Hii ndio dawa ya nguvu za kiume 100%

Hii ndio dawa ya nguvu za kiume 100%

Kula matunda tu uone Kama yanakaa huko tumboni,kwanza minyoo tu unakuta wanaingia kwenye mgogoro wakimaliza kupigana wanakaa kikao wanazira kula hayo matunda wanaanza kula utumbo wako..[emoji23]

Hayo maisha ni mtu fulani uwe nazo halafu swala la maji Aisee kunywa tu lita tatu asubuhi si mchezo ati!,akili yote inahamia kukojoa serious unywe maji Lita tatu halafu ukakimbie hapo huna haja ya kuwa na muziki tumbo lako tu litakuwa linakuimbia kwa dharau chubwichubwi!.

Umeshauli vyema ila kuvifuata hivyo kwa hii life style tuliyonayo ni amsha mtu kazini saa moja kamili na lala yake saa tano usiku huko bado hujakuta simu ya mpenzi wako kenzy nimemuandikia "Nakupenda mke wangu mwenye kibebeo nyuma!"[emoji23]

Unakuta mtu anahela nyingii halafu unamwambia usinywe bia!,so anywe maji na juisi natural hapo ukute anatukanwa na rafiki zake anajaza nzi..[emoji1787]
Mkuu have you ever experienced this message "me & you it's over" hiyo message inaweza kukunywesha k vant nne ugali mbili kitimoto kilo mbili kachumbali saba sigara pakti saba machozi lita tatu huku ukisumbua watu warudie muziki wa kuachwa kuachwa au ule wa bia tamu..[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio mpaka lita Tatu za maji ila jitahidi angalau kwa kutwa lita tano za maji

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini unajilaani wewe mwenyewe. Ujuwi laana inawezekana isikupate wewe ikawapata vizazi vyako mpaka wajukuu.
Matatizo ya nguvu za kiume yapo mengi na hatua tofauti. Siyo watu wote watahitaji hivyo vyakula vyako kutatua matatizo ya Nguvu za kiume.
Mtu hana matatizo ya nguvu za kiume anahitaji ushauri sio chakula.
Uoni kama utakuwa umetangaza laana kwako, watoto na wajukuu
Do only what is right mengine achana nayo

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Nimeona Kuna upotoshaji mkubwa sana wa matangazo ya dawa ya nguvu za kiume sasa nimeona niingilie Kati, nikasema hapana sitanyamaza maana wanaoteswa na kudhurumiwa kwenye hii changamoto ni watanzania wenzangu.

KWANZA KABISA TATIZO LILIANZA HAPA
_Miaka kumi nyuma hizi changamoto zilikuwa chache Sana napo ni kwenye makundi maalum tu ya watu kama waliofanyiwa surgery, waliopata ajali mbaya sana yenye kuharibu sehemu Muhimu za mwili, kama yaliyomkuta Tundu lissu, na wenye ulemavu.

_Pili ni kuruhusu kuinginzwa kwa mbegu mbalimbali za kisasa kwa tamaa zetu wenyewe. Mzungu kwa kiasi kikubwa kafanikiwa hili, kuku wa kisasa, mayai ya kisasa, matikiti ya kisasa, matango ya kisasa, penis za kisasa (utumiaji wa madawa ya kisasa kukuza maumbile yako), wanawake wakisasa (vipodozi, vipipi, body and shape surgery kuwa na mwonekano hali inayopelekea kushindwa kuzaa, wema sepetu na munalove ni wahanga,).
_Vitu vyetu vyote vya asili mzungu kafanikiwa kuvidumaza na kuziundermine akili za mwafrika kutumia vitu hivyo kuwa ni dalili za umasikini, yaani anaekula mihogo mibichi, ugali wa uwele, konokono na panya anaonekana mwehu na anaekula kuchpsi mayai, baga, piza na soseji anaonekana Royal.

ACHA YAFUATAYO ITAKUSAIDIA
_Acha kabisa matumizi ya pombe, acha.
_Acha au punguza vyakula vya mafuta
_Acha kabisa kutumia vyakula vya sukari, sukari uliyonayo mwilin inatosha
_Acha au punguza matumizi ya vyakula vya wanga
_Usitumie kabisa vyakula vya kisasa, chochote cha kisasa achana nacho pita mbali
_Acha kuwa na msongo wa mawazo.

TIBA YA NGUVU ZA KIUME
Uamkapo asubuhi
. Kunywa maji lita Tatu
. Vijiko viwili vya asali
. Kula vipande viwili vya tikiti
. Kimbia kilometer 2 tu inatosha kwenda na kurudi
. Ukisharudi kwenye kukimbia kunywa maji lita moja relax
. Baada ya hapo chukua Chai ya tangawizi ya moto kunywa
. Kula mayai ya kienyeji mawili, parachichi moja na ndizi mbili

MCHANA
. Kunywa maji lita mbili au zaidi
. Kula mchanganyiko wa matunda kama karoti, tikiti, ndizi, parachichi, matango nk
. Unaweza pia kula chakula ila kisiwe wanga wala chakisasa

USIKU
. Kunywa maji lita moja au zaidi
. Kula kipande cha samaki wakuchemshwa au supu ya samaki
. Kula vipande viwili vya tikiti maji

N. B. sio lazima kila siku ratiba iwe hivyo ila tu nimekupa mwongozo mengine utajiongeza mwenyewe Kadri uwezavyo. Mazoezi ni Muhimu sana hakuna mbadala wa hili, acha uroho wa mavyakula ya kisasa, acha stress kunywa maji mengi uwezavyo, karanga asali mihogo samaki parachichi ndizi mayai karoti Nyanya limao machungwa nk ni Muhimu sana

Nimekosa picha ya kuweka naombeni mnisamehe

..... Katiba mpya sio ya chadema ni takwa la wananchi..... Period.

mzee hiyo milita ya maji hujui kama tuna uhaba wa maji ndugu yangu au unafanya kazi uhai?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio mpaka lita Tatu za maji ila jitahidi angalau kwa kutwa lita tano za maji

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Mkuu sio kwamba sizingatii mi mwenyewe nazingatia japo sio asilimia zote na toka nibadili kula yangu na tumazoezi kidogo na lita kadhaa za maji hata kuumwa imekuwa ni nadra sana, sometimes napumua hadi naona raha ya kupumua nyie acheni nilishawahi kuandika humu starehe ya kwanza ni kuwa na afya njema utulivu wa afya ya mwili na akili ni kitu kizuri Sana na ndio chachu ya kila kitu katika maisha yako.. ngoja nipambane niongeze na vyengine..😁
 
Nimeona Kuna upotoshaji mkubwa sana wa matangazo ya dawa ya nguvu za kiume sasa nimeona niingilie Kati, nikasema hapana sitanyamaza maana wanaoteswa na kudhurumiwa kwenye hii changamoto ni watanzania wenzangu.

KWANZA KABISA TATIZO LILIANZA HAPA
_Miaka kumi nyuma hizi changamoto zilikuwa chache Sana napo ni kwenye makundi maalum tu ya watu kama waliofanyiwa surgery, waliopata ajali mbaya sana yenye kuharibu sehemu Muhimu za mwili, kama yaliyomkuta Tundu lissu, na wenye ulemavu.

_Pili ni kuruhusu kuinginzwa kwa mbegu mbalimbali za kisasa kwa tamaa zetu wenyewe. Mzungu kwa kiasi kikubwa kafanikiwa hili, kuku wa kisasa, mayai ya kisasa, matikiti ya kisasa, matango ya kisasa, penis za kisasa (utumiaji wa madawa ya kisasa kukuza maumbile yako), wanawake wakisasa (vipodozi, vipipi, body and shape surgery kuwa na mwonekano hali inayopelekea kushindwa kuzaa, wema sepetu na munalove ni wahanga,).
_Vitu vyetu vyote vya asili mzungu kafanikiwa kuvidumaza na kuziundermine akili za mwafrika kutumia vitu hivyo kuwa ni dalili za umasikini, yaani anaekula mihogo mibichi, ugali wa uwele, konokono na panya anaonekana mwehu na anaekula kuchpsi mayai, baga, piza na soseji anaonekana Royal.

ACHA YAFUATAYO ITAKUSAIDIA
_Acha kabisa matumizi ya pombe, acha.
_Acha au punguza vyakula vya mafuta
_Acha kabisa kutumia vyakula vya sukari, sukari uliyonayo mwilin inatosha
_Acha au punguza matumizi ya vyakula vya wanga
_Usitumie kabisa vyakula vya kisasa, chochote cha kisasa achana nacho pita mbali
_Acha kuwa na msongo wa mawazo.

TIBA YA NGUVU ZA KIUME
Uamkapo asubuhi
. Kunywa maji lita Tatu
. Vijiko viwili vya asali
. Kula vipande viwili vya tikiti
. Kimbia kilometer 2 tu inatosha kwenda na kurudi
. Ukisharudi kwenye kukimbia kunywa maji lita moja relax
. Baada ya hapo chukua Chai ya tangawizi ya moto kunywa
. Kula mayai ya kienyeji mawili, parachichi moja na ndizi mbili

MCHANA
. Kunywa maji lita mbili au zaidi
. Kula mchanganyiko wa matunda kama karoti, tikiti, ndizi, parachichi, matango nk
. Unaweza pia kula chakula ila kisiwe wanga wala chakisasa

USIKU
. Kunywa maji lita moja au zaidi
. Kula kipande cha samaki wakuchemshwa au supu ya samaki
. Kula vipande viwili vya tikiti maji

N. B. sio lazima kila siku ratiba iwe hivyo ila tu nimekupa mwongozo mengine utajiongeza mwenyewe Kadri uwezavyo. Mazoezi ni Muhimu sana hakuna mbadala wa hili, acha uroho wa mavyakula ya kisasa, acha stress kunywa maji mengi uwezavyo, karanga asali mihogo samaki parachichi ndizi mayai karoti Nyanya limao machungwa nk ni Muhimu sana

Nimekosa picha ya kuweka naombeni mnisamehe

..... Katiba mpya sio ya chadema ni takwa la wananchi..... Period.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Tafuta hela nguvu za kiume zitakuja
 
Kwahiyo unataka kusema vya Tundu Lissu havifunction tena?
Big NO, Tundu lissu yupo vizur tena kuliko wewe alipata ushauri nasaha na kila anachohitaji anapata kwa wakati, mlo kamili kwake sio tatizo hata viungo vyake vya mwili vipo strongly connected kuliko vyako, ukuu wa mungu upo kwake anafanya kazi ya mungu zaidi ya mapadre na maasikofu.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sio kwamba sizingatii mi mwenyewe nazingatia japo sio asilimia zote na toka nibadili kula yangu na tumazoezi kidogo na lita kadhaa za maji hata kuumwa imekuwa ni nadra sana, sometimes napumua hadi naona raha ya kupumua nyie acheni nilishawahi kuandika humu starehe ya kwanza ni kuwa na afya njema utulivu wa afya ya mwili na akili ni kitu kizuri Sana na ndio chachu ya kila kitu katika maisha yako.. ngoja nipambane niongeze na vyengine..[emoji16]
Hongera

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Nimeona Kuna upotoshaji mkubwa sana wa matangazo ya dawa ya nguvu za kiume sasa nimeona niingilie Kati, nikasema hapana sitanyamaza maana wanaoteswa na kudhurumiwa kwenye hii changamoto ni watanzania wenzangu.

KWANZA KABISA TATIZO LILIANZA HAPA
_Miaka kumi nyuma hizi changamoto zilikuwa chache Sana napo ni kwenye makundi maalum tu ya watu kama waliofanyiwa surgery, waliopata ajali mbaya sana yenye kuharibu sehemu Muhimu za mwili, kama yaliyomkuta Tundu lissu, na wenye ulemavu.

_Pili ni kuruhusu kuinginzwa kwa mbegu mbalimbali za kisasa kwa tamaa zetu wenyewe. Mzungu kwa kiasi kikubwa kafanikiwa hili, kuku wa kisasa, mayai ya kisasa, matikiti ya kisasa, matango ya kisasa, penis za kisasa (utumiaji wa madawa ya kisasa kukuza maumbile yako), wanawake wakisasa (vipodozi, vipipi, body and shape surgery kuwa na mwonekano hali inayopelekea kushindwa kuzaa, wema sepetu na munalove ni wahanga,).
_Vitu vyetu vyote vya asili mzungu kafanikiwa kuvidumaza na kuziundermine akili za mwafrika kutumia vitu hivyo kuwa ni dalili za umasikini, yaani anaekula mihogo mibichi, ugali wa uwele, konokono na panya anaonekana mwehu na anaekula kuchpsi mayai, baga, piza na soseji anaonekana Royal.

ACHA YAFUATAYO ITAKUSAIDIA
_Acha kabisa matumizi ya pombe, acha.
_Acha au punguza vyakula vya mafuta
_Acha kabisa kutumia vyakula vya sukari, sukari uliyonayo mwilin inatosha
_Acha au punguza matumizi ya vyakula vya wanga
_Usitumie kabisa vyakula vya kisasa, chochote cha kisasa achana nacho pita mbali
_Acha kuwa na msongo wa mawazo.

TIBA YA NGUVU ZA KIUME
Uamkapo asubuhi
. Kunywa maji lita Tatu
. Vijiko viwili vya asali
. Kula vipande viwili vya tikiti
. Kimbia kilometer 2 tu inatosha kwenda na kurudi
. Ukisharudi kwenye kukimbia kunywa maji lita moja relax
. Baada ya hapo chukua Chai ya tangawizi ya moto kunywa
. Kula mayai ya kienyeji mawili, parachichi moja na ndizi mbili

MCHANA
. Kunywa maji lita mbili au zaidi
. Kula mchanganyiko wa matunda kama karoti, tikiti, ndizi, parachichi, matango nk
. Unaweza pia kula chakula ila kisiwe wanga wala chakisasa

USIKU
. Kunywa maji lita moja au zaidi
. Kula kipande cha samaki wakuchemshwa au supu ya samaki
. Kula vipande viwili vya tikiti maji

N. B. sio lazima kila siku ratiba iwe hivyo ila tu nimekupa mwongozo mengine utajiongeza mwenyewe Kadri uwezavyo. Mazoezi ni Muhimu sana hakuna mbadala wa hili, acha uroho wa mavyakula ya kisasa, acha stress kunywa maji mengi uwezavyo, karanga asali mihogo samaki parachichi ndizi mayai karoti Nyanya limao machungwa nk ni Muhimu sana

Nimekosa picha ya kuweka naombeni mnisamehe

..... Katiba mpya sio ya chadema ni takwa la wananchi..... Period.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

Hapo mwanzoni rekebisha au fafanua,unywe lita 3 za maji,vijiko 2 vya asali na vipande 2 vya tikiti halafu ukimbie km 2 inawezekana vipi kukimbia,au unatakiwa kutumia hivyo vitu baada ya kukimbia...
 
Big NO, Tundu lissu yupo vizur tena kuliko wewe alipata ushauri nasaha na kila anachohitaji anapata kwa wakati, mlo kamili kwake sio tatizo hata viungo vyake vya mwili vipo strongly connected kuliko vyako, ukuu wa mungu upo kwake anafanya kazi ya mungu zaidi ya mapadre na maasikofu.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Sasa kwa jinsi ulivyomtolea mfano kwenye andishi lako lazima mtu afikirie kuwa hiyo kazi ya kiume haiwezi tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom