Taz...Mimi kuna watu niliwaambia zinatolewa dah!! Wacha waniijie juu aisee..kila mtu na sababu zakenikutoa, kutoa, kutoa! Ni ushamba mkubwa kubakiza. Tabia za ulimbukeni kabisaaaaaa. KUTOA!
Sio mimi bana Kongs ila kulikuwa kuna mjadala kuhusiana na hii ishu ndio ikabidi nimpige huyo jamaa picha
Hakuna sababu ya kuiacha. Hiyo ni label on display ili ununue ukifaham ni designer gani.
Ukisha nunua ni kutoa tu! Ukiacha maana yake unataka watakao kuona wajue ni designer gani alikushonea
Huko ni kujionesha na kutafuta sifa, hamna lolote!
Cha kushangaza zaidi unakuta mtu kaacha, designer mwenyewe from GuangZhou Anonymous bin Incognito!
Wacongo wengi utawaona wanaacha mara Ceruti, mara Armani nkk. As much as ni ulimbukeni pia at least unaelewa...
In America we take it off.
Ni sehemu ya ngozi???
LMfAO...
What's so funny? You think I'm bullshitting or something?
Mchina kaleta mambo..watu wanabisha hata vitu wasivyovielewa...hapa umewafunguaHakuna sababu ya kuiacha. Hiyo ni label on display ili ununue ukifaham ni designer gani.
Ukisha nunua ni kutoa tu! Ukiacha maana yake unataka watakao kuona wajue ni designer gani alikushonea
Huko ni kujionesha na kutafuta sifa, hamna lolote!
Cha kushangaza zaidi unakuta mtu kaacha, designer mwenyewe from GuangZhou Anonymous bin Incognito!
Wacongo wengi utawaona wanaacha mara Ceruti, mara Armani nkk. As much as ni ulimbukeni pia at least unaelewa...
Baba Ubaya there is no assumption hapo..Jamani hiyo lebo kwa jinsi inavyoshonewa ni dhahiri ma-designer hawajakusudia itolewe!
Nadhani hiyo ni kwa manufaa yao kwa maana ya kuwatangaza. Kwa ma-designers ni kutoa ni kutotimiza adhima zao, kwa wavaaji ni kuwatanga ma-designer bila kujua.
Nadhani kuacha lebo hiyo haina tofauti na zile tunazopewa bure wakati wa events mbalimbali na zile zinazotolewa bure na makampuni kwa lengo la ku-boost products au service zao!
Just happy to you buddy!
How was safe house?