Hii mikataba mibovu tatizo ni UDSM

Hii mikataba mibovu tatizo ni UDSM

Unasemaje "mtajwe UDSM" kama mimi ni graduate wa UDSM?

Mimi nimesoma Manchester na New York City. Sijasoma vyuo vya Bongo.

Na sijaona tatizo UDSM kutajwa kama mfano, kwanza ndiyo chuo cha kwanza nchini.

Wewe tatizo lako una inferiority complex tu.
Jenga hoja za kiume. Hii ni karne ya 21. Mambo ya Inferiority ziko huko kwenye Literature sijui form 3. Huja soma hivyo na English yako mbovu hiyo.
 
Jenga hoja za kiume. Hii ni karne ya 21. Mambo ya Inferiority ziko huko kwenye Liteature sijui form 3. Huja soma hivyo na English yako mbovu hiyo.
Mpaka hapo ushanyanyapaa wanawake bila sababu.

Yani unajifanya mtu wa kuwa on point kukosoa tangazo lisibague graduates wa vyuo visivyo UDSM na Mzumbe, halafu wewe mwenyewe unawanyanyapaa wanawake woote.

You are a walking contradiction.
 
Tulia dawa iwaingie. Na english zako za kusoma swali english. Mna discuss kiswahili.
 
Tulia dawa uwaingie. Na english zako za kusoma swali english. Mna discuss kiswahili.
Wewe ndiye unahitaji valium ikutulize ugonjwa wako wa akili, naona una mawenge yanakufanya urukeruke kama bisi kwenye kikaango.
 
Wewe ndiye unahitaji valium ikutulize ugonjwa wako wa akili, naona una mawenge yanakufanya urukeruke kama bisi kwenye kikaango.
Unajaza uzi na pumba mkuu. Huu uzi ni wa Intellectuals only.
 
Unajaza uzi na pumba mkuu. Huu uzi ni wa Intellectuals only.
Intellectuals huwa hawawanyanyapai wanawake kijinga kama ulivyofanya wewe.

Waache watu wakusifie, usijipake mafuta kwa mgongo wa chupa mwenyewe.

Do not flatter yourself, you do not posses the minimum requisite wattage to go bar to bar with me.
 
Intellectuals huwa hawawanyanyapai wanawake kijinga kama ulivyofanya wewe.

Waache watu wakusifie, usijipake mafuta kwa mgongo w achupa mwenyewe.

Do not flatter yourself, you do not posses the minimum requisite wattage to go bar to bar with me.
Nilisha kwambia tumia kiswahili. Najua hujui english wala lugha ya kigeni zaidi nje ya hiyo English yako mbovu.
 
Nilisha kwambia tumia kiswahili. Najua hujui english wala lugha ya kigeni zaidi nje ya hiyo English yako mbovu.
This logical fallacy is called ad hominem.

Attacking the person instead of arguing the points.

It is usually used by people who do not have points or are diverting the conversation from points to mudslinging.
 
Hivi kwanini waarabu wameweza kusimamia resource zao za mafuta na zinewatajirisha sisi waafrika tuna madini,gesi,mafuta lakini tunashindwa?
Shida hpo udsm inatengeneza vilaza wasioweza kujitegemea wanaipa shida nchi wakipewa dhamana ya kuwakilisha wananchi walichoweza udsm kutengeneza kizazi Cha chawa tu
 
Hiki chuo ni changu ila deep inside inatia fedheha kwa kweli.

Ndio maana sikushangaa Prof. Kabudi akisema lile ni jalala. Its true.
 
Hivi kwanini waarabu wameweza kusimamia resource zao za mafuta na zinewatajirisha sisi waafrika tuna madini,gesi,mafuta lakini tunashindwa?
Mimi hapa ndio hoja yangu kubwa,waarabu wana mafuta tu but sisi tunavyo vyote-kweli tunashindwa kupata hela hata kwenye utalii tuna invest halo bandarini??
Yani sijui tatizo letu lipo wapi
 
Huyo Mkumbo niliondoa maana alipokuwa anatetea mtahara wa elimu,Profesa was Tanzania hawana tofauti na watoto wa form 4
 
Back
Top Bottom