Hii mikataba mibovu tatizo ni UDSM

Hii mikataba mibovu tatizo ni UDSM

Siyo kazi yangu wewe uliyetoa mada ulipaswa useme wanafunzi wengi wanaohitimu elimu ya UDSM labda elimu zao mbovu hivyo wanakosa ufanisi wa kuongoza.

Unajua judge anaweza akafahamu mtu fulani ana haki na BADO akamfunga miaka30? Unamfahamu mwanasheria anaweza kufahamu mtu ana makosa sababu ya PESA akaenda kumtetea?

Tuambie basi wewe elimu ya udsm na mikataba mibovu ipo mwenye angle gani? Halafu utuambie chuo bora hapa Tanzania
Haya turudi kwenye mada.
 
Bora ungekaa kimya kuliko kuonesha ujinga ulio jaa kichwani mwako.

Nimekuuliza mikataba mibovu inayosainiwa Na viongozi wa Kongo, Nigeria, South Africa, Namibia, Msumbiji, Malawi, Zambia, Kenya, Ghana n.k. hao wote wamesoma Udsm?
Kwa vile Akili hauna haukujua hata swali limelenga nini.

Nakuuliza swali jingine ili ujione kichwa maji, Chief Mangungo alisoma Udsm?
Majibu Baki nayo.

Unaonekana unamoja ya mambo yafuatayo;
1. Ni Maskini wa Roho, Akili, Pesa na Hisia.
2. Haujiamini na unajiona Duni Kutokana na sababu nilizozitaja hapo juu. Ndio maana ukisikia MTU akisema amesoma Udsm au nje ya nchi unamuona kama anaheshimika zaidi yako.

3. Hauna kazi, hivyo Akili yako nayo Ipo kama Debe tupu.

Hakuna uhusiano wowote Kati ya kusoma chuo Fulani na mambo ya kusaini mikataba.
 
Kwahiyo hii mada ni ya Congo, au Kenya? Una generalize vp ujinga wa wenzio kwako? Panua ubongo.
 
Soma comment no 106 na Topic. Una kichwa kigumu kuelewa sana.

Huna hata unalojua zaidi ya kwenda chooni tu, tunafahamu UDSM ni miongoni mwa vyuo bora barani afrika, mikataba mibovu acha kuhusisha na chuo, wanasheria wanafahamu SHERIA lakini wanazivunja makusudi KWA sababu zao binafsi ambazo hazihusiani na taaluma waliyonayo.

Hata hivyo viongozi unaodai ni graduate wa UDSM Wana elimu bora na nzuri,
MBona wapo maprofesa wanafanya vitu vya hovyo kwenye jamii Hilo haliondoi kwamba hawana elimu kuwa na elimu bora hakuondoi tabia mbovu na ubinafsi wa viongozi

Kutokwenda shule mlaumu baba na mama yako hayo hayanihusu kamlaumu baba na mama YAKO jobless mwenzang
 
Tulia huko ww. Na shule yako ndogo
 
Tulia huko ww. Na shule yako ndogo

Naona umekaa ukaona daah kweli nimeongea upumbavu🤣🤣 yaani mwalimu mwenye degree ya hesabu aliyefundisha watoto wengi kwakuwa ni mlevi hivyo elimu ile kichwani hana LOOH!! kwakuwa political figures Wana saini mikataba mibovu hivyo UDSM ya ovyo.
Sijapata kukutana na mtu anayewazia kupitia matako kama wewe😂😂
 
Kama Kuna ukweli flani hapa, hivi UD hawafundishi watu kuwa wazalendo na Nchi yao ee! Wasomi wengi kwenye nyazifa ni UD graduates. Ndio wanasini mikataba mibovu. Kuna hoja hapa.
 
Naona umekaa ukaona daah kweli nimeongea upumbavu[emoji1787][emoji1787] yaani mwalimu mwenye degree ya hesabu aliyefundisha watoto wengi kwakuwa ni mlevi hivyo elimu ile kichwani hana LOOH!! kwakuwa political figures Wana saini mikataba mibovu hivyo UDSM ya ovyo.
Sijapata kukutana na mtu anayewazia kupitia matako kama wewe[emoji23][emoji23]
Hii mada ni ya Intellectuals. Hoja za kike kajadili na akina mama wenzio.
 
Kama Kuna ukweli flani hapa, hivi UD hawafundishi watu kuwa wazalendo na Nchi yao ee! Wasomi wengi kwenye nyazifa ni UD graduates. Ndio wanasini mikataba mibovu. Kuna hoja hapa.

Unafahamu SHERIA ya barabarani eneo la kona kali na mwinuko hupaswi ku overtake lakini wewe una overtake unapata ajali. halafu unasema traffic ni adui mkuu KWA ajali zinazotokea barabarani seriously?
 
Udsm wanajiona kama havard wakati ni weupe kinachowabeba ni kwamba ni chuo kikongwa ila kielimu bora hata usome open university.
Usiifanishe UDSM na upuuzi. Khaaah
 
Back
Top Bottom