Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,247
- 45,972
Daah upo sahihi sana hata kwenye makundi nikiwasoma vijana wa hicho chuo hawajui kitu kuhusu hii mikataba aisee..
Kwa nini ni post tena wakati nishapost wewe tu hujui kusoma una mawenge na matatizo ya akili kutokana na ligi zenu za vyuo?Post tena tangazo lako la hizo kazi.
Tunataka tangazo la kazi liwe neutral. Chuo kinacho tambuliwa na serikali. Full stop.
Daah kwa hiyo na wahasibu wakasome SUA mkuu huko si mambo ya Kilimo kwanza au wameongeza hizi mambo harafu mimi siju maana Vyuo vyetu vingi pana baadhi ya Course hakuna...Kama hujapita SUA Tanzania hii lazima utakuwa kilaza tu...
Wanaume wote tuliopita SUA hebu jipige mara 3hapo kifuani halafu sema "Mimi ni mwanamume"
Sheria ya kazi haibagui vyuo. Je UDSM haipo kwenye Tangazo? Alie post kaona aibu ka delete!!!
Haya baada ya kulalamika. Jengeni hoja. Ni UDSM au siyo UDSM?
Mm Elimu niliyo nayo siyo level uduvi[emoji3][emoji3]Kwa nini ni post tena wakati nishapost wewe tu hujui kusoma una mawenge na matatizo ya akili kutokana na ligi zenu za vyuo?
Vyuo vinavyotambuliwa na serikali vipo mpaka vyuo vya usekretari, ambavyo havikidhi mahitaji ya kazi za tangazo, hivyo serikali imetoa mfano uelewe kwamba kinachohitajika ni chuo kikuu, kama UDSM.
Tatizo wewe una ligi zenu za vyuo vya bongo, ukishaona UDSM tu unasikia maumivu.
Acha inferiority complex.
Wewe kwani umesoma chuo gani? Kwa nini unaona serikali kutoa mifano ya vyuo ni tatizo?Ni kupoteza nguvu na muda kubishana kitu kilicho clear as daylight. Mwombaji awe na Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Sokoine au Chuo Kikuu chochote kinachotambuliwana Serikali katika mojawapo ya fani zifuatazo.
Mkuu Kilanga unaweza ukawa upo sahihi ila mimi nadhani kwa soko lilivyo wapo watakaopata Elimu Nje ya Nchi kama wanakidhi sidhani kama ni sahihi kusema tuu wanaotakiwa waliomaliza wawe wa Mzumbe tu...Kwa nini ni post tena wakati nishapost wewe tu hujui kusoma una mawenge na matatizo ya akili kutokana na ligi zenu za vyuo?
Vyuo vinavyotambuliwa na serikali vipo mpaka vyuo vya usekretari, ambavyo havikidhi mahitaji ya kazi za tangazo, hivyo serikali imetoa mfano uelewe kwamba kinachohitajika ni chuo kikuu, kama UDSM.
Tatizo wewe una ligi zenu za vyuo vya bongo, ukishaona UDSM tu unasikia maumivu.
Acha inferiority complex.
Hapana. Mna pewa kipaumbele wakati ni wabovu. Kuna wachumi hapa Tz toka vyuo vikuu vya Japan, USA, Canada, Russia nchi bora kabisa. Hicho kiherehere cha kuitaja UDSM kime toka wapi akati juzi tu wameunda ki gari kama troli la watoto[emoji3][emoji3][emoji3]. Kama gari ndio wame unda lile. Je wachumi wao, kichwani kuna madudu gani??Ni kupoteza nguvu na muda kubishana kitu kilicho clear as daylight. Mwombaji awe na Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Sokoine au Chuo Kikuu chochote kinachotambuliwana Serikali katika mojawapo ya fani zifuatazo.
Kwani wapi wamesema waliomaliza Mzumbe tu?Mkuu Kilanga unaweza ukawa upo sahihi ila mimi nadhani kwa soko lilivyo wapo watakaopata Elimu Nje ya Nchi kama wanakidhi sidhani kama ni sahihi kusema tuu wanaotakiwa waliomaliza wawe wa Mzumbe tu...
Hapana. Mna pewa kipaumbele wakati ni wabovu. Kuna wachumi hapa Tz toka vyuo vikuu vya Japan, USA, Canada, Russia nchi bora kabisa. Hicho kiherehere cha kuitaja UDSM kime toka wapi akati juzi tu wameunda ki gari kama troli la watoto[emoji3][emoji3][emoji3]. Kama gari ndio wame unda lile. Je wachumi wao, kichwani kuna madudu gani??
Wewe una inferiority complex na UDSM tu, una machungu nayo.Hapana. Mna pewa kipaumbele wakati ni wabovu. Kuna wachumi hapa Tz toka vyuo vikuu vya Japan, USA, Canada, Russia nchi bora kabisa. Hicho kiherehere cha kuitaja UDSM kime toka wapi akati juzi tu wameunda ki gari kama troli la watoto[emoji3][emoji3][emoji3]. Kama gari ndio wame unda lile. Je wachumi wao, kichwani kuna madudu gani??
Huyo jamaa ana shida za kisaikolojia za kukosa ajira na kuwa na inferiority complex na UDSM tu.Kama wamesoma huko vyuo vinavyotambulika nchi husika na TCU wanavikubali shida ipo wapi? Kuna vyuo havip accredited hata nje ndo unataka TCU wavikubali au upewe kazi wakati umesoma chuo cha mchongo nje?
Wewe kwani umesoma chuo gani? Kwa nini unaona serikali kutoa mifano ya vyuo ni tatizo?
Halafu mbona kwenye post yako original umeandika tangazo limetaja UDSM tu, kumbe tangazo limetaja mpaka Mzumbe?
Shida yangu. Kwa nn mtajwe UDSM? Hao utumishi wana karatasi na pages za kutaja vyuo vyote duniani?. Ili paswa iwe neutral. Full stop.Kama wamesoma huko vyuo vinavyotambulika nchi husika na TCU wanavikubali shida ipo wapi? Kuna vyuo havip accredited hata nje ndo unataka TCU wavikubali au upewe kazi wakati umesoma chuo cha mchongo nje?
Yes, sorry.I think you meant this response kwa mleta uzi.
Unasemaje "mtajwe UDSM" kama mimi ni graduate wa UDSM?Shida yangu. Kwa nn mtajwe UDSM? Hao utumishi wana karatasi na pages za kutaja vyuo vyote duniani?. Ili paswa iwe neutral. Full stop.
Haya tuendelee na mada yetu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yes, sorry.
Jamaa ni mlalamishi kwa mambo petty mpaka ikiwa hana kazi ninaweza kuelewa kwa nini hana kazi.
🤣🤣Naunga mkono hoja pasi na shaka 100%✓
Wewe ukiwa unakimbizana na kazi za utumishi kwa inferiority complex hivi lazima uwe na frustrations kubwa za maisha tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapa nawanyoosha UDSM na Utumishi. Toka kitambo niko job. Huoni hata arguments, siyo za ki uduvi.