Hii mikataba mibovu tatizo ni UDSM

Hii mikataba mibovu tatizo ni UDSM

Sema MCC,mbona wengi wamesoma nje ya nchi na ni wale wale
 
This logical fallacy is called ad hominem.

Attacking the person instead of arguing the points.

It is usually used by people who do not have points or are diverting the conversation from points to mudslinging.

😂😂😂Hapo anatamani kukujibu KWA kingereza I akifikiria alikimbia shule hana jinsi😂😂😂mkuu tumpeleke ignore list ana cha kuongea 😂😂😂🤣🤣
 
Udsm wanajiona kama havard wakati ni weupe kinachowabeba ni kwamba ni chuo kikongwa ila kielimu bora hata usome open university.
 
Yaani kuna watu wamejaa kamasi kichwani halafu anajiita yeye mwanaume msomi🤣🤣
Sielewi kwa nini wanasifia vyuo badala ya kusifia vitu wanavyofanya kutokana na Elimu waliyopata unasifia chuo kila siku huku unalala na Gesi ndani na ndoo za kuchotea maji za kumwaga...
 
Mwishowe useme Congo wote wamesoma udsm, Ghana, Malawi, msumbuji, Afrika kusini, Uganda, Mali, Nigeria. Hao wote wamesoma udsm?

Kweli watanzania wengi na majinga ikiwemo Mtoa post
 
Mwishowe useme Congo wote wamesoma udsm, Ghana, Malawi, msumbuji, Afrika kusini, Uganda, Mali, Nigeria. Hao wote wamesoma udsm?

Kweli watanzania wengi na majinga ikiwemo Mtoa post
Sasa Congo, Malawi, nk zina uhusiano gani na mikataba mibovu ya Tz. Yaani wanao jifanya wajuaji ndio Majinga plus.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo anatamani kukujibu KWA kingereza I akifikiria alikimbia shule hana jinsi[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu tumpeleke ignore list ana cha kuongea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Najua lugha za kigeni 3. Achana na hiyo english mnayo soma swali English, then, mna discuss kwa kiswahili[emoji3][emoji3]
 
Najua lugha za kigeni 3. Achana na hiyo english mnayo soma swali English, then, mna discuss kwa kiswahili[emoji3][emoji3]

Najua lugha za kigeni kwa sababu mimi WAZO2010 nimesema hivyo, hii ni circular reasoning fallacy unajaribu kuthibitisha hoja YAKO KWA kutumia hoja ile ile kama ushahidi😂😂😂 tayari ushasema kwamba unajua unachopaswa ni kuthibitishia kwamba unajua
 
Najua lugha za kigeni kwa sababu mimi WAZO2010 nimesema hivyo, hii ni circular reasoning fallacy unajaribu kuthibitisha hoja YAKO KWA kutumia hoja ile ile kama ushahidi[emoji23][emoji23][emoji23] tayari ushasema kwamba unajua unachopaswa ni kuthibitishia kwamba unajua
Akili ndogo ww. Huoni hoja tu na uka tofautisha na mwandiko wako kujua ni msomi wa level gani[emoji3][emoji3]
 
Kwa sababu hujui unachokisema. Kwa Akili zako mbili kasoro unaona hayo makampuni makubwa yanaingia mikataba na Tz tuu.

Bure kabisa
Hiki ndio kizazi[emoji3][emoji3]. Vilaza plus.
Mikataba ya Tz. Ulaumu Congo, au Malawi?
 
Tulia ww, uko kama mtoto wa kike (una ongea vitu visivyo kuwepo...nime umbuliwa wapi).
Jibu mada. Kilaza plus.

Mkataba mbovu na UDSM vina uhusiano gani? Two dimensional semantics, umeshindwa kutupa link Kati ya elimu ya UDSM na mikataba mibovu. Nijibu hoja gani wakati wewe mwenyewe hujui unachozungumza?
 
Mkataba mbovu na UDSM vina uhusiano gani? Two dimensional semantics, umeshindwa kutupa link Kati ya elimu ya UDSM na mikataba mibovu. Nijibu hoja gani wakati wewe mwenyewe hujui unachozungumza?
Kwa hiyo Elimu itolewayo na chuo husika haina uhusiano na Performance ya kazi?
Ume soma Correlation Analysis? Au una panua mdomo tu?
 
Kwa hiyo Elimu itolewayo na chuo husika haina uhusiano na Performance ya kazi?
Ume soma Correlation Analysis? Au una panua mdomo tu?

Siyo kazi yangu wewe uliyetoa mada ulipaswa useme wanafunzi wengi wanaohitimu elimu ya UDSM labda elimu zao mbovu hivyo wanakosa ufanisi wa kuongoza.

Unajua judge anaweza akafahamu mtu fulani ana haki na BADO akamfunga miaka30? Unamfahamu mwanasheria anaweza kufahamu mtu ana makosa sababu ya PESA akaenda kumtetea?

Tuambie basi wewe elimu ya udsm na mikataba mibovu ipo mwenye angle gani? Halafu utuambie chuo bora hapa Tanzania
 
Back
Top Bottom