Hii ndio dawa ya nguvu za kiume 100%

Hii ndio dawa ya nguvu za kiume 100%

Hapo mwanzoni rekebisha au fafanua,unywe lita 3 za maji,vijiko 2 vya asali na vipande 2 vya tikiti halafu ukimbie km 2 inawezekana vipi kukimbia,au unatakiwa kutumia hivyo vitu baada ya kukimbia...
Miguu ndoinakimbia sio tumbo, acha uvivu kunywa maji matikiti then kakimbie punguza hiyo minyama unakuwa kama kiboko [emoji23]

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwa jinsi ulivyomtolea mfano kwenye andishi lako lazima mtu afikirie kuwa hiyo kazi ya kiume haiwezi tena.
Hapana kwani mtu akipata matatizo ya ajali akawa hawez kuperform, je tatizo Hilo halitibiki?. Jibu tatizo linatibika kama atafuata ushauri nasaha na kufanyiwa matibabu

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
LITA 3 SIO MCHEZO MASTA HIZO RUTI ZA TOI SIO MCHEZO
Nafikiri Mimi ndo huwa nakunywa hizi tatu kwa siku sio kwa mkupuo Sasa usiombe mvua iwe inanyesha haloo utajikuta unashindana na malaika wa mvua kumwaga mimaji!.

Kuna famasia alishaniambia kuwa mtu haitakiwi mpaka kusikia kiu ndo unywe maji!.. nilimpiga jicho hilo! Maji ni mazuri ndio lakini yakizidi nayo ni kero sometimes usiku yanakukurupua ukakojoe wakati unakaota ka Monika kapo uchi halafu ni kabikira japo si kweli..😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom