Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Mtoa mada nadhani lengo lake alitaka maisha binafsi ya Mahiga yawe discussed hapa ambayo ni irrelevant. Kitu kinacho matter kwetu ni utumishi wake upoje. Je anaichukia rushwa. Je mtazamo wake kiuchumi upoje? Je atatutoa hapa tulipo kutusongesha mbelee. Mengi yote mnayoleta Team UP-UPU ni upumbavu tu usio na tija kwa maendeleo ya taifa hili.
 
Nimemsikiliza jamaa kwenye hiyo lecture;Ana upeo mkubwa sana na anailewa vizuri sana Tanzania, historia yetu tulikotoka, challenges zetu, tulipo na tunakotakiwa kwenda. Kwa kifupi kati ya wote waliojitokeza upande wa CCM he is way on his own level. But sad wapiga kura ni watanzania wale wale waliowachagua kina JK

Mkuu,

Mimi kama wewe, mpaka sasa, hofu yangu haiko katika uwezo wala uadilifu wa Balozi Mahiga.

Hofu yangu ni kama mfumo wa Tanzania unaweza kuruhusu mtu kama Mahiga kuwa rais.

Tuna mtihani mgumu sana mwaka huu. Maana miaka yote tatizo letu moja jubwa limekuwa watu wenye uwezo na ambao hawana maswali kuhusubuadikifu wao wanekuwa hawajitokezi.

Mwaka huu kajitokeza huyu.
 
Sidhani Kama ataweza kuwa na excuse! Hiyo tayari ni kashfa ambayo ni lazima apambane nayo!

Hapo inategemea na upambanuaji wa mambo walionao wadanganyika walio wengi watakaopiga kura!
Kwa hiyo uwezo wa mtu ujadiliwe kwa kuangalia kama ana nyumba ndogo? What a joke. :becky:
 
Diaspora! wengi karata yao ilikuwa kwa Bernard Membe, lakini naona Augustine Mahiga, kubadili mwelekeo.

Kwa hiyo unachotaka kusema ni kwamba wabeba mabox ndo wanamtaka huyu bwana badala ya Membe?
 
Kwa hiyo unachotaka kusema ni kwamba wabeba mabox ndo wanamtaka huyu bwana badala ya Membe?

Membe kashajitoa mwenyewe, kasema "akishindwa" atamuunga mkono Mwandosya.

We don't need a defeatist president.

Lowassa aliukizwa usipoteuliwa kugombea utafanya nini? The old fox replied, "sipangi kushindwa". Which was appropriate I think.
 
Tumeambiwa ana mke mmoja wa halali na mwanamke mwingine bahati nzuri wote kazaa nao yupo nao hawa wanawake toka anasoma UDSM.

Utaambiwa mengi mwaka huu, tatizo unakubali kila unaloambiwa.

Balozi Mahiga ana mke mmoja tu. Anaitwa Elizabeth Mahiga. Kama alizaa kabla hilo halifanyi kuwa ana mke zaidi ya mmoja.
 
Membe kashajitoa mwenyewe, kasema "akishindwa" atamuunga mkono Mwandosya.

We don't need a defeatist president.

Lowassa aliukizwa usipoteuliwa kugombea utafanya nini? The old fox replied, "sipangi kushindwa". Which was appropriate I think.

Huyo Membe hilo ni jibu tosha kabisa kuwa hata kanuni za mchezo hazijui.

Utatoaje endorsement wakati nawe bado ni mshindani?

Huyo utadhani si diplomat wakati mwingine.

Hahahahaaaaa some of these people man hahahaaaa.
 
Huyo Membe hilo ni jibu tosha kabisa kuwa hata kanuni za mchezo hazijui.

Utatoaje endorsement wakati nawe bado ni mshindani?

Hahahahaaaaa some of these people man hahahaaaa.

Sasa Membe is supposed to be the creme de la creme (foreign ministry ndo wanavyojiona wenyewe). Johns Hopkins graduate and all.

Hivi hawa watu wanapoenda kusoma nje wanafanya nini? Wanashindwa hata kusoma magazeti na vitabu kujua kwamba katika siasa na maisha you snooze you lose?

Kuna mtu alikuwa mshabiki wa Membe kichizi, sasa hii kauli imemvunja nguvu kabisa.

Inaonekana kama Membe alikuwa anabeeep tu, hana dola za kupiga simu.
 
Utaambiwa mengi mwaka huu, tatizo unakubali kila unaloambiwa.

Balozi Mahiga ana mke mmoja tu. Anaitwa Elizabeth Mahiga. Kama alizaa kabla hilo halifanyi kuwa ana mke zaidi ya mmoja.
Usikatae kuna watu wanamfahamu zaidi Dr Mahiga kuzidi wewe inawezekana uwa anakuficha, soma hii hapa chini.

Nyani, it is an interesting story. Mahiga alipokuwa chuo kikuu alikuwa na mchumba na wakati huo Janet akiwa girlfriend wake. Alimpenda sana Janet. Lakini akampa mimba mchumba wake na kulazimika kumwoa. Lakini hakusitisha mahusiano na Janet. Ndio anao watoto wengine na mke wake halali.
 
Sasa Membe is supposed to be the creme de la creme (foreign ministry ndo wanavyojiona wenyewe). Johns Hopkins graduate and all.

Hivi hawa watu wanapoenda kusoma nje wanafanya nini? Wanashindwa hata kusoma magazeti na vitabu kujua kwamba katika siasa na maisha you snooze you lose?

Kuna mtu alikuwa mshabiki wa Membe kichizi, sasa hii kauli imemvunja nguvu kabisa.

Inaonekana kama Membe alikuwa anabeeep tu, hana dola za kupiga simu.

Jamaa hovyo kabisa aisee.

I mean, what's the point of him wasting his time, energy, and whatever resources that he has if that's his mindset?

He might as well do everybody (and himself for that matter) a favor and drop out of the race.
 
Usikatae kuna watu wanafahamu zaidi Dr Mahiga kuzidi wewe inawezekana uwa anakuficha, soma hii hapa chini.

Nyani, it is an interesting story. Mahiga alipokuwa chuo kikuu alikuwa na mchumba na wakati huo Janet akiwa girlfriend wake. Alimpenda sana Janet. Lakini akampa mimba mchumba wake na kulazimika kumwoa. Lakini hakusitisha mahusiano na Janet. Ndio anao watoto wengine na mke wake halali.

How authentic is this?

And even more important, how relevant is it?

Mahiga anatangaza uchumba kutaka kuoa au anataka kuwa rais?

Kama mke wake wameelewana naye kuna tatizo gani kwa watanzania kuhusu untumba wa Mahiga?

Akija mtu mwenye kuweza matatizo yetu, anafuata mila au dini yake ana wake wanne, hilo ni tatizo?
 
Hamna tatizo kama wameelewana na mke wake na hamna tatizo pia wale unaotaka kuwatawala wasijadili hilo kama anavyojadiliwa Dr.Slaa.
 
Back
Top Bottom