Hii ndio dawa ya nguvu za kiume 100%

Hii ndio dawa ya nguvu za kiume 100%

PONDA MALI KUFA KWAJA

MAISHA NI HAYA HAYA, YOU DIE ONCE

UKIPATA NAFASI YA KULA KIHALALI WEWE KULA TU MWAMBA, kuna watu wamelazwa hospitali hata kumaliza kikombe kimoja cha uji ni mazoezi mtihani
Kuna mtu kasema usile, kwani matunda manyanya na mamboga ya majani sio chakula kaka, think big

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Dawa rahisi ni kufanya mazoezi tu, hakikisha kila siku japo dk 45 unafanya mazoezi unatoka jasho na unakunywa maji mengi.
 
Mkuu umejitahidi kuandika lakini ninakukosoa hapo kwa kunywa maji huwezi kunywa maji asubuhi lita 3 Ukisha rudi kukimbia kunywa maji lita 1 au Wakati wa Mchana lita 2 na usiku lita moja sio Rahisi binadamu kunywa lita 7 kwa siku. Haitowezekana kabisa Ungelisema hivi unapo amka asubuhi kunywa maji ya Uvuguvugu lita 1 na nusu sawa na glasi 6 za maji, Unaporudi kukimbia kunywa maji lita 1 sawa na glasi 4 za maji Na Wakati wa mchana kunywa lita moja na nusu sawa na maji glasi 6 na usiku kunywa lita moja ni sawa na maji glais 4 jumla utakuw aumekunywa maji lita 5 Hapo ningekubalia vizuri .Lakini sio kusema eti mtu anywe maji lita 7 kwa siku sio rahisi kabisa kunywa binadamu maji lita 7 kwa siku moja.

View attachment 2053146

View attachment 2053147
Mzee at least you are making sense
 
INAWEZEKANA LITA 7, MIMI NIKO KWENYE MAJARIBIO HUWA NAISHIA LITA 5 AND NIMEKUWA NA URAIBU NA MAJI

CHUPA ZA LITA 1.5 KWA SIKU NAWEZA KUZIPIGA HATA 4
 
Hongera umeweka reference lakini kwani ukizidisha Kuna shida? Jibu hapana sio shida Bali inakuwa nzuri zaidi, as more as every time you drink water you become healthier than before

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
INAWEZEKANA LITA 7, MIMI NIKO KWENYE MAJARIBIO HUWA NAISHIA LITA 5 AND NIMEKUWA NA URAIBU NA MAJI

CHUPA ZA LITA 1.5 KWA SIKU NAWEZA KUZIPIGA HATA 4
Mm nafyonza lita tisa za maji, asubuhi 3 mchana 3 usiku 3 sio lazima upate kiu, ukiwa unafanya hivi inakuwa mazoea unaona kawaida tu kama mvuvi asivyoogopa mawimbi kwenye bahari

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mzungu katukamata. Hii hali inaniumiza sana. Tatizo kubwa ni biashara imeshamiri kila mahala,na mzungu ndio anapenyeza biashara zake za kemikali hapo hapo. Mfano siku hizi mkulima wa mpunga,mahindi,lazima atumie mbolea ya mzungu ya chumvi ili apate mazao mengi. Matunda pia kama matikiti siku hizi wanaweka mbolea hiyo pia.

Matunda mengi ya asili yamepotea,yameletwa ya kisasa,yanayotoa matunda makubwa na bora kuliko ya kiasili. Matikiti nayo yamo kwenye kundi hilo. Kwa sasa hupati yale matikiti ya asili. Kila kona unapata yale ya kisasa. Na wakati huo huo matunda inabidi ule.

Ndio maana mpaka sasa waafrica tunazeeka haraka kwa sababu ya matumizi ya matunda kama hayo na vyakula vilivyotumia mbolea ya chumvi. Na ukifuatilia vizuri uzeekaji wa siku hizi ni tofauti na zamani. Siku hizi mtu anazeeka kama ameiva hivi,hasa mashavu hivi. Halafu mwili unakuwa umelegea sana hasa maeneo ya mashavu (utafiti usio rasmi)

Hapo maji umeweka mengi sana kwa siku. Unamaanisha zaidi ya lita 5. Maji nayo hayatakiwi kuzidi mwilini. Yanajaa kwenye mapafu,unaweza kusababisha matatizo pia . Isiwe zaidi ya lita 3,usipungue lita 2 kwa siku

Waafrika tunaangamizwa ksbb ya kukosa maarifa
 
Mzungu bado anatawala indirect but maji mengi yanajaa kwenye mapafu ni uongo acha upotoshaji, kunywa maji mengi Kadri uwezavyo maji sio sumu ni tiba ya kila ugonjwa ulionao

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
HUO NDIO MWILI WA BINADAMU UNAHITAJI MAJI KWA KARIBU ASILIMIA 75.

Hydration-Solution-Body-is-Mostly-Water.jpg
 
Nimeona Kuna upotoshaji mkubwa sana wa matangazo ya dawa ya nguvu za kiume sasa nimeona niingilie Kati, nikasema hapana sitanyamaza maana wanaoteswa na kudhurumiwa kwenye hii changamoto ni watanzania wenzangu.

KWANZA KABISA TATIZO LILIANZA HAPA
_Miaka kumi nyuma hizi changamoto zilikuwa chache Sana napo ni kwenye makundi maalum tu ya watu kama waliofanyiwa surgery, waliopata ajali mbaya sana yenye kuharibu sehemu Muhimu za mwili, kama yaliyomkuta Tundu lissu, na wenye ulemavu.

_Pili ni kuruhusu kuinginzwa kwa mbegu mbalimbali za kisasa kwa tamaa zetu wenyewe. Mzungu kwa kiasi kikubwa kafanikiwa hili, kuku wa kisasa, mayai ya kisasa, matikiti ya kisasa, matango ya kisasa, penis za kisasa (utumiaji wa madawa ya kisasa kukuza maumbile yako), wanawake wakisasa (vipodozi, vipipi, body and shape surgery kuwa na mwonekano hali inayopelekea kushindwa kuzaa, wema sepetu na munalove ni wahanga,).
_Vitu vyetu vyote vya asili mzungu kafanikiwa kuvidumaza na kuziundermine akili za mwafrika kutumia vitu hivyo kuwa ni dalili za umasikini, yaani anaekula mihogo mibichi, ugali wa uwele, konokono na panya anaonekana mwehu na anaekula kuchpsi mayai, baga, piza na soseji anaonekana Royal.

ACHA YAFUATAYO ITAKUSAIDIA
_Acha kabisa matumizi ya pombe, acha.
_Acha au punguza vyakula vya mafuta
_Acha kabisa kutumia vyakula vya sukari, sukari uliyonayo mwilin inatosha
_Acha au punguza matumizi ya vyakula vya wanga
_Usitumie kabisa vyakula vya kisasa, chochote cha kisasa achana nacho pita mbali
_Acha kuwa na msongo wa mawazo.

TIBA YA NGUVU ZA KIUME
Uamkapo asubuhi
. Kunywa maji lita Tatu
. Vijiko viwili vya asali
. Kula vipande viwili vya tikiti
. Kimbia kilometer 2 tu inatosha kwenda na kurudi
. Ukisharudi kwenye kukimbia kunywa maji lita moja relax
. Baada ya hapo chukua Chai ya tangawizi ya moto kunywa
. Kula mayai ya kienyeji mawili, parachichi moja na ndizi mbili

MCHANA
. Kunywa maji lita mbili au zaidi
. Kula mchanganyiko wa matunda kama karoti, tikiti, ndizi, parachichi, matango nk
. Unaweza pia kula chakula ila kisiwe wanga wala chakisasa

USIKU
. Kunywa maji lita moja au zaidi
. Kula kipande cha samaki wakuchemshwa au supu ya samaki
. Kula vipande viwili vya tikiti maji

N. B. sio lazima kila siku ratiba iwe hivyo ila tu nimekupa mwongozo mengine utajiongeza mwenyewe Kadri uwezavyo. Mazoezi ni Muhimu sana hakuna mbadala wa hili, acha uroho wa mavyakula ya kisasa, acha stress kunywa maji mengi uwezavyo, karanga asali mihogo samaki parachichi ndizi mayai karoti Nyanya limao machungwa nk ni Muhimu sana

Nimekosa picha ya kuweka naombeni mnisamehe

..... Katiba mpya sio ya chadema ni takwa la wananchi..... Period.

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
unazunguka sana,supu ya pua ya kitimoto ndio dawa tosha
 
Wanaume tunateseka sana. Haya yote wanawake waridhike. Lkn pamoja kua na mabwawa wanataka tuwe na mashine kubwa kuhimili ukubwa wa mabwawa yao kitu ambacho sio kosa letu.

Wanaume tutaenda mbinguni tukiwa tumechoka sana.

Nawasilisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom