Hii mikataba mibovu tatizo ni UDSM

Hii mikataba mibovu tatizo ni UDSM

Hakuna cha Udsm wala sauti ni katiba na mfumo mbovu!!

Unafikiri wanaosaini hawajui madhara ya kinachosainiwa!!?

Wanaaangalia watapata NINI baada ya kusaini!!
 
Ni kweli kabisa, nilisha SEMA suala hili kitambo japo si wote wahitimu wa UDSM japo wengi wa hitimu wa chuo pendwa
 
Back
Top Bottom