Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
Yaani ni wachache sana kusaidia mafanikio ya wengine
Mtoa mada ni muungwana sana kwani unapondwa na hapohapo unapewa idea ya maisha.
Big up mkuu waambie maisha hayaendi hivyo
Wengi hawana kitu lakini ukisema ulichonacho wao ndio wa kwanza kukubeza ingawa hana lolote.
Mitandao mingine ya kimataifa unakuta watu wanajimwaga kwa hali zote na kusaidiana lakini mitandao yetu threads zetu nyingi ni hovyo kabisa