Hii ndio dubai

Observer2010

Senior Member
Oct 29, 2010
195
44
Wakati Wabongo bado mnabishana na siasa za CCM na CHADEMA, na wengine wakipanga mikakati ya namna gani watachukua nchi 2015 ili wafanye ufisadi, wenzenu wanajenga nchi yao. Na hii ndio Dubai ya miaka michache ijayo.

Cheki hii link...

Dubai Future Projects

:lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala:
 
Tanzania tunahitaji overhauling ya nyanja zote la sivyo tunaelekea shimoni.mi naogopa hata kuzaa kwani nawaza msala utakaowaachia wanao siku za mbeleni
 
Nimeangalia ni hatari tupu! Tanzania itatuchukua miaka 2000 ijayo kuwa na miradi kama hii kwa uongozi wa CCM
 
MKUU,...

hii itakua kama bustani ya eden,...ila nahofia tu matetemeko ya ardhi yatakapotokea itakua issue ingine.....lakn kila chenye sura hakikosi kisogo
 
Kikwete yeye aliahidi atawajengea wananchi wa kule Kigoma kama hii!
trump-international-hotel.jpg
 
Hivi kweli tunalinganisha Tanzania na Dubai?? au ndio building castles on the air?
 
Hivi kweli tunalinganisha Tanzania na Dubai?? au ndio building castles on the air?

Yes presidaa wenu alisema ataifanya Kigoma yenu kuwa kama Dubai though sikumbuki kumsikia akitoa time limit, may be 2099 lakini by then hatakuwapo I'm sure. Hivi hao marais wenu mnawatoaga wapi? Mnasikitisha sana watanzania infact wote mlipaswa kuwa Loliondo sasa kwa babu maana wote mnaumwa nyie sio bure, poleni sana.
 
inasikitisha sana
 
si hitaji kwenda kwa babu kwa sababu ya huyu Msanii wetu, Fisadi, Mzee wa kudondoka, mzee wa kwenda nje ya nchi kubembea, Rais wa usalama wa Taifa, mzee wa kuacha msiba kwake na kusafiri kwenda kusuruhisha kwa wenzake....kwasababu Sikumchagua, simuungi mkono yaani nampiganga...
 
Mkwere alisema ataigeuza Mwanza kuwa kama New York kwa hiyo tusiwe na hofu.
 
Hizo ahadi forget tuko dakika ya 75 game lenyewe 90 mnts, mikwaju ya penati hakuna tutatoka hapo?
 
Tanzania hatuhutaji kuwa Dubai. Tunachohitaji ni kumwezesha raia wa kawaida anayeishi vijijini kupata maji safi, shule nzuri kwa watoto wake, hospitali na zahanati zinazoaminika, na maendeleo yatakayomwezesha kuachana na matumizi ya kuni na kupika kwa kutumia gesi nyingi tuliyo nayo na umeme wa uhakika. Waache Dubai wajenge vikwangua anga. Sisi tujikite tuhakikishe maliasili zetu zinatupa maisha bora, tunaachana na nyumba za mbawa za mbwa, na yote haya yanawezekana tukiwa na uongozi bora na tukitokomeza ufisadi. It can be done.
 
Wakati Wabongo bado mnabishana na siasa za CCM na CHADEMA, na wengine wakipanga mikakati ya namna gani watachukua nchi 2015 ili wafanye ufisadi, wenzenu wanajenga nchi yao. Na hii ndio Dubai ya miaka michache ijayo.

Cheki hii link...

Dubai Future Projects

:lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala:

Si mliwauzia Loliondo kwa bei ya peremende? Na huyo kuwadi wenu kaweka kimada wake kule ndio mkome ubishi. Kila kukicha kama siyo yeye basi kidagaa mguu na njia kwenda Dubai.
 
yes presidaa wenu alisema ataifanya kigoma yenu kuwa kama dubai though sikumbuki kumsikia akitoa time limit, may be 2099 lakini by then hatakuwapo i'm sure. Hivi hao marais wenu mnawatoaga wapi? Mnasikitisha sana watanzania infact wote mlipaswa kuwa loliondo sasa kwa babu maana wote mnaumwa nyie sio bure, poleni sana.

usisahau pia alisema anataka dodoma kuwa silicon valley !!!!!!!
 
Back
Top Bottom