conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,132
- 807
Hahaa yule jamaa ni maarugu kumbe daahNisalimie Nasoro mbadilisha fedha hapo dukani tarakea
Hahaa yule jamaa ni maarugu kumbe daahNisalimie Nasoro mbadilisha fedha hapo dukani tarakea
Imeshaondoka?Kwema wakuu, kwa walio maeneo ya Rombo tarakea maeneo ya huku mpakani kuna ndege ndogo aina ya Cessna grand caravan naona inazunguka tu kuanzia asubuhi ya leo.sasa sijui inafanya patrol au inakuaje. Naona inazunguka maeneo ya msitu wa Rongai na kurudi tena Kenya kwa sababu hapa tupo mpakani.
ipoHivi kweli Kuna kambi ya jeshi mkoa wa Kilimanjaro?
Ha ha hace mmeambiwa mnapitisha magendo sasa pita tena muone
Wewe in mtaalamu wa ndege kiasi cha kuijua modeli yake ikiwa angani, ninakushauri weka tochi chini imulike juu hiyo ndege itatua ikidhani ni uwanja wa ndege, hapo jibu utalipata.Kwema wakuu, kwa walio maeneo ya Rombo tarakea maeneo ya huku mpakani kuna ndege ndogo aina ya Cessna grand caravan naona inazunguka tu kuanzia asubuhi ya leo.sasa sijui inafanya patrol au inakuaje. Naona inazunguka maeneo ya msitu wa Rongai na kurudi tena Kenya kwa sababu hapa tupo mpakani.
Nakumbuka Kipindi cha Rais JMK kuna Ndege Moja ilikuwa inazunguka Anga Nyeti ya Morogoro na haikuwa ya Tanzania na baadae Kuangushwa.Kwema wakuu, kwa walio maeneo ya Rombo tarakea maeneo ya huku mpakani kuna ndege ndogo aina ya Cessna grand caravan naona inazunguka tu kuanzia asubuhi ya leo.sasa sijui inafanya patrol au inakuaje. Naona inazunguka maeneo ya msitu wa Rongai na kurudi tena Kenya kwa sababu hapa tupo mpakani.
Aache umbea vipi? Kwa taarifa yako hii nchi ni sasa Tu vijana hawana uzalendo ingekuwa zamani ingetolewa maelezo mapema sana. Maana kila raia alikuwa mlinzi na hata majirani walilijua hiloAcha umbea fanya issue zako
Sijabahatisha mkuu leo nimefanikiwa ku capture iingawaje ilikuwa kwenye motion na hapo nyuma imefungiwa sijui kifaa gani iangalie kwa makiniWewe in mtaalamu wa ndege kiasi cha kuijua modeli yake ikiwa angani, ninakushauri weka tochi chini imulike juu hiyo ndege itatua ikidhani ni uwanja wa ndege, hapo jibu utalipata.
Shhhhhhhhi!!!!
Kama haujabahatisha inamaana umelipata jibu, asante.Sijabahatisha mkuu leo nimefanikiwa ku capture iingawaje ilikuwa kwenye motion na hapo nyuma imefungiwa sijui kifaa gani iangalie kwa makiniView attachment 1671304
Sawa mtaalamu wa madini kutoka hapo wizaraniKama haujabahatisha inamaana umelipata jibu, asante.
Nb. Kifaa kilichofungwa ni high resolution magnet, hii ni shumaku yenye mwendo wa kasi ambavyo inauwezo wa kuyavuta madini bila kuyaona kutokana na kasi yake, chukua hatua haraka.
Haitoshi, ikamate hiyo ndege inayoiba madini yetu.Sawa mtaalamu wa madini kutoka hapo wizarani
Mbuzi choma Kiboro!Ha ha ha hapana. Ila napaelewa. Itoshe kusema iko ndani ya wilaya na jimbo langu. Kwetu Mkuu dia
Ha ha ha yee mwanammekuMbuzi choma Kiboro!
Karibu!Ha ha ha yee mwanammeku