Hii nchi kuna Watumishi wa Umma wanakula raha nyie

Kuna sehemu mfanyakaz wa kawaida tu tena ana diploma analipwa:- mshahara, risk allowance, house allowance, transport allowance, overtime kilasiku, communication allowance... Akijumlisha per month anaondoka na Million 3.4 cash....
Sasa wewe ng'ombe mtaani endelea kujifanya unajua kuimba nyimbo za kizalendo wakat wenzako wanakula mema ya nchi
Bila ya shaka hiyo ni TCRA
 
Ndio maana hawa vijana wa uv CCM nawadharau sana.
Wanajitutumua na kujihesabu sehemu ya serikali kumbe ni makapuku tu
 
Ikiingia serikali makini madarakani nikufuta Kabisa au kuondoa hizo posho zote za vikao. Vikao viwe sehemu ya kazi maana ndivo ilivo. Kumlipa mtu posho ya vikao siku hiohio alipwe na mshahara wa siku ni double payment. Nchi hii sio masikini kivile hakuna ugawanywaji sawa kufikia jamii nzima. Nahii ndoinaweka gap kubwa.
 
  • Mhe. Zainabu Katimba
  • Amechukua nafasi ya nani ? Naomba kujua hili
Ameenda kuchukua nafac ya Ndejembi ambaye amepandishwa kuwa Waziri kamili,kuchukua nafac ya Prof Ndalichako,nadhani now bwana Waziri Ndejembi ni Waziri wa Kazi na Ajira...

Yaani haya majina ya Wizara wameyakorogakoroga,anajua Hangaya mwenyewe na mwanae mpendwa
 
Back
Top Bottom