Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,328
- 144,780
..sasa mimi kitendo cha mtu kuishi na kufanya kazi nje ya nchi halafu bado akaendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM, kiasi cha kutafuta uongozi ndani ya CCM, hakinipi matumaini hata kidogo. Kwangu mimi that is a big, huge NEGATIVE.
Hata mimi hilo ndo linaloniudhi kabisa na kumwona na yeye kuwa ndo walewale tu.
Ni sawa na kumwaga mvinyo ya zamani na kuweka mvinyo nyingine iliyo ya zamani lakini kwenye chupa ile ile.