Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Hii ndio Familia ya Agustino Mahiga

Kama walivyo 95% ya mabalozi na maofisa wa ngazi za juu wa serikali ya Tanzania huyu hajui shida ni nini na watu wenye shida wanaishi vipi

Huyu ndio wale wanaitwa THE HAVE LOTS na familia yake na mkewe wote ndio katika hiyo hiyo CIRCUS ya wanaoishi kwenye Ivory towers. Marafiki zake kisirisiri wanamwita POSH BOY MAHIGA....

Huyu alikuwa anapigiwa kampeni na mmoja wa wagombea Urais ili awe bosi wa Usalama lakini hawakufanikiwa na Mheshimiwa Rais akamteua mtu mwingine (ambaye akina Mahiga waliendelea kumpiga vijembe na articles zao kwa kutumia Pseudo names kwenye media Tanzania).

Mkewe ni Mbunge Janeth Mbene, Watoto wake wamesoma shule za International schools na hawajui Kiswahili vizuri), mtoto wake mwingine wa kufikia ndio PR director wa NSSF.

Huyu anajua zaidi mitaa ya Upper East side of Newyork kuliko Kariakoo, Ruvu, Kigoma, Tabora, Mwambani na Visiga

Huyu anajua zaidi tena kwa kichwa North Delegates Lounge bar kuliko Kwa Macheni auBreak Point (sidhani hataka anazijua)

Cliques zake tanzania ndio hao hao ma diplomats wenzake waliozaliwa na silver spoon kuliko hao wenyeviti wa serikali za mitaa.

Ukimuuliza bei ya nyanya tanzania hajui lakini anaspend close to $700 kununua tai moja kwenye department store la kifahari la Bergdorfgoodman (hili liko mtaa wa 5 avenue ambao umejaa maduka yenye kuuza vitu ghali zaidi duniani). Huyu Mahiga suti zake ni bespoke za Ermenegilo Zegna, Kiton K-50 anashindana na yule bepari mwingine (AMI MPUNGWE). As a matter of fact huyo JK na kupiga pamba zake zote lakini bado hamfikii huyu jamaa ambaye juzi tumeshangaa kavaa shati la kijani ( naamini haya hilo shati la kijani la CCM alilovaa ni litakuwa limekuwa designed na hao hao jamaa zake wa 5th Avenue)

Mahiga anaweza kuwa ana uwezo wa kuongea na hao madiplomats na hao watu wa matawi ya juu wenzake lakini sidhani kama yeye na familia yake na marafiki zake na mnaompigia debe humu Jamii Forums mnaweza kutushawishi kuwa ni mtu ambaye yuko IN TOUCH na watazanaia waliopo on the ground

Nina wasi wasi kama aliwahi kufika ofisi za CCM kariakoo na ukimuuliza klabu gani ilishinda Upingwa wa ligi kuu mwaka jana sidhani kama anajua.

Ila ingekuwa yule binti yake mlokole ( MODESTA) anagombea tungemfikiria lakini kwanza aanze na level ya udiwani kumpima lakini si baba mtu ambaye najua fika kuwa mjumbe wa nyumba 10 hawezi kupita.

Kma ni mchezaji basi sioni tofauti yake na PASCAL CYGAN na ERIC DJEMBA DJEMBA. Tanzania na hasa CCM tunataka wachezaji wenye calibre ya THIERY HENRY, RAY PARLOUR, PATRIC VIEIRA na ROY KEANE na sio huyu mchezaji ambaye hata first 30 ya UJENZI RUKWA hapewi namba.

Tazama Video za Watoto wake.

janeth.jpg

mkewe (Janeth Mbene)

Nasema hivi

Hawa watu bora wake tuu na pesa zao na connections zao lakini kwenye chama hatuwataki kwa sababu hawafanani na sisi kwa lolote lile.

wewe acha ubaguzi,huo ndo nyerere aliita ukaburu,na sidhan kama kila ulichosema na sahihi,ni utashi wako,hata hivyo hao wanajua mitaa ya kariokoo wamefanya nini hadi sasa(unawajua)
 
Last edited by a moderator:

Ingawa hii post ni ya muda kidogo, but the writer needs to raise above that mentality ya kuona watu waliostaarabika kama wanaringa flani hivi. Mimi siwajui watu wa hii familia ila wanaonekana wanajiheshimu tu na sio watu wa kuendekeza "USWAHILI USWAHILI"
 
Nadhani mtoa mada alilenga kuonyesha kuwa Maiga hafai kuwa Rais wa masikini. Anafaa kuwa rais wa Kuwait.
That's why I wrote above that s/he needs to raise above that foolish mentality. Alipaswa kuunda hoja nzuri za kisiasa za kushawishi watu wenye akili timamu kuwa mzee Mahiga hafai kwa hiyo nafasi na sio kuchimba maisha binafsi ya familia ya mtu.
 
Ingawa hii post ni ya muda kidogo, but the writer needs to raise above that mentality ya kuona watu waliostaarabika kama wanaringa flani hivi. Mimi siwajui watu wa hii familia ila wanaonekana wanajiheshimu tu na sio watu wa kuendekeza "USWAHILI USWAHILI"
Define uswahili uswahili
 
Eti
ni nani ambaye hakuwa muadilifu kipindi cha nyerere?
KINGUNGE ambaye leo anaufisadi UBUNGO STEND, HUKU MWANAE KINJEKITILE akijulikana na wabeba....kama bosi wao alikuwa muadilifu kupindukia kipindi cha nyerere
JK PINDA hawakuwepo wakati wa nyerere na hawakuwa waadilifu?mbona wameitenda nchi namna hii?
NB:KIPINDI CHA NYERER MOST MTENDAJI ALIKUWA MUADILIFU HATA KINAFIKI
Eti pinda hakuwepo enzi za nyerere ha ha ha ha ulizia mkuu wa ulinzi wa ikulu alikuwa nani enzi hizo

Msichukulie watu poa
 
tofauti ya mahiga na mageneral wengine, wao walikuwa wapiganaji tu na vita vikiisha wanajipongeza kwa bia, yeye na jaji augustino ramadhani walikuwa watu wa kujibidiisha, yaani walipenda kujiendeleza kielimu, kumbuka wakati akiwa comando wa jeshi alikuwa ofisa usalama na mwanadipolomasia pia. Baada ya vita alienda kusomea masuala ya uchumi na alikuwa ofisa wa UN, alishiriki kumaliza mgogoro wa kasmir akiwa india, alisimamia majeshi ya kulinda amani bosnia akisaidiana na kofi annan. Kasimamia urejeshwaji wa utawala wa sheria liberia na kumaliza vita vya wao kwa wao akiwa mjumbe maalum wa kofi annan.

Yeye ndio karudisha aman somalia, alivyoondoka ndo makundi kama alshabaab yakaibuka. Ndiye aliyemstua JK asipeleke askari somalia kama walivyokubaliana katika kikao cha EAC, kani anaijua somalia vizuri.

Asingelikuwa mahiga nasisi tungekuwa tunalipuliwa na alshabaab kama kawaida.

Hebu mtwambie na mchango wa nyalandu ni nini kama sio kumla maza wa kwanza mstaafu tu.
Sijaelewa unamaanisha nini mstari wa mwisho " nyalandu kumla mama wa wa kwanza mstahafu"

Pili sijaelewa inamaana mahiga alishawahi kuwa komandoo wa jwtz?
 
Sasa viDeo na ujumbe mbona ni kama Chai na Mananasi
 
Naona sasa mmeanza kumchafua jamaa, baada ya kuona huenda ndiye mtu aliyekuwa anasubiriwa au bado kuna mwingine? Huenda sio yeye, ngoja tusubiri kwanza. Tuliambiwa huyo mtu atakuwa wa mwisho kuchukua form. Huenda akawa ni Yohana Mbatizaji anatengeneza tu njia , chonde chonde acheni kumchafua. Hii ni TeamLowassa au TeamMembe? Ila TeamLowassa ndio wachafua wengine ili FISADI achukue nchi

We ni punguani maana mafisadi wote wako kolokoloni
 
Umasikini siyo sifa! Mahiga amelitumikia taifa vizuri sana. mwaka 1992 ndo akasepa UN...huko alitengeneza dolari za kutosha. Na it's obvious watoto wake walipata opportunity ya kusoma international schools . Ofcourse kwa aliyebahatika kufanya kazi UN au ana ndugu anayefanya kazi huko ananielewa.
Kwamba Mahiga anafaa kuwa kiongozi mkuu...Hilo sijui. Lakini watu kama yeye wasiadhibiwe kwa mafanikio yao!
 
Kama walivyo 95% ya mabalozi na maofisa wa ngazi za juu wa serikali ya Tanzania huyu hajui shida ni nini na watu wenye shida wanaishi vipi

Huyu ndio wale wanaitwa THE HAVE LOTS na familia yake na mkewe wote ndio katika hiyo hiyo CIRCUS ya wanaoishi kwenye Ivory towers. Marafiki zake kisirisiri wanamwita POSH BOY MAHIGA....

Huyu alikuwa anapigiwa kampeni na mmoja wa wagombea Urais ili awe bosi wa Usalama lakini hawakufanikiwa na Mheshimiwa Rais akamteua mtu mwingine (ambaye akina Mahiga waliendelea kumpiga vijembe na articles zao kwa kutumia Pseudo names kwenye media Tanzania).

Mkewe ni Mbunge Janeth Mbene, Watoto wake wamesoma shule za International schools na hawajui Kiswahili vizuri), mtoto wake mwingine wa kufikia ndio PR director wa NSSF.

Huyu anajua zaidi mitaa ya Upper East side of Newyork kuliko Kariakoo, Ruvu, Kigoma, Tabora, Mwambani na Visiga

Huyu anajua zaidi tena kwa kichwa North Delegates Lounge bar kuliko Kwa Macheni auBreak Point (sidhani hataka anazijua)

Cliques zake tanzania ndio hao hao ma diplomats wenzake waliozaliwa na silver spoon kuliko hao wenyeviti wa serikali za mitaa.

Ukimuuliza bei ya nyanya tanzania hajui lakini anaspend close to $700 kununua tai moja kwenye department store la kifahari la Bergdorfgoodman (hili liko mtaa wa 5 avenue ambao umejaa maduka yenye kuuza vitu ghali zaidi duniani). Huyu Mahiga suti zake ni bespoke za Ermenegilo Zegna, Kiton K-50 anashindana na yule bepari mwingine (AMI MPUNGWE). As a matter of fact huyo JK na kupiga pamba zake zote lakini bado hamfikii huyu jamaa ambaye juzi tumeshangaa kavaa shati la kijani ( naamini haya hilo shati la kijani la CCM alilovaa ni litakuwa limekuwa designed na hao hao jamaa zake wa 5th Avenue)

Mahiga anaweza kuwa ana uwezo wa kuongea na hao madiplomats na hao watu wa matawi ya juu wenzake lakini sidhani kama yeye na familia yake na marafiki zake na mnaompigia debe humu Jamii Forums mnaweza kutushawishi kuwa ni mtu ambaye yuko IN TOUCH na watazanaia waliopo on the ground

Nina wasi wasi kama aliwahi kufika ofisi za CCM kariakoo na ukimuuliza klabu gani ilishinda Upingwa wa ligi kuu mwaka jana sidhani kama anajua.

Ila ingekuwa yule binti yake mlokole ( MODESTA) anagombea tungemfikiria lakini kwanza aanze na level ya udiwani kumpima lakini si baba mtu ambaye najua fika kuwa mjumbe wa nyumba 10 hawezi kupita.

Kma ni mchezaji basi sioni tofauti yake na PASCAL CYGAN na ERIC DJEMBA DJEMBA. Tanzania na hasa CCM tunataka wachezaji wenye calibre ya THIERY HENRY, RAY PARLOUR, PATRIC VIEIRA na ROY KEANE na sio huyu mchezaji ambaye hata first 30 ya UJENZI RUKWA hapewi namba.

Tazama Video za Watoto wake.

janeth.jpg

mkewe (Janeth Mbene)

Nasema hivi

Hawa watu bora wake tuu na pesa zao na connections zao lakini kwenye chama hatuwataki kwa sababu hawafanani na sisi kwa lolote lile.

A very surprising attack aisee

Shocking

Not sure why kuna dalili ya woga against huyu jamaa

Kila mmoja na role Yake.... Na kwenye foreign policy, anafaa

Sijui unataka kila MTU aweje ?
 
Tazama video za hao watoto wake kisha utaelewa namaanisha nini.
Cha muhimu ni yeye na mchango wake kwa taifa

Hizi kazi sio za kurithishana na watoto... Let's respect his family life and focus on what he is doing for the country

Otherwisewas nyerere wangetutawala Hadi leo
 
Write your reply...
hivi mkewe mbene ni mtu wa ileje au ni mhamiaji? mbna hafananii na watu wa ileje?
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.
 
Back
Top Bottom