Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,254
- 15,746
Sujakuelewa una maana ganiUlisha wahi kufanya tafiti yoyote duniani hapa?
Sujakuelewa una maana ganiUlisha wahi kufanya tafiti yoyote duniani hapa?
nakazia tenaNarudia kukazia
Mkuu,Tafta Tangazo la Ajira za utumishi, Bunge. kati ya April to May, 2023. Nafasi za Economists. Soma Sifa. Leta pdf na mrejesho.
Naendelea KUKAZIAnakazia tena
Kwahiyo kwa akili yako hapo ume pinga nini? Dunia ipo kiganjani. Why UDSM? Why , nafasi zote iwe chuo kinacho tambuliwa na serikali isipokuwa economists tu?Mkuu,
Ukitoa dai, toa ushahidi. Usitoe dai wewe halafu ukawataka watu wengine watoe ushahidi wa kuthibitisha dai lako.
Haya, tuache hilo. Nakufanyia kazi yako.
Ajira ziko hapa kwenye hii link, mbona kilichoandikwa na unachosema wewe ni tofauti?
2. MCHUMI DARAJA LA II – NAFASI
1a) Sifa za Mwombaji
Mwombaji awe na Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Sokoine au Chuo Kikuu chochote kinachotambuliwana Serikali katika mojawapo ya fani zifuatazo:-
Uchumi (Economics);
Takwimu (Statistics);
Sayansi ya Uchumi Kilimo (BSc. Agriculture Economics & Agribusiness).
Yule waziri alipaita jalalaniWenyewe wanajiita TOP BRASS....
Mkuu,Kwahiyo kwa akili yako hapo ume pinga nini? Dunia ipo kiganjani. Why UDSM? Why , nafasi zote iwe chuo kinacho tambuliwa na serikali isipokuwa economists tu?
Hivi ume post bila kusoma? Dunia ya sasa kazi zote una weka chuo kinacho tambuliwa na serikali. Full stop. Kuna watu hapa wametoka Havard, UoN, nk.Mkuu,
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Mkuu,
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Mtu akikunyima hizo kazi kwa sababu hujui kusoma kwa ufahamu na una tabia ya kulalamika bila kuwa na jambo la msingi atakuwa kakosea?
Kwani hawajaweka vyuo vinavyotambuliwa na serikali?Hivi ume post bila kusoma? Dunia ya sasa kazi zote una weka chuo kinacho tambuliwa na serikali. Full stop. Kuna watu hapa wametoka Havard, UoN, nk.
Kulikuwa na u special gani kuweka UDSM? Hilo neno lipo au halipo? Au una bisha tu ilimradi.
Labda ali apply UDSM wakampiga chini ana machungu na chuo.Huyu jamaa ana comprehension disorder. Hapo yeye anaona neno UDSM tu mengine yote haoni.
Sheria ya kazi haibagui vyuo. Je UDSM haipo kwenye Tangazo? Alie post kaona aibu ka delete!!!Huyu jamaa ana comprehension disorder. Hapo yeye anaona neno UDSM tu mengine yote haoni.
Nimefuta tangazo wapi? Unajuaje nimefuta tangazo?[emoji3][emoji3][emoji3] niko nanyi leo. Na ume futa Tangazo. Why?
Kwahiyo ww una ufundisha style ya kutangaza kazi? Why nafasi zingine hakuweka hizo mifano? Tumia lugha ya kiswahili. Nina uhakika ume graduate udsm bila kufanya discussion kwa english. Una soma Swali english mna discuss kwa kwa kiswahili[emoji3][emoji3][emoji3]Kwani hawajaweka vyuo vinavyotambuliwa na serikali?
Yani mtu kukuwekea mifano ya vyuo hivyo usichanganye VETA na Chuo Kikuu ushaona nongwa?
You are so petty it's not even funny right now.
Kwanza umeongopa kwamba wametaja UDSM kama kigezo, nikafikiri hawapokei mtu wa chuo kingine chochote.
Kuja kuangalia tangazo, kumbe wameandika vyuo vyote vinavyotambuliwa na serikali.
Acha kulialia kijinga.
Wewe una matatizo ya akili. Wewe unayekosoa tangazo hujioni kwamba unafundisha style ya kutangaza kazi?Kwahiyo ww una ufundisha style ya kutangaza kazi? Why nafasi zingine hakuweka hizo mifano?
Hili swali ni maalum Kwa magenius waliograduate UDSM🤣🤣🤣🤣Hivi kwanini waarabu wameweza kusimamia resource zao za mafuta na zinewatajirisha sisi waafrika tuna madini,gesi,mafuta lakini tunashindwa?
Post tena tangazo lako la hizo kazi.Wewe una matatizo ya akili. Wewe unayekosoa tangazo hujioni kwamba unafundisha style ya kutangaza kazi?
Nimefuta tangazo wapi?