Hii itawauma wengi

Hii itawauma wengi

Mkuu wana kukaa kwa mama zao, ku roll na ndinGa za Baba zao inaonekana imekuuma sana but TRUST ME mtu kukaa kwao sometime ni mfumo tu coz kuwahi kuondoka kwenu halafu uishi maisha kama chokoraa SIO UJANJA ni UFALA kiwango cha drimulaina.....

Hawa OMBAOMBA tunaowaona Ubungo, Mbagala, Temeke na kwingine mjini wana kwao, na huenda wangeweza kupata hifadhi na sio kuja kulala barabarani, Nje, kuwa wezi na kufa kizembe....

NOTE: Muhimu ni mtu ajue ni wakati gani yuko tayari kuondoka kwao na yeye pekee ndio anaujua huo wakati..
ACHA KUWAPANGIA WATU MUDA, wewe cheza na Time Zone yako usifosi mfanane...ukitaka waondoke kwao wape deals na sio kuleta porojo za kifala.
 
Yeye kukaa kwao na kula hela za Wazazi wake wewe unaumizwa na nini?

Waafrika tuache tabia za kimaskini za kuona anayeishi nyumbani kwao hana malengo yoyote.
Hama nyumbn.miaka zaidi ya 30 unatetea ujinga?kama wazazi wako wanakupenda san waombe mtaji kuliko kula na kulala bure hapo hm.
 
Dah..ujumbe maridhawa...Tena uliotimilika...kwa hotpot family
 
Mkuu kiuhalisia maisha hayapo hivyo aisee,wewe pambana tu na hali yako,hautakiwi kuishi kwa ajili ya watu wengine,ishi kwa ajili yako na utafanikiwa,kukaa na kuumiza kichwa juu ya nani anaishi wapi na anafanya nini wakati wote mnapambania ku`survive,huo nao ni ujinga kama ujinga mwingine,utacheleweshwa sana ukianza kuumiza kichwa kwa ajili ya watu wengine wanavyoishi,pole sana!
limekugusa aiseee
 
pale unapopata pa kushika na kushiba baada ya kushikwa mkono,fikiria tu umemaliza chuo,hujapata kazi na mtaji huna...wahurumieni wenzenu,kama we mkali wa kuchakarika acha hiyo ajira halafu anza from the scratch kutafuta ingine tuone
xaxa unataka uletewe kazi nyumbani au pambana
 
Mkuu wana kukaa kwa mama zao, ku roll na ndinGa za Baba zao inaonekana imekuuma sana but TRUST ME mtu kukaa kwao sometime ni mfumo tu coz kuwahi kuondoka kwenu halafu uishi maisha kama chokoraa SIO UJANJA ni UFALA kiwango cha drimulaina.....

Hawa OMBAOMBA tunaowaona Ubungo, Mbagala, Temeke na kwingine mjini wana kwao, na huenda wangeweza kupata hifadhi na sio kuja kulala barabarani, Nje, kuwa wezi na kufa kizembe....

NOTE: Muhimu ni mtu ajue ni wakati gani yuko tayari kuondoka kwao na yeye pekee ndio anaujua huo wakati..
ACHA KUWAPANGIA WATU MUDA, wewe cheza na Time Zone yako usifosi mfanane...ukitaka waondoke kwao wape deals na sio kuleta porojo za kifala.
umepanic bro nani hakupe deal xaxa pambana
 
Ukitaka kuishi maisha marefu na yasiyo na stress daima ishi kama vilevile upo peke yako humu duniani!
Usijali wala kufatilia nani anaishi wapi,anaisha vipi ananizidi nini au anaiingiza sh. Ngapi ..hutajuta na utaenjoy sana maisha haya mafupi! Otherwise utakufa kwa kihoro siku si zako!
Umenena mkuu
 
Binafsi MTU anayetumia muda mwingi kulitamka neno 'haters' naonaga akili yake imefika mwisho katika kuwaza maendeleo, hivyo anatafuta MTU wa kumshushia lawama ya 'failure' yake...

Na kimsingi kumtafuta MTU wa kumsukumizia failure yako huko ni kufeli Mara mbili
 
Back
Top Bottom