Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,052
- 18,012
Hakuna mji wenye sida ya maji kama Arusha,...Khaaa!!!
Hapana mkuu!! Unalinganisha na wapi? Kwenye suala la maji arusha ina nafuu kidogo kuliko hata dar, ingawa hawana bahari wala ziwa kubwa.
Hakuna mji wenye sida ya maji kama Arusha,...Khaaa!!!
usiongopee watu mikoa yote ina maskin na hali mbaya sana,kariakoo nyumba za udongo ni juz tu zmeondoka, hyo kagera yako haina lolote mm naishi huko kagera biharamulo nyabusozi,muleba ndo ucseme khaaa misifa ya bure na roho mbaya mbaya tu. naconclude kuwa; MJINI NI NYuMbani KWako si kwa jirani,inawezekana ukawa unishi Dar na mm singida au lindi na kiuchumi usifue dafu.
Makazi ya kuridhisha yapi kwani hiyo mikoa iliyobaki hawana makazi ya kuridhisha labda umuulize mtoa mada katumia vigezo vipi maana hali ya mikoa hiyo kimaisha ni sawa tu. Na nilijua kusudi watu watapinga uwepo wa Kagera kwa kuwachukulia wahaya wanavyoishi nao mjini nendeni mkaishi nao kule ndo mtawajua vizuri na kama unazungumzia huduma za jamii ndo sababu hata mikoa mnayosema imeendelea nenda Arusha, Mbeya n.k kuna maeneo mengine huduma za jamii ni kitendawili huko vijijini lakini bado utakuta hicho kijiji kipo kwenye mkoa ambao makao makuu yake yanahadhi ya jiji.
Kijiji gani mkuu?
Hakuna mji wenye sida ya maji kama Arusha,...Khaaa!!!
Mikoa masikini na isiyoendelea Tanzania hii japo kuna mingine wanatokea wapenda sifa.
1. Kagera
2. Lindi
3. Rukwa
4. Kigoma
5. Singida
6. Tabora
7. Mara
8. Ruvuma
9. Pwani
Mikoa hiyo nichoka mbaya kuliko hata huu
10. Mtwara.
Mtwara inakuja kwa speed kubwa sana,siyo ya siku zile tena...itafunika mikoa mingi tu muda si mref...just a matter of time.
Watu tu wajitume kufanya kazi ndo tutaendelea kusini yetu. Hasa Gas ambayo imepatikana Mtwara tusiposhikana mashati kipindi hiki tutabaki hivo hivo.
heko kweli unajua maendeleo yanaanzia kwako.wangapi dar wanaishi kama kambini hatusemi na ilihali baadhi ya watu kigoma au mtwara wanaishi kwenye nyumba nzuri tubadilike umaskini unatuhusu wote xo cha mxingi ni kujipanga ili tusonge mbeleusiongopee watu mikoa yote ina maskin na hali mbaya sana,kariakoo nyumba za udongo ni juz tu zmeondoka, hyo kagera yako haina lolote mm naishi huko kagera biharamulo nyabusozi,muleba ndo ucseme khaaa misifa ya bure na roho mbaya mbaya tu. naconclude kuwa; MJINI NI NYuMbani KWako si kwa jirani,inawezekana ukawa unishi Dar na mm singida au lindi na kiuchumi usifue dafu.
Nadhani wazanzibar wana haki, maana nilkikuwa zanzibar december, ule uwanja wa ndege umechoka sana, yaqani mabegi uatafikiri yamewekwa kwenye karo, halafu kuna tundu ndio jamaa wanawake mabegi yote abiria ndio mnachagua.Nashangaa wazanzibar wanavyolalamika muungano unawanyonya au unapendelea bara,wakati hata mikoa hii mi 3 bado nayo iko nyuma kutokana na kero za muungano lakin haijawah kudai tanganyika yao.
Sugu katajwa wapi? Au mcharuko tu?
Tafadhali bwana,kagera mambo super wewe.kila kona ni lami aisee.