ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,574
- 56,788
Wakuu hii nchi mbona nimeanza kuiskia hivi karibuni na Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama shule ya msingi nilisoma.
Western Sahara ipo siku nyingi; lilikuwa koloni la wahispania, pia ikijulikana kama Spanish Sahara. Wakati wa vuguvugu la Uhuru wa Afrika miaka ya sabini, wagombea uhuru wa nchi hiyo walikuwa wanajiita Polisario, na walikuwa wanapata support kubwa kutoka Algeria, Libya, Guinea Bissau, Tanzania, na Zambia. Baada ya Ureno kushindwa kuyashikiria makoloni yake ya Mozambique, Angola, na Cape Verde mwaka 1975, Wahispania nao waliona hawataweza kuendelea kuikalia Spanish Sahara, basi wakaigawanya kati hya Morocco na Mauritania mwanzoni mwa 1976. Hata hivyo Polisario hawakukubaliana na mgawanyo huo, walitaka wawe taifa huru linalojitegemea. Ndipo Morocco ikatuma majeshi yake kuivamia nchi yote na hivyo kuinyang'anya Mauritania sehemu ambayo ilikuwa imejimegea. Hata hivyo Wapiganaji wa Polisario bado wanaendelea n mapambao ya uhuru hadi leo na bado wanasaidiwa na Algeria.Wakuu hii nchi mbona nimeanza kuiskia hivi karibuni na Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama shule ya msingi nilisoma.
Kama ni mekuelewa vyema ni kuwa hiyo ni alliance mpya ya sahelian states ambayo ni breakaway ya EcowasWakuu hii nchi mbona nimeanza kuiskia hivi karibuni na Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama shule ya msingi nilisoma.
Hiyo nchi ipo miaka mingi chini ya makucha ya Morocco lakini ina utawala wake usio rasmishwa na Umoja wa Mataifa. Taifa hilo linafanana kimapito na taifa la wakurdi wanaopigania kuunda Kurdistan kaskazini mwa Iraq....Wakuu hii nchi mbona nimeanza kuiskia hivi karibuni na Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama shule ya msingi nilisoma.