Wkt wa shujaa.Kwani zimejengwa wakati wa nani?
Mrudishe anyooshe NCHI, OVER!!
Huu ni uthibitisho kuwa awamu ya 5 ilijaa wezi, kipindi cha awamu ya 5 ukitoa picha hii kesho uko kusikojulikana. Kila kitu kilikuwa kinafanywa gizani kikitoka kinapigiwa matarumbeta na nyimbo za kuabudu miungu watu.
Alikuwa anaiweza wapi wakati hivi vyote vimajengwa wakati akiwa hai? Mzee yule alituangusha sana kwenye mambo mengi! Mama asisingiziwe!
wa kulaumiwa hapa ni upinzani maana wakati wa ujenzi wa hiyo nyumba na hilo soko, rais wa nchi alikuwa tundu lissu, makamu wake alikuwa freeman mbowe, au nasema uongo ndugu zangu?.
Aliekula genchi ashadedi
Tena mpumbavu haswa, Hayati mwenyewe huku akijua kabisa Jangwani kuna jaa maji alijenga parking ya mwendo kasi Kwa mabilioniKwa upumbavu wako unahisi hilo soko limejengwa kipindi gani, kama siyo kipindi cha shujaa!
Acheni ujinga! Hii nchi ilichezewa sana na watu kuzuiwa kuongea yanayoendelea!
Imejengwa kwa mwezi mmoja?
MagufuliKwani zimejengwa wakati wa nani?