Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,012
Naweza kuwatetea Kigoma na Rukwa, kwamba wako mbali mno na Dar.
Kuna huu mkoa jirani wa PWANI ambako ndiko mhe. Rais anatoka. Huu mkoa pamoja na rasilimali zote ilizokuwa nazo pamoja na proximity yake na Dar, ni masikini wa kutupwa kabisa. Ukifika hapo Kisarawe, Bagamoyo, Rifiji nk, kunanuka umasikini tu.
Wacha uongo wewe..Mkoa ganiupo jirani na Pwani ambao Rais anatoka....?????
Mikoa jirani na Pwani ni Dar, Moro na Tanga....
Au unamaanisha Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani..