Hii ndege inatafuta nini huku Tarakea?

Hii ndege inatafuta nini huku Tarakea?

Kwema wakuu, kwa walio maeneo ya Rombo tarakea maeneo ya huku mpakani kuna ndege ndogo aina ya Cessna grand caravan naona inazunguka tu kuanzia asubuhi ya leo.sasa sijui inafanya patrol au inakuaje. Naona inazunguka maeneo ya msitu wa Rongai na kurudi tena Kenya kwa sababu hapa tupo mpakani.
Ngoja nimalize kunywa mbege nitawapa majibu
 
Kwema wakuu, kwa walio maeneo ya Rombo tarakea maeneo ya huku mpakani kuna ndege ndogo aina ya Cessna grand caravan naona inazunguka tu kuanzia asubuhi ya leo.sasa sijui inafanya patrol au inakuaje. Naona inazunguka maeneo ya msitu wa Rongai na kurudi tena Kenya kwa sababu hapa tupo mpakani.
Wanamtafuta Magufuli, wataipata!
 
Hongera kwa kuripoti mkuu humu kuna macho ya watu wengi na huo ndio uzalendo.
 
numbr za usajili zinaonekana ama holla?
 
tk,rongai,usseri maeneo bomba sana tumecheza mpira wilaya nzima enzi zetu
 
Habari bila picha/video clip sawa na taka taka tu
 
Kwema wakuu, kwa walio maeneo ya Rombo tarakea maeneo ya huku mpakani kuna ndege ndogo aina ya Cessna grand caravan naona inazunguka tu kuanzia asubuhi ya leo.sasa sijui inafanya patrol au inakuaje. Naona inazunguka maeneo ya msitu wa Rongai na kurudi tena Kenya kwa sababu hapa tupo mpakani.
Wanatafuta wale walevi wanaoenda kulewa kenya wanakuja kulala tz
 
Back
Top Bottom