Hii ndege inatafuta nini huku Tarakea?

mcTobby

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
2,986
9,319
Kwema wakuu, kwa walio maeneo ya Rombo tarakea maeneo ya huku mpakani kuna ndege ndogo aina ya Cessna grand caravan naona inazunguka tu kuanzia asubuhi ya leo.sasa sijui inafanya patrol au inakuaje. Naona inazunguka maeneo ya msitu wa Rongai na kurudi tena Kenya kwa sababu hapa tupo mpakani.
 
Wanachokitafuta soon watakipata
Yaani ni tokea asubuhi mzee .sasa sijajua inatafuta nini ..na hapa kwa eneo la Rombo tarakea hakuna airstrip ya kutua ndege ndogo...au serikali imeanza kufanya boda partol kati ya mpaka wa kenya na Tanzania kwa kutumia ndege? mimi SIJUI kwa kweli.
 
Kama inatoka Kenya kuna Mzigo unaangaliwa, Wakenya hurusha mpaka Drones Kuja kucheck Vitu flani vya Bei mbaya Tanzania.
 
Back
Top Bottom