Hii kesi hii sijui kama anaweza chomoka!?

Hii kesi hii sijui kama anaweza chomoka!?

Hujui unaloongea ww, mashitaka yaliyoko hapo ni mengine, kinachofanyika ni kukubali amewashinda na kumuachia, kisha kumfungulia mashitaka mengine ya hicho mnachodhani mtamuweza. Mbona ni rahisi tu, siku hizi kila mara mnashindwa, na kufungua mashitaka mengine, na sio kukoroga nje ya utaratibu. Kama mmelewa madaraka hadi hamfuati utaratibu, basi mnafundishwa kufuata utaratibu. Umeelewa au nikupe dozi nyingine?
Kwa hiyo mnakiri lipo kosa kafanya ila sio la uhaini? Kama lipo kosa kafanya linakubalika kuungwa katika kesi hiyo hiyo moja na hukumu ikatoka!!
 
Kwa hiyo mnakiri lipo kosa kafanya ila sio la uhaini? Kama lipo kosa kafanya linakubalika kuungwa katika kesi hiyo hiyo moja na hukumu ikatoka!!
Narudia tena ww kilaza, Lisu hana kosa ndio maana mnalazimisha hukumu ya kumkinga mwizi wa uchaguzi na muuaji Samia. Angekuwa na kosa angekuwa ameshatiwa hukumuni. Hapo mnachofanya ni kuilazimisha mahakama kutoa hukumu ya kukizi hisia za Samia na majizi menzake.
 
*Maneno yake kabla ya lolote kutokea,
*maneno yenye nia na dhamira ovu,

-Tutakinukisha
-Uchaguzi tutauvuruga
-Uchaguzi hautafanyika.
-Tunajua tutauzuiaje!

*View attachment 3647782Outcomes yake!

-Uchaguzi ulikuwa na ghasia
-Tafrani kubwa ikatokea
-Mali za umma zikachomwa moto!
Kwa hiyo hayo maneno ndio uhaini. Pumbavu mnatumia viungo gani kufikiri?
 
Back
Top Bottom