Hii nchi ilikuwa inaweza kwenda zake tu, angalia soko la Bilioni 1 na nyumba ya Milioni 350

Watanzania tuache upuuzi hata kama tulimpenda mtu huu ni unafiki sasa.... Tumpe anachostahili mtu...... Madudu yenu mnayaibua leo mnamvisha mtu kubalini nae HAKUA MKAMILIFU na miradi hii ipo mingi chini ya JPM.

Nyeusi na iwe nyeusi tuache unafiki
 
Jiwe angekuwa hai, ungesikia tumefanikiwa kujenga soko hili kwa ghalama ya tsh milioni mbili na nusu. Tunaipongeza serikali ya hawamu ya tano chini ya jiwe. Ccm hoyeee
 
Unayemzungumzia angekuwa hai wakati huu aliyepost iyo picha angepotezwa alafu wangekuja baadaye kukanusha
 
JF imejaa mapumbavu yanayoigana kutoa komenti. Nyumba inaweza kujengwa wakati wa JPM lakini wakati wa kutoa gharama halisi wakataja za juu ili wapate pa kupiga. Kumbuka wakati JPM kafariki viongozi wamebadiri sana vitabu vya mahesabu.
 
Wewe ndiye punguani, kabla mradi wowote haujaanza huwa kuna gharama inaandaliwa BOQ
Hivyo huwezi kutamka gharama nje ya makadirio ya kubuni nje ya BOQ
 
Wewe ndiye punguani, kabla mradi wowote haujaanza huwa kuna gharama inaandaliwa BOQ
Hivyo huwezi kutamka gharama nje ya makadirio ya kubuni nje ya BOQ
Mkuu BOQ inaweza kuwa juu ya makadirio ama kuwa chini. Wewe unahisi BOQ ni kitu ambacho kipo konstant? hebu angalia yale majengo ya hostel pale Mlimani city tulipoambiwa na TBA kuwa pesa ilotumika ni almost half ya iliyotengwa. Kingine pia mradi pesa inaweza kuongezeka kulingana na mabadiriko ya kiuchumi, upatikanaji wa materials na natural factors kama mafuriko etc, sasa hapa ndiyo wajanja hupiga na kujiongezea posho. Mkuu next time acha kumtukana mtu ambaye humjui fanya yako tu achana na mambo ya kitaalamu. NOTE BOQ ni gharama za kufikirika ambazo mradi hutegemea kutumia mpaka ukamilikaji wake.
 
Back
Top Bottom