Hii kesi hii sijui kama anaweza chomoka!?

Hii kesi hii sijui kama anaweza chomoka!?

Inawezekana kama maelekezo ya hukumu yakitokea juu ila kama majaji watakuwa fair serikali itajuta, na italipa fidia kwa kupotezea watu muda wao
 
Hakuna wanaopotea kwa kutekwa? Yanatekelezwa practically na huyo wa kuzuia uchaguzi halikufanyika maana uchaguzi ulifanyika mtu akala zake 97% ya ushindi.
Akili zao wale ngesewa hazina ushirikiano. Eti mtu fulani anatuhumiwa kuvuruga uchaguzi halafu voter turnout kwenye uchaguzi inakuwa approximately 87%, the highest in the country’s history! Inaonekana kama uchaguzi usingevurugwa, voter turnout ingekuwa zaidi ya 95% na fazafaka angepata ushindi wa 99.9% ya kura zilizopigwa. Fvck the mazafakas!
 
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,

-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Kwenye hiyo kesi ya mchongo kashawashinda, ila mnaona aibu kukubali kuwa kawashinda. Kwa sasa muuaji Samia anaagiza tu mahakama simu moja zimkomoe.
 
Hii ngoma imefikia patamu, leo lissu alikuwa anatia huruma, mpaka alitamani amzibe mdomo shahidi wa mashtaka
Kwa hao vilaza Lisu atie huruma? Yaani naona kila mwanaccm anatamani ambacho kinakataa kutokea mahakamani. Na huyo shahidi kilaza kesho yuko nae. Yaani aibu utaona ww.
 
Acha ufala na uzembe wa kutofuatilia mambo,hiyo kesi imeshaisha kitambo sana.
 
Kwa hao vilaza Lisu atie huruma? Yaani naona kila mwanaccm anatamani ambacho kinakataa kutokea mahakamani. Na huyo shahidi kilaza kesho yuko nae. Yaani aibu utaona ww.
Lissu kaanza lini kuipenda serikali mpaka aionee huruma kufungua sanduku la Pandora? Kesho babu yenu anakaangwa na aibu mtaona nyie, chonde chonde asimpangie cha kusema shahidi wa mashtaka hiyo kesho!!
 
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,

-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Kuna shetani wa kibinaadam na shetani wa kijini huyo mwenyewe Lucifer ambaye tunamlaani kila siku ingawa hatumuoni .Shaitwani wa kibinadam ni wa hatari na wabaya zaidi kwani tunawaona na maneno yao tunayasikia.Mtu anasema tutakinukisha na kweli 10/29 ikawa siku nyeusi kwa nchi yetu.Atachomoka vipi ?
 
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,

-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
aende wapi kwa mfano gentleman?
as soon as possible, jipangeni kumtembelea akiwa na upara korokoroni 🐒
 
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,

-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Ongeza na: MAELFU YA WATU WAKAUWAWA KWA BUNDUKI NA RISASI ZA POLISI BARABARANI, MAJUMBANI WAKIANGALIA TV, BAR WAKILA STAREHE ZA UNYWAJI, VIBANDA UMIZA VYA MPIRA NA KWENYE VIJIWE VYA KAHAWA..?

Hujiulizi: HAWA POLISI MAJAMBAZI WALIOUA MAELFU YA WANANCHI, WATOTO, WANAWAKE NA KINABABA WAKIWA KWENYE SHUGHULI ZAO HALALI KWA KISINGIZIO CHA "kuhamasishwa na maneno ya Tundu Lissu" WANAPONAJE NA MKONO WA SHERIA KWA MFANO..????

Hamjiulizi swali hili?

mnajifanya hamna akili siyo?

SIKILIZENI BHANA: Hata mjifanye namna akili na ni mataahira, lakini fahamuni kuwa haya hayaishi hivihivi mpaka tuhakikishe yameisha kwelikweli..!!
 
We Mjinga, dunia yote imeshuhudia samia akiwachapa risasi za vichwa vijana usiku na mchana, na kwa siku nne mfululizo. Lissu atashindwaje kuchomoka hapo?
 
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,

-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Msingi wa kesi ni ushahidi na vidhibiti!
Serikali na Mawakili wake wameshindwa kupeleka vyote mahakamani mpaka sasa!
Walivyopeleka awali vyote vilikataliwa!

Alafu mbona pamoja na yote mlifanya uchaguzi na mkafanikiwa kushinda kila kitu kwa 98%??

Tatizo lilipo: Nani aliamuru kuua WaTanganyika Oct 29? Nani anateka, kutesa na kuua WaTanganyika?

Endeleeni na kesi... Soon Ukweli utafahamika!
 
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,

-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Mkitaka tufike huko tutafika na mengi yataibuliwa!
1. Uchaguzi ulifanyika, ccm ikishinda kwa kishindo
2. Tume itabidi ije kuanikwa mahakamani
3. Walioandamana wajulikane
4. Aliyetoa amri kufyatua risasi na kuua ajulikane
5. Waliofyatua na kuua wajulikane
6. Idadi ya waliouawa na kuachiwa vilema ijulikane
7. Miili ya waliouawa ijulikane ilipo
8. Waliopotezwa wajulikane walipo

Msilazimishe kupata Suluhu ya matatizo mliyolisababishia Taifa kwa kumkomoa LISSU!
Watu wanapita lakini imani, ideas na itikadi zinadumu!

Tumieni akili japo kidogo. Tafuteni maridhiano na WaTanganyika mliowakosea kabla mambo hayavurugika zaidi!

Damu ni nzito kuliko maji!
 
Hayo maneno sio makosa!
Na hizo outcomes ni outcomes za ufala wa huyo mama!
Aliyoyasema April 2025 ndiyo yaliyotokea 29 October 2025. Haachiwi mpaka tujuwe kuna kitu gani kati ya maneno yake na matukio
 
Unachekesha wewe!

Wewe uliwahi kuona mtu anashtakiwa kwa kosa la miaka ijayo
Ambalo kosa hilo wakati linafanyika alikuwa yupo jela chini ya ulinzi mkali?

Uliona wapi kesi ya namna hiyo.
Kesi ya Lisu haihusiani na MO29 ni kesi mbili tofauti, wahusika tofauti, nyakati tofauti
Aliwahamadisha watu mapema mwezi Aprili nao wakatenda akiwa jela
 
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,

-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Sijajua Mungu alikuwa na kusudi gani mpaka akaruhusu watu wenye akili ndogo, vilaza na wajinga kama nyinyi kuwa na madaraka. Yaani mnalazimisha makosa na pia kuhalalisha uharamia wenu pasipo hata na chembe ya aibu!
 
Kumbuka hayo maneno yanadaiwa kutolewa kupitia Chombo cha habari cha Jambo TV. Flash iliyobeba maneno hayo kama huna habari Mahakama ilikataa kuyapokea kama kielelezo. Kwa ufupi hayo maneno hayapo mahakamani.
Mwenye uwanja wako….!!!
 
DPP anafuata sheria so hawezi kumhurumia sababu hana hayo mamlaka, mahakama inaweza kumtia hatiani lissu lkn samia ana mamlaka ya kusamehe mtiwa hatiani.
I see what you’re doing here!

Lissu hana kesi usimtafutie Samia umuhimu wa hivyo…
 
Back
Top Bottom