Hii naona nzito kidogo

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Jamani Kuna hili naona kwangu nigumugumu sana naomba niwaulizeni wakuu ndani ya JF!
Wewe unajirani yako najirani yako amefuga MBWA siku moja unarudi nyumbani kwako na hupo drishani kwako,mara unasikia jirani yako anamwita MBWA WAKE kwa jina lako!!Kama ni wewe unafanyeje??Busara inahitajika imetokea hii!!!
 
Ha ha haaaaaaaaa... Duniani kuna mambo...:confused2::confused2::confused2:
 
Nadhani huyo mama alimuokota mtoto huyo jararani, siamini kama alikaa na mimba yake miezi 9 tumboni!
 
...Kula ugali ukale. Huna hatimiliki ya hilo jina! Kama vipi, na wewe tafuta Mbwa ama Paka nawe umpe jina la huyo jirani kisha nunua zile maikrofoni/spika za mkononi halafu uwe unaitumia kumuita huyo Mbwa/Paka wako kwa sauti kuuubwa. Jino kwa Jino a.k.a Tit for Tat!
 
Jirani yako mkorofi achana nae wala asikuumize kichwa..labda analipenda jina lako
 
...Kula ugali ukale. Huna hatimiliki ya hilo jina! Kama vipi, na wewe tafuta Mbwa ama Paka nawe umpe jina la huyo jirani kisha nunua zile maikrofoni/spika za mkononi halafu uwe unaitumia kumuita huyo Mbwa/Paka wako kwa sauti kuuubwa. Jino kwa Jino a.k.a Tit for Tat!

Na wewe fuga Nguruwe kisha umwite jina la jirani yako, vitoto vya nguruwe ita majina ya watoto wake...

Oops Sore... Usilipize baya kwa baya... Muombee tu
 
Jamani Kuna hili naona kwangu nigumugumu sana naomba niwaulizeni wakuu ndani ya JF!
Wewe unajirani yako najirani yako amefuga MBWA siku moja unarudi nyumbani kwako na hupo drishani kwako,mara unasikia jirani yako anamwita MBWA WAKE kwa jina lako!!Kama ni wewe unafanyeje??Busara inahitajika imetokea hii!!!

Tatizo ni kwa vile humpendi mbwa au kuna kingine? Kama hujali,sioni tatizo kwa vile jina ni kama lebo ya utambulisho tu ndo maana kuna watu wana majina ya wanyama kama vile SIMBA,na jina hilo lipo kwa mbwa wengi tu,hasa wale wakali sana,mbwa wengine wanitwa TEMBO,si kuna koo za kina Tembo pia!!
 
Back
Top Bottom