The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,137
- 13,825
Kumbe njaaaa hapa bye bye i hate u sana kwa heri
Si unalipia bia demu condom na chumba au gar yako afu unapeleka car wash.......
Wanawake walikuwa wanapewa pesa Zamani, wakati mwanaume anafanya kazi na mama anaangalia familia, siku hizi mnataka haki sawa, mnafanya kazi wengine wana kipato kuliko wanaume yet bado mnataka mpewe hela absolutely disgusting.
na nyimbo hii kwenye shoo tutapigwa na chupa tu
labda tuimbe bure
xaxa kupeleka car wash hata elfu 40 haifiki kuliko kumpa dem 1M (milioni moja au laki 6) si bora nimlipie mdogo wangu ada ya shule au mama angu alienisomesha??
mmmhhh i knew it najuta kujisema miee haaaaaaaahaaaaaaaahaaaaaa poa banah miss chagga.
mi mwenyewe nashangaa kwa kweli sijui mapenzi ya sasa yanaelekea wapi?unajua kuwa responsible kwa umpendae raha sana yaani mno,lakini vijana wa siku hizi ndo kulalamika hakuishi mapenzi ya vijana wetu wa sasa yamebaki on bed tu bassiiiiii na yenyewe hayachelewi ni siku mbili tu yote kwishnei.
Mwanaume pesa.... dushe mbwembwe tu... utasikia namkuna vizuri awezi niacha nani kasema nikipata wakunipa nakuacha ,
sikuongelea kuhongwa mkuu nimeongelea kumhudumia mkeo/mpenzio kama hukunielewa vizuri basi.
Njoo nikune na pesa bibie
Hakuna bure hapa lazima pesa
Ukweli unauma wengi hawautaki
Nakuja nikukute serena hotel
huyu ndio wewe, kule kwingine kutakuwa kuna mtu ka-hack account yakoMwanaume pesa.... dushe mbwembwe tu... utasikia namkuna vizuri awezi niacha nani kasema nikipata wakunipa nakuacha ,
Caveat Emptor!!!!!
Raha ya pesa kutafuta na pia kutegesha aiii we ungekuwa mwanamke ungejua utamu wa pesa ya kupewa na mumeo au mpenzio acha kabisa
Nakuja nikukute serena hotel