Hii Mikoa Nani Kailoga?

Hii Mikoa Nani Kailoga?

Unazungumzia hapo Mtwara mjini? Nenda huko vijijini mkuu huwezi amini kama uko Tanzania.Umasikini unatisha!
kiukweli mikoa ming tanzania kwa upand wa vijijini hali hazitifautiana xana coz nimejionea ruvuma,iringa, mbeya, mtwara, morogoro, dodoma xo tucidangabywe eti ni mtwara vijijini tu ndo hali mbaya
 
Mikoa hiyo imerogwa na ccm ila Lindi na Ntwara zitachomoka maana wamejua maana ya upinzani. Hakika Ruvuma kama mtaendelea kuwachagua Jenister. kaka Komba na Kawawa mnapaswa kuhurumiwa. mtabaki huko huko nyuma kwenye mkia

mkuu umenichekesha ivi unafikiri mtu mmoja ndo anaweza kuleta maendeleo au unataka kuniambia kule mbeya sugu ndo amepafanya pawe vile au huijui vizuri historia ya nchi hii? toa mikakati ya kweli ci kutuletea porojo kama za wanaojiita ukawa.
 
Mikoa masikini na isiyoendelea Tanzania hii japo kuna mingine wanatokea wapenda sifa.

1. Kagera
2. Lindi
3. Rukwa
4. Kigoma
5. Singida
6. Tabora
7. Mara
8. Ruvuma
9. Pwani
Mikoa hiyo nichoka mbaya kuliko hata huu

10. Mtwara.

bila shaka wew upo vizuru coz huo ni umaskini wa watabzania pia xo toa mikakati ili watu wajikwamue.coz inawezekana tujajikita ktk iyo mikoa kwa ujumla wake wakati huohuo kuna watu wanapata mlo mmoja kwa siku ktk mikoa iyo unayodhani imeendeleo kwan maendeleo hayapimwi kwa muonekano wa mkoa tu bali na maisha halisi ya wakazi wake
 
Mkoa unapokuwa masikini na hali ya uchumi na gharama za maisha pia zinapanda mf . Mkoa wa mtwara vyakula ni bei ghali ihali maisha ni duni.
 
Mkoa unapokuwa masikini na hali ya uchumi na gharama za maisha pia zinapanda mf . Mkoa wa mtwara vyakula ni bei ghali ihali maisha ni duni.
cha msingi vijana wajitume ili kujikwamua na dimbwi la umaskini
 
chakii, watu wa mikoa hiyo ni mahiri sana kwa ngono, waache waendelee upande huo, porn industry ikishamiri ndio watakuwa ma star, na watakuwa matajiri sana
habari za majukumu wana-jf,.

Hapa nazungumzia mikoa ya ruvuma, lindi na mtwara,.

Siyo jambo la siri mikoa hii ipo nyuma sana kimaendeleo au naweza kusema imesahaulika katika sura ya nchi yetu,.

Huwezi kulinganisha mikoa hii na mikoa mingine tanzania kama kilimanjaro, mbeya na mingine ambayo imepiga hatua katika suala la maendeleo, uchumi na hata elimu,.

Nalitaka kujua kulikoni kwa hii mikoa kuwa nyuma katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo,.

Lengo la huu uzi siyo lingine zaidi ya kufahamu sababu za hii mikoa kuwa nyuma kwa hiyo mizaha na matusi hayatakuwa na tija katika kujuzana.
 
Last edited by a moderator:
Mikoa masikini na isiyoendelea Tanzania hii japo kuna mingine wanatokea wapenda sifa.

1. Kagera
2. Lindi
3. Rukwa
4. Kigoma
5. Singida
6. Tabora
7. Mara
8. Ruvuma
9. Pwani
Mikoa hiyo nichoka mbaya kuliko hata huu

10. Mtwara.

Sijui ni vigezo gani umetumia lakini nafikiri Ruvuma na Kagera una ugomvi nao. Hawastahili kuwemo ktk kundi hili kwani wananchi wake (majority) angalau wanaweza kupata mahitaji ya msingi (Chakula, malazi, na makazi ya kuridisha, n.k ) kwa mwaka mzima bila kusumbuka sana ukilinganisha na mikoa kama vile Dodoma ambao haumo kwenye orodha yako. Nimetembelea mikoa yote mitatu na mingine ktk orodha yako kwa kweli hawastahili kuwemo hasa Kagera kuipa namba moja kwa umaskini umebugi (labda kama kuna mhaya alikutapeli kimapenzi maana kwa mambo hayo hawajambo, hasa ukiwaendea macho juu). Wanaweza pia kulipia mahitaji ya msingi kama elimu kwa watoto wao nk
 
Sielewi mwansisha mada na wachangiaji wengine wako ulimwengu huu ama ahera...Mtwara unaiweka kundi la mikoa duni ?tena kwa nyakati hizi....Hahahaaaaa, inafurahisha!! Macho na masikio ya serikali yetu hii na dunia nzima yanaelekezwa Mtwara...Ujeuri wa viongozi wengi sasahivi ni kwasababu ya Mtwara...
"Mtwara Kuchele"

Una maslahi binafsi Sizinga (Signature yako nimeiona...declare please!)....ni kweli Mtwara na Lindi zitakuwa mbali sana kiuchumi miaka ijayo kwa hii gesi asilia
 
ni kweli kabisa mikoa mingi hapa tz haina maendeleo hii ni kufuatan na uongoz uliop pale,takriban mikoa yote ya tz inavyanzo vizur tu vya uzalishaj ss kwanin wasivitumie,ntwara kuna bandar na ges Lindi kuna machimbo meng tu ya madin maeneo RWANGWA,ila tu viongoz ndo wanarudisha maendeleo nyuma ya wananch
 
ongeza na Kigoma na Rukwa hapo

Naweza kuwatetea Kigoma na Rukwa, kwamba wako mbali mno na Dar.
Kuna huu mkoa jirani wa PWANI ambako ndiko mhe. Rais anatoka. Huu mkoa pamoja na rasilimali zote ilizokuwa nazo pamoja na proximity yake na Dar, ni masikini wa kutupwa kabisa. Ukifika hapo Kisarawe, Bagamoyo, Rifiji nk, kunanuka umasikini tu.
 
suluhishoooo........."MMAKONDE ahamishiwe kilimanjaro/uchagani na WACHAGGA wote wapelekwe Mtwara"....ikifanyika hivi wale wanajeshi walioko ntwara watapewa likizo na wa mwonduli watafanya kumbukizi kupunguza vitambi
 
Walowezi na wamisionari kiukweli ndio waliokua chachu ya maendeleo lakini walikataliwa na kuuawa sana kwenye maeneo hayo yenye utajiri mkubwa.
Bahati nzuri Membe na Kikwete wamewaletea tena walowezi na uliona vurugu zilizotokea kule Ntwara mpaka zikazimwa na jeshi.
Wana laana ya damu za wamisionari.
 
Sijui ni vigezo gani umetumia lakini nafikiri Ruvuma na Kagera una ugomvi nao. Hawastahili kuwemo ktk kundi hili kwani wananchi wake (majority) angalau wanaweza kupata mahitaji ya msingi (Chakula, malazi, na makazi ya kuridisha, n.k ) kwa mwaka mzima bila kusumbuka sana ukilinganisha na mikoa kama vile Dodoma ambao haumo kwenye orodha yako. Nimetembelea mikoa yote mitatu na mingine ktk orodha yako kwa kweli hawastahili kuwemo hasa Kagera kuipa namba moja kwa umaskini umebugi (labda kama kuna mhaya alikutapeli kimapenzi maana kwa mambo hayo hawajambo, hasa ukiwaendea macho juu). Wanaweza pia kulipia mahitaji ya msingi kama elimu kwa watoto wao nk

Makazi ya kuridhisha yapi kwani hiyo mikoa iliyobaki hawana makazi ya kuridhisha labda umuulize mtoa mada katumia vigezo vipi maana hali ya mikoa hiyo kimaisha ni sawa tu. Na nilijua kusudi watu watapinga uwepo wa Kagera kwa kuwachukulia wahaya wanavyoishi nao mjini nendeni mkaishi nao kule ndo mtawajua vizuri na kama unazungumzia huduma za jamii ndo sababu hata mikoa mnayosema imeendelea nenda Arusha, Mbeya n.k kuna maeneo mengine huduma za jamii ni kitendawili huko vijijini lakini bado utakuta hicho kijiji kipo kwenye mkoa ambao makao makuu yake yanahadhi ya jiji.
 
Tabora Kigoma Rukwa Katavi Singida Lindi Mtwara Ruvuma na bado inaikumbatia ccm.Ama kweli umasikini ni mtaji wa ccm
 
Habari za majukumu wana-Jf,.

Hapa nazungumzia mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara,.

Siyo jambo la siri mikoa hii ipo nyuma sana kimaendeleo au naweza kusema imesahaulika katika sura ya nchi yetu,.

Huwezi kulinganisha mikoa hii na mikoa mingine Tanzania kama Kilimanjaro, Mbeya na mingine ambayo imepiga hatua katika suala la maendeleo, uchumi na hata elimu,.

Nalitaka kujua kulikoni kwa hii mikoa kuwa nyuma katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo,.

Lengo la huu uzi siyo lingine zaidi ya kufahamu sababu za hii mikoa kuwa nyuma kwa hiyo mizaha na matusi hayatakuwa na tija katika kujuzana.

We uko dunia gani wewe? unaitaja mtwara km mkoa maskini! hayo ndio madhara ya kukaririshwa darasani nenda mtwara ukajionee mwenyewe mambo yanavyo noga.
 
Mnachobishania ni kama kumpongeza mwanafunzi aliyepata 20 ana akili kumzidi aliyepata 5. Mkasahau kama wote ni div 5. Kwa akili zenu ndogo ni mkoa gani tz ulioendelea kama sio kuambizana ujinga tu...
 
Back
Top Bottom