RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,754
- 129,487
Unashangaa nini? Mimi nakushangaa wewe unaekereka mtu kukaa kwao. Au ulitaka akae kwenu?Dah...![]()
Unashangaa nini? Mimi nakushangaa wewe unaekereka mtu kukaa kwao. Au ulitaka akae kwenu?Dah...![]()
Umeondoka home una 15, hapo niko o level...wewe hukwenda shule?Hapa naona vita kati ya watu waliohama makwao(wenye kazi)na ambao wapo makwao(wasio na kazi)some time huwa najiulizaga hivi wale wafanya mazingaombwe wanageuza makaratasi kuwa hela wako wapi maana huu ndo muda sahihi wa kufanya hivyo maana vy***** vimekaza.
Nb:kila mtu anamda wake wa kuondoka nyumbani japo wengine tulikimbia toka tukiwa na miaka 15
Did you mean Naked Truth ?Nimecheka sana, hii inaitwa necked truth, wanapita kimyakimya kwenye uzi huu.
Hili lipo pande zote mkuu...Nakazia ulipoishia.Huwa nawahurumia sana wadada wanaotongozwa mitandaoni. Anawasiliana na jamaa huku kichwani anajenga picha ya kukutana na bonge la shefa. Siku anapokutana na huyo mtu sasa. Anatamani hata kutapika kwa hicho kituko alichokutana nacho.
CC. Mzigua90 Madame B Evelyn Salt Shunie
Hii inakuhusu nini Mkuu, mbona povu sana?.Kila mtu na maisha yake.....anakaa kwao wewe inakuuma nini?
Yeah sure mkuu, thanks it was a mistake.Did you mean Naked Truth ?
Ni maoni yangu, kama wewe ulivyo na maoni yako. Yaani sioni tatizo la mtu kukaa kwao, labda angekaa kwenu ndio ulalamike.Hii inakuhusu nini Mkuu, mbona povu sana?.
hapana mkuu,limenisikitisha,wakati sina kitu ndio nilikuwa nina mawazo kama hayo yako ya kimasikini,kwa sasa nina uwezo wa kukulea wewe mkeo na wanao,hata miaka 20 bila shida,tena kwa chakula,mavazi na malazi,na pocket money juu,ila nilikuja kujigundua kuwa nilikuwa stupid to the maximum to spend my time thinking about how others live and managing their life,ndio kinachofanyika hapa,jamaa anafeli,wakati wa kutaka kujua nani anafanya nini au anaishi vipi ni ujinga kama ulivyo ujinga mwingine,kila binadamu anatakiwa kuheshimiwa na kuwa na uhuru wa kuishi anavyotaka yeye bila kukinzana na wanaomzunguka,halafu kama wazazi wake waliomleta duniani wanona sawa tu kijana wao kuishi nyumbani,wewe mtu baki unasimama kama nani dunia hii kutoa judgement kwa mtu asiyekuhusu?tubadilike wakuu,tuishi kisasa kwa kujiangalia wewnyewe tutajikwamua vipi,na si kuwa na kajiroho fulani ka wivu na chuki bila kujijua!limekugusa aiseee![]()
![]()
![]()
![]()
na ww ndo wale wale hauna kitu hapo mbwembwe tuhhapana mkuu,limenisikitisha,wakati sina kitu ndio nilikuwa nina mawazo kama hayo yako ya kimasikini,kwa sasa nina uwezo wa kukulea wewe mkeo na wanao,hata miaka 20 bila shida,tena kwa chakula,mavazi na malazi,na pocket money juu,ila nilikuja kujigundua kuwa nilikuwa stupid to the maximum to spend my time thinking about how others live and managing their life,ndio kinachofanyika hapa,jamaa anafeli,wakati wa kutaka kujua nani anafanya nini au anaishi vipi ni ujinga kama ulivyo ujinga mwingine,kila binadamu anatakiwa kuheshimiwa na kuwa na uhuru wa kuishi anavyotaka yeye bila kukinzana na wanaomzunguka,halafu kama wazazi wake waliomleta duniani wanona sawa tu kijana wao kuishi nyumbani,wewe mtu baki unasimama kama nani dunia hii kutoa judgement kwa mtu asiyekuhusu?tubadilike wakuu,tuishi kisasa kwa kujiangalia wewnyewe tutajikwamua vipi,na si kuwa na kajiroho fulani ka wivu na chuki bila kujijua!
Dah... Kama mababu zetu wangekuwa na mawazo hayo...sijui ingekuwajeUnashangaa nini? Mimi nakushangaa wewe unaekereka mtu kukaa kwao. Au ulitaka akae kwenu?

Dah...si umeelewa lakini?...hicho ndiyo Cha msingi..Did you mean Naked Truth ?

Akakae kwae alishe Familia akiwa nje ..pia unawezekana
Wewe ni mmoja wao?!Tatizo ni kuishi nyumbani au kuendesha Maisha yako?embu nenda Kariakoo na upanga ukacheki wahindi na Waarabu wanavyoishi na watoto wao watu wazima kabisa na Maisha yanasonga.