Hii ndio dawa ya nguvu za kiume 100%

Sasa carbs hakuna mafuta hakuna iyo pulling energy utaitoa wapi? Icho unacho sema ni system restoration na inafanywa kwa week angalau mara moja
 
Nini ni viashiria vya upungufu wa nguvu za kiume ?

Mtafiti?
Upungufu wa Nguvu za kiume ni eneo pana sana KWANZA SIO UGONJWA BALI NI CHANGAMOTO T Lakini vifuatavyo vyaweza kuonyesha changamoto hiyo kama ipo.
*Erectile Dysfunction ( Kushindwa Kusimamisha Uume kabisa ama Kwa tabu Sana )
*Premature Ejaculation ( Kumwaga bao ndani ya muda mfupi sana pengine hata kabla ya Kuchomeka Kwa Vagina )
Hii imegawanyika makundi mawili 1 Life Long ( Tokea siku ya kwanza ya sex na kwa wanawake wote ) 2 Acquired ( Hutokea kwa nyakati zozote Ghafla tu katika maisha ya Mwanaume ).
*Libido / Sex drive ( Kupungua kwa hamu ya kufanya tendo hata kama mwanamke atakuwa Uchi mbele yako hutohisi chochote.) Kushindwa kurudia tendo nk
*Fertility ( Uwezo wa kuwa na mbegu bora za kutungisha mimba )
Kondom huwa Pakiti tatu tuchukulie hiyo ni idadi ya round ambazo uko na uwezo nazo. Japo kwangu mimi nashauri mbili tu kwa Afya. Huku moja tu ndo ikiwa best zaidi.

Natumaini nimekujibu.
 
Nimeona Kuna upotoshaji mkubwa sana wa matangazo ya dawa ya nguvu za kiume sasa nimeona niingilie Kati, nikasema hapana sitanyamaza maana wanaoteswa na kudhurumiwa kwenye hii changamoto ni watanzania wenzangu.

KWANZA KABISA TATIZO LILIANZA HAPA
_Miaka kumi nyuma hizi changamoto zilikuwa chache Sana napo ni kwenye makundi maalum tu ya watu kama waliofanyiwa surgery, waliopata ajali mbaya sana yenye kuharibu sehemu Muhimu za mwili, kama yaliyomkuta Tundu lissu, na wenye ulemavu.

_Pili ni kuruhusu kuinginzwa kwa mbegu mbalimbali za kisasa kwa tamaa zetu wenyewe. Mzungu kwa kiasi kikubwa kafanikiwa hili, kuku wa kisasa, mayai ya kisasa, matikiti ya kisasa, matango ya kisasa, penis za kisasa (utumiaji wa madawa ya kisasa kukuza maumbile yako), wanawake wakisasa (vipodozi, vipipi, body and shape surgery kuwa na mwonekano hali inayopelekea kushindwa kuzaa, wema sepetu na munalove ni wahanga,).
_Vitu vyetu vyote vya asili mzungu kafanikiwa kuvidumaza na kuziundermine akili za mwafrika kutumia vitu hivyo kuwa ni dalili za umasikini, yaani anaekula mihogo mibichi, ugali wa uwele, konokono na panya anaonekana mwehu na anaekula kuchpsi mayai, baga, piza na soseji anaonekana Royal.

ACHA YAFUATAYO ITAKUSAIDIA
_Acha kabisa matumizi ya pombe, acha.
_Acha au punguza vyakula vya mafuta
_Acha kabisa kutumia vyakula vya sukari, sukari uliyonayo mwilin inatosha
_Acha au punguza matumizi ya vyakula vya wanga
_Usitumie kabisa vyakula vya kisasa, chochote cha kisasa achana nacho pita mbali
_Acha kuwa na msongo wa mawazo.

TIBA YA NGUVU ZA KIUME
Uamkapo asubuhi
. Kunywa maji lita Tatu
. Vijiko viwili vya asali
. Kula vipande viwili vya tikiti
. Kimbia kilometer 2 tu inatosha kwenda na kurudi
. Ukisharudi kwenye kukimbia kunywa maji lita moja relax
. Baada ya hapo chukua Chai ya tangawizi ya moto kunywa
. Kula mayai ya kienyeji mawili, parachichi moja na ndizi mbili

MCHANA
. Kunywa maji lita mbili au zaidi
. Kula mchanganyiko wa matunda kama karoti, tikiti, ndizi, parachichi, matango nk
. Unaweza pia kula chakula ila kisiwe wanga wala chakisasa

USIKU
. Kunywa maji lita moja au zaidi
. Kula kipande cha samaki wakuchemshwa au supu ya samaki
. Kula vipande viwili vya tikiti maji

N. B. sio lazima kila siku ratiba iwe hivyo ila tu nimekupa mwongozo mengine utajiongeza mwenyewe Kadri uwezavyo. Mazoezi ni Muhimu sana hakuna mbadala wa hili, acha uroho wa mavyakula ya kisasa, acha stress kunywa maji mengi uwezavyo, karanga asali mihogo samaki parachichi ndizi mayai karoti Nyanya limao machungwa nk ni Muhimu sana

Nimekosa picha ya kuweka naombeni mnisamehe

..... Katiba mpya sio ya chadema ni takwa la wananchi..... Period.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Nitafanya yote hayo lakin POMBE SIACHI
 
Pia punguza hofu kuwa huna nguvu za kiume ili usijikute maisha yako yamejikita kwenye kuimarisha nguvu za kiume kwa kujiwekea formula za vyakula na mfumo wa maisha usioufurahia.

Maisha yanahitaji kufurahiwa, furahia nyakati zako ulizonazo duniani labda tu kama furaha yako ni ngono isiyo na kiasi.
 
Tumia matikiti ambayo hayatiwa dawa kwenye uzalishaji wake

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
kuna mtu anauza sasa matikiti ambayo hayana dawa siku hizi?!

na wewe ukifika sokoni sasa unajuaje hili limelimwa kwa dawa na hili halina dawa?!

hii ilitakiwa kuwa kazi ya mamlaka za serikali kuthibitisha ubora wa kila bidhaa inayoingia sokoni kama ambayo wanathibitisha bidhaa zingine zinazotoka nje ya nchi na viwandani.

tumejikiti huko ila tumesahau kuthibitisha ubora wa bidhaa tunazouziana kiholela mitaani,kitu ambacho ni hatari sana
 
Hapo mwanzoni rekebisha au fafanua,unywe lita 3 za maji,vijiko 2 vya asali na vipande 2 vya tikiti halafu ukimbie km 2 inawezekana vipi kukimbia,au unatakiwa kutumia hivyo vitu baada ya kukimbia...
Tiba itakushinda wewe, umeambiwa ule,unywe kabla ya kukimbia.
We unataka ule na kunywa baada ya kukimbia ili ukimaliza ulale!?
 
Back
Top Bottom