Umtama Mula
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 286
- 784
Kumbuka hayo maneno yanadaiwa kutolewa kupitia Chombo cha habari cha Jambo TV. Flash iliyobeba maneno hayo kama huna habari Mahakama ilikataa kuyapokea kama kielelezo. Kwa ufupi hayo maneno hayapo mahakamani.*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,
-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!
*View attachment 3647782Outcomes yake!
-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!