya uchaguzi

Who is that person you are searching? Si umeona mtu anatutajia CV ya mtu kama Mahiga kwamba ni exposed? Sisi exposure yake hatuhitaji. Tunahitaji mtu ambaye ni already tested and achieved.

Hebu sema kuhusu hao niliouliza:
Mwinyi; alikuwa waziri na aliyeonyesha uwajibikaji. Alipopata urais = zero
Mkapa; alikuwa waziri na akawa picked na huyo aitwaye baba wa taifa. Alipopata Urais= kiburi fedhuri, zero
Kikwete; alikuwa waziri na akalinganishwa na baba wa taifa. Alipopata urais = here we are, zero,

Sasa tumsubiri nani? Salim? huko OAU alifanya nini?

ukikataa mifano ya US, hebu chukuwa mfano wa Afrika ya Jelly Rawrings. Ktk Ghana nani kafanya la maana kuliko mtu huyu?
 
Last edited by a moderator:
Utaambiwa mengi mwaka huu, tatizo unakubali kila unaloambiwa.

Balozi Mahiga ana mke mmoja tu. Anaitwa Elizabeth Mahiga. Kama alizaa kabla hilo halifanyi kuwa ana mke zaidi ya mmoja.

..mkuu usianzishe ligi.

..kula nyuti, ili watu waondoke kwenye masuala ya ndoa wahamie kwenye mengine.

..vinginevyo utaumuumiza jamaa yako na wengine wasiokuwepo ktk kinyanganyiro hiki.

..kwenye nchi za wenzetu candidates huwa wanajiuliza if their families would be willing to go thru the scrutiny of the presidential campaign.

..kwenye nchi zilizoendelea huyu jamaa yako kampeni za Uraisi angeziogopa kama ukoma. Ila kwa hii Tz yetu mwendo mdundo tu.

cc Ritz, Nyani Ngabu, Jasusi
 
Last edited by a moderator:
Halafu kuna wanaodai eti ujinga umeisha bongo na kwamba si tatizo? Wewe mwenyewe umo humu toka 2008, lakini wapi! Sina imani na hizo shule za kata hata chembe!
Unaniita mjinga na wakati hunijui. Una assume nimesoma shule za kata:becky::becky:. You are proving to be a real joker. Mimi nikiwa mjingaa basi ujue bongo hakuna matumaini na wewe utakuwa ni mjinga zaidi yanguu maana ujinga una levels. Ungenifahamu in real life wala usingeongea huoo upuuzi. Don't be fooled by Virtual characters.
 
Upinzani wa Tanzania ni pasua kichwa. Just imagine ungekuwa mwanachama wa chadema umeinvest kwenye kuitangaza chadema Tanga ukiwa na lengo jimbo la Tanga mjini lije chadema. All of a sudden unaambiwa chadema iko ukawa na Tanga mgombea ni CUF tu.
Bora CCM ambao wako predictable. Hawa wengine wanajiendea tu, you never know kesho wataamka na lipi...

..ukiona hivyo ujue huyo aliyeachwa[CDM-Tanga] hana ushawishi ktk eneo husika kulinganisha na aliyepewa[CUF-Tanga] nafasi.

..pia kumekuwepo na maeneo mengi ambapo CCM imeshinda kutokana na vyama vya upinzani kugawana kura. sasa UKAWA inakwenda kuziba leakages kama hizo.

..halafu kuna kilio cha muda mrefu cha wananchi kuvitaka vyama vya upinzani kuungana. Well, UKAWA siyo muungano lakini at least wanaonyesha kwamba wamesikia kilio na ushauri wa wananchi and they are willing to meet them in the "middle."

..lakini watu kama Salim Salim, Joseph Warioba, Augustino Mahiga, ambao ni wazito na wanaweza kuwa na ushawishi mkubwa ktk jamii, wanapokuwa kimya wakati UFISADI umeshika hatamu ktk CCM na SERIKALINI inakatisha tamaa. Ndiyo maana wengine wanaamua kujiunga na vyama vya siasa hata kama vyama hivyo ni "PASUA KICHWA."

..Kwanini mtu aendelee kukaa CCM wakati the most predictable thing in that party in UFISADI? Huwezi kusingizia vyama vya upinzani ni vya hovyo, wakati milango iko wazi kuanzisha vyama vipya na visafi.

cc jMali
 
Last edited by a moderator:
mwaka huu lazima ngumi zichapwe.afu mnaowagombania hata hawajui kuwa unasubiri ufike kazini ndo usome taarifa zao kwa kutumia compyuta ya ofisi
 
..ukiona hivyo ujue huyo aliyeachwa[CDM-Tanga] hana ushawishi ktk eneo husika kulinganisha na aliyepewa[CUF-Tanga] nafasi.

..pia kumekuwepo na maeneo mengi ambapo CCM imeshinda kutokana na vyama vya upinzani kugawana kura. sasa UKAWA inakwenda kuziba leakages kama hizo.

..halafu kuna kilio cha muda mrefu cha wananchi kuvitaka vyama vya upinzani kuungana. Well, UKAWA siyo muungano lakini at least wanaonyesha kwamba wamesikia kilio na ushauri wa wananchi and they are willing to meet them in the "middle."

..lakini watu kama Salim Salim, Joseph Warioba, Augustino Mahiga, ambao ni wazito na wanaweza kuwa na ushawishi mkubwa ktk jamii, wanapokuwa kimya wakati UFISADI umeshika hatamu ktk CCM na SERIKALINI inakatisha tamaa. Ndiyo maana wengine wanaamua kujiunga na vyama vya siasa hata kama vyama hivyo ni "PASUA KICHWA."

..Kwanini mtu aendelee kukaa CCM wakati the most predictable thing in that party in UFISADI? Huwezi kusingizia vyama vya upinzani ni vya hovyo, wakati milango iko wazi kuanzisha vyama vipya na visafi.

cc jMali

Joka kuu nimekusoma but have this to say.....

Mfumo alioujenga baba yetu Nyerere ndani ya CCM ni kama vile hadithi ya kuku na yai....

Unaweza kuwatupia lawama hao kina Warioba and the co... Lakini imagine unavaa viatu vyao najaribu kuona nguvu alizopewa mtu mmoja anayeitwa president huku Tz; mtu wa ndani ni vigumu sana kama individual kusema au kuchukua hatua yeyote huku ukijua kabisa huyo mwenye rungu anaweza ama kuku support au kukuacha ukajifia huko kivyako once hiyo issue unayokomaa nayo ita back fire... Its like being caught in a prisoners dilemma....

Kukaa kwao kimya ni kuzuri kama motives ni kutoa nafasi kwa waliojipambanua kupata nafasi ya kushinda ili waibomoe hii system mbovu tuliyorithishwa lakini as you said unashangaa pale na wao wanapounga msururu ku consolidate hii system mbovu....Na hapo ndipo uzuri wao unapopotea gafla na kusababisha kiza kinene kwenye future ya nchi hii!

Well Mungu yupo na kama yupo this time He will demonstrate how alive is!
 
Last edited by a moderator:
Who is that person you are searching? Si umeona mtu anatutajia CV ya mtu kama Mahiga kwamba ni exposed? Sisi exposure yake hatuhitaji. Tunahitaji mtu ambaye ni already tested and achieved.

Hebu sema kuhusu hao niliouliza:
Mwinyi; alikuwa waziri na aliyeonyesha uwajibikaji. Alipopata urais = zero
Mkapa; alikuwa waziri na akawa picked na huyo aitwaye baba wa taifa. Alipopata Urais= kiburi fedhuri, zero
Kikwete; alikuwa waziri na akalinganishwa na baba wa taifa. Alipopata urais = here we are, zero,

Sasa tumsubiri nani? Salim? huko OAU alifanya nini?

ukikataa mifano ya US, hebu chukuwa mfano wa Afrika ya Jelly Rawrings. Ktk Ghana nani kafanya la maana kuliko mtu huyu?

Ndio mana nasema it stops with constitution and the "system" watu hata akija malaika nyumbani hakuna atalofanya. . . . Hivi kwanini wanaotaka U-Rais wengi mawaziri. . . . .Hii inakuambia nini??!!!

Wako wapi makatibu wakuu wa wizara ambao naamini wanaweza kuwa wazuri kuliko hata hawa mawaziri wanasiasa. . . . . ..
 
ckiliza cloudz fm jumatatu on power breack fast kuanzia sa 05:00 asubuh mpaka 09:59 asubhi midahalo ndo inaanza.

Kuna mtangazaji wa kuendesha mdahalo wa uzito huo katika hiyo stesheni; kama yupo nijuze tafadhali
 
Back
Top Bottom