Hii Lebo Huwa Inatolewa Au Inabaki..??

Hii Lebo Huwa Inatolewa Au Inabaki..??

hivi kwanza inashonewa kwa style gani......?.....nisije nikatoa nikawa ndio nimeharibu kabisa........

Kumbe we mshamba hivyo?!

Huwa inashikiliwa na vinyuzi tu na ni kiasi cha kuivuta na vinaachia.

Huna Armani lady suits wewe?
 
Hahaha nguo na lebo!!suti sio zenu nyie ni warubega na kaniki wahaya nyie pigeni orubugo mambo frsh 2nasoga,
 
nan kakupa hii picha au umejipiga. kuhusu lebo mi sijui ila kwanin wameiweka mkononi wakat jina la dizaina lipo ndan ya kot.
Hahahah!! Mkuu kuna mtu nilimpiga maana watu walivyomuona wakaanza mjadala ndio nikasema wacha nimfotoe
 
Kumbe we mshamba hivyo?!

Huwa inashikiliwa na vinyuzi tu na ni kiasi cha kuivuta na vinaachia.

Huna Armani lady suits wewe?

kwani wameshatoa za kitenge.....?
mimi mapigo yangu ni kitenge na shiffon.....

 
Kama ananilipa nitangazie biashara ntaicha, kama ni kwa starehe yangu kwanini nigeuke ubao?
 
Bottom line is, if it's your suit, you bought it using your own damn money, then you can do whatever the hell you want to.

If you wanna keep the tag for whatever reason, ain't nothing wrong with that.

If you wanna take it off, nothing wrong with that either.
 
Back
Top Bottom