Hii inawahusu wanaume wanolialia kupigwa mizinga

Hii inawahusu wanaume wanolialia kupigwa mizinga

Pesa Haitoshagi jamani chaliii... Toa pesa acha ubahili wewe......alafu mimi nitaishia shimo la utajiri .... mla huliwa so kutesa kwa zamu..... tuturuuuu tututuruuuuuu money is money make me happy tala tala talalaaaaaaaaaa money tututuruuuuuuu money money.... tutur tututuu turutuuu.tu tu turaaaaaa moneeeeeey ....

usije ukaniambia na wewe ulikuwa unaimba kwa maneno haya
 
yani bora ninywe bia nilewe chakari kuliko kumpa mwanamke hela yangu...ambayo najua naweza kumpa na yy akaenda kuhonga kwa mwingne...foolish tena ni ujinga ulioptiliza
 
mi mwenyewe nashangaa kwa kweli sijui mapenzi ya sasa yanaelekea wapi?unajua kuwa responsible kwa umpendae raha sana yaani mno,lakini vijana wa siku hizi ndo kulalamika hakuishi mapenzi ya vijana wetu wa sasa yamebaki on bed tu bassiiiiii na yenyewe hayachelewi ni siku mbili tu yote kwishnei.
Kumbe nikiachwa ntapata kazi kupata mwanaume wa shoka anayejua kunilea. Alafu mnadhani pesa inahitajika nyingi baaas tu vijana mmejaa woga.

Nilipokua chuo mume wangu alikua ananinunulia madaftar na vitu kama hivyo kila mwanzo wa semister nilikua nafurah naona kama baba yuko alive.just imagine madfatr sh ngapi?
Hivi amuoni raha wapenzi wenu kuwafanya kama first respondent yaan ata simu ikijilock unaambiwa utoe ufafanuzi ata kama uko mbali.

Mara unapigiwa simu mpenzi kachanganya jengo au ofisi let say posta ili umuelekeze ilhal kuna madereva tax????

Mapenzi ya sasa yana changamoto jinsi dependency inavyopungua na mahaba yanapungua shauri lenu vija na.
 
Bora ya wewe hata umejitambua kuwa ni mwanaume unayejua kuwa unauwa ambalo linahitaji kula kwa kusema hela kidogo tuu ya mboga...Hiyo inaweza ikasaidia hata akabajeti akanunua nguo ya ndani...Sasa kuna yule hata hiyo ya Mboga hatoi yeye anaringia tuu dushelele lake...Nguo za ndani wagharamie wengine au mboga wagharamie wengine ye hajui...






Hamna ni kutojiamini tu...Hela kidogo ya mboga inatosha sana kuchukua demu yeyote mkaliiiiiii......ujanja wako tu!!!!
 
ndo walewale poleeeee!!!!!!!!!!
yani bora ninywe bia nilewe chakari kuliko kumpa mwanamke hela yangu...ambayo najua naweza kumpa na yy akaenda kuhonga kwa mwingne...foolish tena ni ujinga ulioptiliza
 
wengine wanapenda kuiga nae aonekane kidume cha mjini,unakuta ana mke na michepuko wote wanataka kuhudumiwa alafu pesa zenyewe za mawazo ataacha kulalamika kupigwa mizinga kweli???
 
mwanaume kuhudumia bwanah,pesa hata benki inazo nyingi tu,unaweza kuwa na pesa na bado kuhudmuia kwako ikawa ni shidaa!!!!!!!!!!!
Mwanaume pesa ila maua waachie nyukiii
 
tena kuna dem humu hua anapenda kuzungizia hela kila ck cjui yy hana kazi anategemea wanaume tuu..yani hua linaniboa hili lidemu
 
hapo sasa yaani lin ni shiiiiidaaaaaa,wawaachie wenzao wanaohimili mikiki mikiki ya kumiliki wanaake zaidi ya mmoja.QUOTE=lin;10542011]wengine wanapenda kuiga nae aonekane kidume cha mjini,unakuta ana mke na michepuko wote wanataka kuhudumiwa alafu pesa zenyewe za mawazo ataacha kulalamika kupigwa mizinga kweli???[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: lin
Back
Top Bottom