Hii ndio dawa ya nguvu za kiume 100%

Hii ndio dawa ya nguvu za kiume 100%

Nafikiri Mimi ndo huwa nakunywa hizi tatu kwa siku sio kwa mkupuo Sasa usiombe mvua iwe inanyesha haloo utajikuta unashindana na malaika wa mvua kumwaga mimaji!.

Kuna famasia alishaniambia kuwa mtu haitakiwi mpaka kusikia kiu ndo unywe maji!.. nilimpiga jicho hilo! Maji ni mazuri ndio lakini yakizidi nayo ni kero sometimes usiku yanakukurupua ukakojoe wakati unakaota ka Monika kapo uchi halafu ni kabikira japo si kweli..😂
eti kamonika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

kweli mkuu wabongo tumezoea mpaka tuhisi kiu ndio tushushie maji au baada ya kula tu hapohapo maji, kumbe hapana
 
Kwa Choo kipo mkoani mkuu, Mita Tatu mbele kwenda KUKOJOA tu unaona uvivu

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Hizohizo mita tatu Sasa ndo ukute umekaa na pisi kali unafikiri atakuchukuliaje kila muda chooni! Ile unarudi tu anakuambia "baki na fistula yako mi sitaki watu wanaopigana na vyoo!".. men na fistula hivi ipo..?
 
Correct. Kila mmoja anapenda kuwa na afya njema, sema shida ni ughali wa maisha. Kila mmoja anapenda samaki na mayai, ila bei zake zimeshiba
Baada ya WWII nchi za Ulaya zilikumbwa na uhaba wa chakula. Walianzisha mashamba ya ufugaji wa kuku. Kuku walifungwa kwa wingi na bei ya nyama ya kuku ilishuka kiasi cha mtu yeyote kumudu.

Miaka 60 baada ya Uhuru tumeshindwa kufanya haya.
 
eti kamonika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

kweli mkuu wabongo tumezoea mpaka tuhisi kiu ndio tushushie maji au baada ya kula tu hapohapo maji, kumbe hapana
Ukifikiria kifo nacho unaweza ona kuacha kula raha ni ubatili ati..😬
 
PONDA MALI KUFA KWAJA

MAISHA NI HAYA HAYA, YOU DIE ONCE

UKIPATA NAFASI YA KULA KIHALALI WEWE KULA TU MWAMBA, kuna watu wamelazwa hospitali hata kumaliza kikombe kimoja cha uji ni mazoezi mtihani
 
Walikuwa wanasema shetani yupo Leo naona nachati nae..🤣🤣
Mkuu mi nampenda yesu sitaki dhambi japo dhambi nazo ni tamu lakini nazikaushia.. ila dhambi nazo zimekaa kimichongo Sana ukiamua kuiacha unakuta inakunong'oneza "kwa leo tu"..🤣
 
mkuu namaanisha kula chakula vizuri sio zile dhambi pendwa
 
Nafikiri Mimi ndo huwa nakunywa hizi tatu kwa siku sio kwa mkupuo Sasa usiombe mvua iwe inanyesha haloo utajikuta unashindana na malaika wa mvua kumwaga mimaji!.

Kuna famasia alishaniambia kuwa mtu haitakiwi mpaka kusikia kiu ndo unywe maji!.. nilimpiga jicho hilo! Maji ni mazuri ndio lakini yakizidi nayo ni kero sometimes usiku yanakukurupua ukakojoe wakati unakaota ka Monika kapo uchi halafu ni kabikira japo si kweli..[emoji23]
Fanya iwe ndo daily routine, automatically utazoea

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Nimeona Kuna upotoshaji mkubwa sana wa matangazo ya dawa ya nguvu za kiume sasa nimeona niingilie Kati, nikasema hapana sitanyamaza maana wanaoteswa na kudhurumiwa kwenye hii changamoto ni watanzania wenzangu.

KWANZA KABISA TATIZO LILIANZA HAPA
_Miaka kumi nyuma hizi changamoto zilikuwa chache Sana napo ni kwenye makundi maalum tu ya watu kama waliofanyiwa surgery, waliopata ajali mbaya sana yenye kuharibu sehemu Muhimu za mwili, kama yaliyomkuta Tundu lissu, na wenye ulemavu.

_Pili ni kuruhusu kuinginzwa kwa mbegu mbalimbali za kisasa kwa tamaa zetu wenyewe. Mzungu kwa kiasi kikubwa kafanikiwa hili, kuku wa kisasa, mayai ya kisasa, matikiti ya kisasa, matango ya kisasa, penis za kisasa (utumiaji wa madawa ya kisasa kukuza maumbile yako), wanawake wakisasa (vipodozi, vipipi, body and shape surgery kuwa na mwonekano hali inayopelekea kushindwa kuzaa, wema sepetu na munalove ni wahanga,).
_Vitu vyetu vyote vya asili mzungu kafanikiwa kuvidumaza na kuziundermine akili za mwafrika kutumia vitu hivyo kuwa ni dalili za umasikini, yaani anaekula mihogo mibichi, ugali wa uwele, konokono na panya anaonekana mwehu na anaekula kuchpsi mayai, baga, piza na soseji anaonekana Royal.

ACHA YAFUATAYO ITAKUSAIDIA
_Acha kabisa matumizi ya pombe, acha.
_Acha au punguza vyakula vya mafuta
_Acha kabisa kutumia vyakula vya sukari, sukari uliyonayo mwilin inatosha
_Acha au punguza matumizi ya vyakula vya wanga
_Usitumie kabisa vyakula vya kisasa, chochote cha kisasa achana nacho pita mbali
_Acha kuwa na msongo wa mawazo.

TIBA YA NGUVU ZA KIUME
Uamkapo asubuhi
. Kunywa maji lita Tatu
. Vijiko viwili vya asali
. Kula vipande viwili vya tikiti
. Kimbia kilometer 2 tu inatosha kwenda na kurudi
. Ukisharudi kwenye kukimbia kunywa maji lita moja relax
. Baada ya hapo chukua Chai ya tangawizi ya moto kunywa
. Kula mayai ya kienyeji mawili, parachichi moja na ndizi mbili

MCHANA
. Kunywa maji lita mbili au zaidi
. Kula mchanganyiko wa matunda kama karoti, tikiti, ndizi, parachichi, matango nk
. Unaweza pia kula chakula ila kisiwe wanga wala chakisasa

USIKU
. Kunywa maji lita moja au zaidi
. Kula kipande cha samaki wakuchemshwa au supu ya samaki
. Kula vipande viwili vya tikiti maji

N. B. sio lazima kila siku ratiba iwe hivyo ila tu nimekupa mwongozo mengine utajiongeza mwenyewe Kadri uwezavyo. Mazoezi ni Muhimu sana hakuna mbadala wa hili, acha uroho wa mavyakula ya kisasa, acha stress kunywa maji mengi uwezavyo, karanga asali mihogo samaki parachichi ndizi mayai karoti Nyanya limao machungwa nk ni Muhimu sana

Nimekosa picha ya kuweka naombeni mnisamehe

..... Katiba mpya sio ya chadema ni takwa la wananchi..... Period.

Ivi kuna watu wanaweza kunywa maji litre 6 kwa siku? Na hapo kwenye wanga hapo ndo changamoto
 
Hizohizo mita tatu Sasa ndo ukute umekaa na pisi kali unafikiri atakuchukuliaje kila muda chooni! Ile unarudi tu anakuambia "baki na fistula yako mi sitaki watu wanaopigana na vyoo!".. men na fistula hivi ipo..?
Achana nae kwani anakupunguzia nn hlw

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Nimeona Kuna upotoshaji mkubwa sana wa matangazo ya dawa ya nguvu za kiume sasa nimeona niingilie Kati, nikasema hapana sitanyamaza maana wanaoteswa na kudhurumiwa kwenye hii changamoto ni watanzania wenzangu.

KWANZA KABISA TATIZO LILIANZA HAPA
_Miaka kumi nyuma hizi changamoto zilikuwa chache Sana napo ni kwenye makundi maalum tu ya watu kama waliofanyiwa surgery, waliopata ajali mbaya sana yenye kuharibu sehemu Muhimu za mwili, kama yaliyomkuta Tundu lissu, na wenye ulemavu.

_Pili ni kuruhusu kuinginzwa kwa mbegu mbalimbali za kisasa kwa tamaa zetu wenyewe. Mzungu kwa kiasi kikubwa kafanikiwa hili, kuku wa kisasa, mayai ya kisasa, matikiti ya kisasa, matango ya kisasa, penis za kisasa (utumiaji wa madawa ya kisasa kukuza maumbile yako), wanawake wakisasa (vipodozi, vipipi, body and shape surgery kuwa na mwonekano hali inayopelekea kushindwa kuzaa, wema sepetu na munalove ni wahanga,).
_Vitu vyetu vyote vya asili mzungu kafanikiwa kuvidumaza na kuziundermine akili za mwafrika kutumia vitu hivyo kuwa ni dalili za umasikini, yaani anaekula mihogo mibichi, ugali wa uwele, konokono na panya anaonekana mwehu na anaekula kuchpsi mayai, baga, piza na soseji anaonekana Royal.

ACHA YAFUATAYO ITAKUSAIDIA
_Acha kabisa matumizi ya pombe, acha.
_Acha au punguza vyakula vya mafuta
_Acha kabisa kutumia vyakula vya sukari, sukari uliyonayo mwilin inatosha
_Acha au punguza matumizi ya vyakula vya wanga
_Usitumie kabisa vyakula vya kisasa, chochote cha kisasa achana nacho pita mbali
_Acha kuwa na msongo wa mawazo.

TIBA YA NGUVU ZA KIUME
Uamkapo asubuhi
. Kunywa maji lita Tatu
. Vijiko viwili vya asali
. Kula vipande viwili vya tikiti
. Kimbia kilometer 2 tu inatosha kwenda na kurudi
. Ukisharudi kwenye kukimbia kunywa maji lita moja relax
. Baada ya hapo chukua Chai ya tangawizi ya moto kunywa
. Kula mayai ya kienyeji mawili, parachichi moja na ndizi mbili

MCHANA
. Kunywa maji lita mbili au zaidi
. Kula mchanganyiko wa matunda kama karoti, tikiti, ndizi, parachichi, matango nk
. Unaweza pia kula chakula ila kisiwe wanga wala chakisasa

USIKU
. Kunywa maji lita moja au zaidi
. Kula kipande cha samaki wakuchemshwa au supu ya samaki
. Kula vipande viwili vya tikiti maji

N. B. sio lazima kila siku ratiba iwe hivyo ila tu nimekupa mwongozo mengine utajiongeza mwenyewe Kadri uwezavyo. Mazoezi ni Muhimu sana hakuna mbadala wa hili, acha uroho wa mavyakula ya kisasa, acha stress kunywa maji mengi uwezavyo, karanga asali mihogo samaki parachichi ndizi mayai karoti Nyanya limao machungwa nk ni Muhimu sana

Nimekosa picha ya kuweka naombeni mnisamehe

..... Katiba mpya sio ya chadema ni takwa la wananchi..... Period.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Mkuu umejitahidi kuandika lakini ninakukosoa hapo kwa kunywa maji huwezi kunywa maji asubuhi lita 3 Ukisha rudi kukimbia kunywa maji lita 1 au Wakati wa Mchana lita 2 na usiku lita moja sio Rahisi binadamu kunywa lita 7 kwa siku. Haitowezekana kabisa Ungelisema hivi unapo amka asubuhi kunywa maji ya Uvuguvugu lita 1 na nusu sawa na glasi 6 za maji, Unaporudi kukimbia kunywa maji lita 1 sawa na glasi 4 za maji Na Wakati wa mchana kunywa lita moja na nusu sawa na maji glasi 6 na usiku kunywa lita moja ni sawa na maji glais 4 jumla utakuwa umekunywa maji lita 5 Hapo ningekukubalia vizuri Lakini sio kusema eti mtu anywe maji lita 7 kwa siku sio rahisi kabisa kunywa binadamu maji lita 7 kwa siku moja.

DR.SEBI WATER DRINK .png

FAıDA YA KUNYWA MAJI.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom